Friday, June 1, 2012

WAZANZIBAR WOTE LEO WATAKA ITIKAFU HAPA NCHINI ZANZIBAR


Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar kwa kushirikiana na taasisi za kiislamu zitafanya itikafu maalumu leo hii usiku kucha katika msikiti wa kidongo chekundu Mjini hapa FREE ZANZIBAR PEOPLE FROM MKOLONI MWEUSI inawaomba wasomaji wake wote hapa pia kushikiri katika itikafu hii na kama wazanzibar walio nje ya zanzibar pia tunawaomba wafanye yao au hata kwenye nyumba zao pia kuiombea duwa nchi yetu ya zanzibar amani idumu na aduwi atoke mwenyewe kwa uwezo wa m/mungu tutashida na zanzibar itakuwa nchi huru ili sote wazanzibar tufurahi kuwa nchi yetu ikiwa huru tutapumuwa kama sheikh watu mussa anavyosema watuwacheee tupumuweeeee basi all all all nyote duwa na swala kwa wengi popote pale ulipo ukiwa bara ulaya au afrika ya kusini ukiwa south amerika na hata uchina ukiwa arabuni na hata indinisia duwa zenu ndio ushindi wa nchi yetu ya zanzibar.

No comments:

Post a Comment