Wednesday, July 25, 2012

VIP2 BALOZI ALI IDDI NA MOHAMMED ABOUD MPAKA WAZANZIBARI WANGAPI WAAFE NDIO MUJIUZULU



Nimasikitiko makubwa kuona kwamba kwa kipindi cha mwaka tu watu wapatao 2000 wameuliwa kwa uzembe wamakusudi wa Upakiaji mbaya au Usajili wa Vyombo Vibovu hapa nchini zanzibar.
Nimatumaini yangu kwamba kila kilichotokea ktk Matukio haya mawili ya mv spicer na sasa mv skagit Hamadi Masoudi Ndie aliye laumiwa peke yake na lawama zote juu yake kama vile yeye ndie Waziri anaeshughulikia Maafa na Uokoaji wakati yakitokea Maafa. Wakati Wizara yake ni ya Usafiri na Miundo Mbinu lakini ndani yake kuna Idara ya Maafa.Sisemi kuwa yeye alikuwa abaki madarakani laa khasha ilaa kwa nini Balozi iddi seif na Mohammed Aboud wao wabaki madarakani..? ilipaswa na wao pia wajiuzulu maana hii ilikuwa ni kazi yao iko katika wizara yao.Kwa nini Wanuka DAMU WAUWAJI CCM Maskani na Watanganyika WAKOLONI WEUSI au Wazanzibari wengine Wamewanyamazia wahusika wakubwa wa Ajali hii..?Office ya Makamo wa 2 Balozi Iddi Seif  na Naibu wake Mohammed Aboud Mohammed ndio Viongozi ambao wanatakiwa wawe makini katika matukio ya Hatari au ajali. Wizara yao Ndio inayopanga mipango ya Uokoaji wa majini na Angani na Sio kukusanya Misaada ya Wafiwa nakutumia fedha hizo kichama na kulisha familia zao kama wanavyo fanya hivi sasa Balozi iddi na Mohammed aboud wanakusanya michango kama hawana akili vizuri.Leo hii tumeona jinsi Mh. Hamadi Masoudi alivyoshinikizwa ajiuzulu…Jee Mohamedi Aboudu yeye atalindwa na Wana CCM SMZ kwa sababu Nchi ni yao..? Jee balozi iddi naye pia atambiwa ajiuzulu au ndio atalindwa na wana CCM SMZ kwa sababu Nchi ni yao..?Wale wazee na watoto wa Raia waliopoteza maisha yao bila yakupata Msaada wa Uokoaji kutoka kwa Wizara hii VIP2 Balozi iddi na naibu wake Mohammed aboud watawafahamu nini viongozi hawa madhalim..? Jee Hawajui kwamba Ukipigao Ndio Ukufukuzao...?Wizara ya VIP 2 ndio muhusika mkubwa wa Uzamishaji wa Boti ya kwanza ya MV Spice Islander baada yakuachia Boti kujaza bila ya kiasi na kuiruhusu boti hiyo kuondoka katika Dom Duck Night. Meli ilipokua inaanza kuzama waliwasiliana na ZMA ili wapatiwe Usadizi wa Uokoaji lakini Wizara husika ikiongozwa na Balozi Seif Ali Iddi na Mohamed Aboud walishindwa kufanya Hivo wazembe wakubwa.wakanyamaza kimya na kuwaulisha wanawake na watoto chungu nzima.Wakati huo Hamadi Masoudi alikua hata hayupo Nchini alikua Nje kuhangaikia Misaada ya Maendeleo ya Ujenzi wa Miundo Mbinu ilioko kwenye Wizara yake. Jee hapa nani wakulaumiwa..? Ajali ya MV Skagit ilitokea wakati wa saa Saba mchana kweupe na ajali hio ilitokea karibu na Dar-es-Salaam.sio kama walivyo sema kuwa ni chumbe hii ni kuonyesha wazi watanganyika pia wanamkono wao hapa wakutuuwa maana meli imezama dar es salaam ila wao hawakutowa msaada wa aina yoyote hao tunaowaita dungu zetu hao. Captain wa Boti hiyo alitoa taarifa kwa SUMATRA na ZMA ambayo kuwa meli inazama pia aliwataarifu akina Mohamedi Aboud na Balozi Seif Iddi. Lakini Kilichotokea ni Uzembe kama