Saturday, June 16, 2012

MHADHARA WA WANAWAKE ULIO FANYIKA LEO NCHINI ZANZIBAR


wanawake wa kiislamu wakisikiliza mada mbali mbali katika ukumbi wa skuli ya haile mjini Unguja nchini zanzibar mwenyezi mungu awalinde na awape pepo siku ya kiyama mpaka kieleweke.

No comments:

Post a Comment