Thursday, July 26, 2012

ASP NDIO CHAMA CHA WAZANZIBARI CCM ILILETWA NA NYERERE KUWAPINDUWA WAZANZIBARI

Mansour ‘Kaz buti’ – sisi tuko nyuma yako, si leo wala jana miaka mingi tuko nyuma yako.
Ila ujue kuwa wewe sio wa mwanzo katika kutaka kunyanganywa kadi ya CCM wala wewe sio wa mwisho kunyanganywa kadi ya CCM kwa hivyo usiwe na wasi wasi kwanza hatunahaja ya CCM,CUF wala chama chengine chochote sisi wazanzibari chama chetu sasa ni ZANZIBAR HURU ndio chama chetu sasa.nataka nikukumbushe watu walio nyanganywa kadi kabla yako.                                                                    Aboud Jumbe alinyanganywa kadi, akafukuzwa na hatimaye kudhalilishwa kama sie aliyekuwa Raisi wa NCHI hii. Mpaka sasa anaishi maisha ya idhlali kubwa.
Ramadhan Haji Faki, waziri kiongozi mstaafu, kadhalilika, amefukuzwa ndani ya chama na kudhalilishwa.
Wakafuata akina Maalim Seif na timu yake walifukuzwa, walinyanganywa kadi, na walidhalilishwa na isitoshe  wakafungwa na jela, just kwa sababu wamedai haki ya Zanzibar.
Walifuata wengine hapo, akina Hafidhi Suleiman na wenzake pia.
Akafuata Marehemeu Idrissa Abdul Wakil – raisi wa zanzibar/ pia alitakiwa ajiuzulu ama ajiuzulu au atauzuliwa. Yeye walimheshimu kidogo kwa sababu ya utu uzima na alikuwa mtu alimu mzuri. Naam, alijiuzulu at the airport wakakti anakwenda Ujerumani umesikia wapi mambo haya katika ulimwengu huu ni hapa zanzibar tu.                                                                                                                                Wengine kuna foleni kuwa ya wazanzibari waliofukuzwa kazi, kushushwa vyeo, kufungwa n.k just kwa sababu wamehoji Muungano, na wamedai haki ya Zanzibar.
Zaidi ya yote – juzi tu: Hassan Nassor Moyo amesema wazi wazi kuwa sera ya serikali tatu – si ya leo wala jana, enzi zao wakati wa Karume Sr. walidai na walaiandika mfumo waserikali tatu: then Karume alinuna. Sasa, bado nini tena.mimi nataka kuwatowa watu tongo za macho kuwa CCM sio chama cha wazanzibari bali CCM ni cha cha kuwapinduwa wazanzibari kwa sababu kama kingelikuwa ni chama cha wazanzibari basi kigelikuwa mstari wa mbele kuilinda zanzibar na kudai haki za zanzibar.lakini mtu yoyote namanisha mtu yoyote hata huyu kisheini leo hii akisema tu kuwa zanzibar lazima iwe na haki zake kamili basi atauzuliwa kama karatasi ndio maana akasema simuogopi mtu na muungano nitaulinda maana anajuwa nini kitamkuta.sasa CCM ni ya wazanzibari kweli au CCM kazi yake ni kuwapinduwa wazanzibar..? chama chetu sisi kilikuwa ni ASP baada ya kunganishwa vyama hivi cha ASP na TANU ilikuwa kwisha habari yetu.ilikuwa tayari wazanzibari tushapinduliwa na mpaka leo tuko chini ya ulizi mkali na ndio maana hakuna mtu anaye thubutu kusema kwii akisema tu kanyangwanywa madara na kadi kama bahati yako mbaya unaishia jela au unatupwa kati maisha ya idhalali kabisa kwa hiyo wazanzibari tuamke na tusema kweli kuwa CCM sio chama chetu ni chama kilicho letwa kuja kutupinduwa chama chetu ni ASP tukirudishe.

laa sivyo mambo ndivyo kama tunavyo yaona lazima ujichanganye na wahafidhina wasio taka maendeleo ya nchi wao wakotayari wapewe hivyo viposho vya laki tatu kila wiki kuliko kubadilika na kufikiria fikra mpya nini tufanye ili nchi yetu inuke na iwe nchi nzuri watu wanakula vizuri wanaishi vizuri polisi wanadabu ya kuhishimu rai na maji taa madawa na hata kusafiri nchi za nje na huku tunajulikana kuwa hawa ni wazanzibari. hayo wao hawayaoni maana wana fikra mgando kama ulivyo sema mansoor kwali kabisa wao wanafikiri maishi zanzibar ibaki kama ilivyo kisha sherehe za mapinduzi zeji mapinduzi daima mapinduzi daima mumempinduwa nani basi..? mazumbukuku nyie masiki hawajuwi kuwa wao ndio waliopinduliwa na watanganyika yao yanawaende vizuri zanzibar imeka kama ina maradhi ya ukomaa wa vidole kila kukicha vinamumunyuka tu vidole. havikuwi huu sio wakti tena wakutishana huu ni wakati wa kuangalia maslahi ya wazanzibari kwa wote wote wote sote sote sote. sio wakati wa kusema sisi tulipinduwa haapa ujiga mtupu ulipinduwa nini kisahani cha chai walio pinduwa washakufa na wote wamekufa vifo vibaya sana sote tosome tusiwe wajinga na akila za kuwaza njia moja tu. tunatowa onyo kwa hao wanaojita wakereketwa kuwa wakiendele na tabia yao yakutia fitini ila wazanzibari tugawike tena basi wajuwe siku zanzibar ikiwa huru wao wahamiya bara kabisa maana tutawafungulia mashtaka ya kuwagawa wazanzibari hatutaki ubaguzi zanzibar.zanzibar moja watu wamoja sote tukinya mavi yananuka hakuna hata moja wetu akinya yake yananukia udi au viluwa hakuna chama cha ASP sasa ni wakati wake kirudi kiungane na UAMSHO tupate zanzibar yatu.

No comments:

Post a Comment