uliofanywa kwenye MV Spice Islander . Yes Mohamedi Aboud hakuweza Kuchukua hatua yoyote akawacha watu waafe kwa sababu waliokua ndani ya Boti sio wanawe wala wake zake. Na Balozi Seif Iddi ambaye ni Kiongozi lililokoma na DAMU YA UMAPINDUZI na CCM GOGO pia hakuchukua hatuwa yoyote.bayaa zaidi Hakuweza hata ku-react katika tukio hilo sio Moral wala practice.maana kichwani mwaka ashapiga hisabu millioni mangapi yata letwa katika msaada wa wafiwa na ngapi atachukuwa huku watu wanakufa yeye anafikiria pisa za hao wanaokufa atazitumia vipi inalilahi waina ilehi rajiuni. Hatimaye Watu walikunywa maji mpaka wanakufa mmoja mmoja huku wakiiona Dar ile pale. Wazanzibari tunajua kuna vikosi vya KMKM na kambi zipatazo 25 kwa Unguja tu hiyo ambazo zina Vijana wa JWTZ. Kwa nini Serikali ya Sheini haikuchukua hatua yaku Mobilise Vikundi hivi kwa Imagancy Disaster wakati ule liilpotokea Tokeo la kuzama kwa Spice Islander..? watasema ilikuwa usiku wamelala je hili la mv skagit mchana mchana pia mbona hawakufanya kitu kisha sheini nakidomo chake siogopi mtu sawa m/mungu jee.?Mohamedi Aboud na Bosi wake Seif Ali Iddi watawaelezaje wananchi kuhusu tukio hili ikiwa wao ndio Wahusika wa Maafa na Uokoaji..? ila imekuwa kinyume chake wao ni wahusika wa kukusanya misaada ya wafiwa na kujirudikia mali.Kwa nini SMZ CCM imewaachia Wauwaji hawa kuendelea kula pesa za walipa kodi wakati wamefeli kufanya kazi zao..? Jee aliestahiki kujiuzulu ni Hamadi Masoudi peke yake au Na Mahommed Aboud , na Seif Ali Iddi pia..? kisheini jiulize swali ikiwa hawa jamaa watabaki madarakani na kuendele kula raha huku wananchi wanakufa kama kuku wa kifaduro wananchi watakufikiria vipi wewe..? wewe sheini ndie unaye baba DAMU ZA WATU WALIO ZAMA NA HAWA MAJANGILI HAWAKUFANYA KAZI ZAO KAMA ILIVYOTAKIWA NA KURUKIA KUKUSANYA MAPESA.
Wako wapi KMKM na JWTZ kwa nini walifika katika matukio hayo saa 12 za jioni wakati Boti imeanza kuzama toka saa saba mchana..? na Waliarifiwa masaa 5 kabla. Tunaomba Serikali ya Dr Sheni CCM itueleze haswa nini kazi ya KMKM na JWTZ..? ile kauli yako siogopi mtu mbona hukuitumiya kumuambiya balozi ali iddi wewe na mohammed aboud pia mujiuzulu mbona hukusema umebana kimya kama kijibwa koko unawapiga mabomu waislamu kwenye misikiti na ramadhani hii.
1.Hivyo KMKM kazi yao Nikupiga Watu nakuingia Misikitini na Mbwa..?
2. Hivi KMKM kazi yake ni kupiga watu wanaosafirisha karafuu tu..?
3. Au KMKM kazi yake ni Kulinda usalama wa majini na angani na kuokowa watu yakitokea maafa kama haya..??
1. JWTZ kazi yake nikuchukua Balot Peper za Kura nakuwapigia kura CCM waliopo Madarakani..?
2. JWTZ kazi yake nikujibadilisha Usiku nakua Majambazi, kuvunja Nyumba za Watu nakuiba..?
3.JWTZ kazi yake ni kupinga watu siku na kuharibu wanawake na kuuwa watu siku za changuzi..?
4. Au JWT kazi yake nikulinda Usalama wa raia nakuwa Alat na matukio ya Ajali kama ya Meli..?
Kwa nini Vyombo hivi vilichelewa kufika kwa wakati , Mohamedi Abudu na Seif Ali Iddi Tunataka nawao pia wajiuzulu kama ni Viongozi wanao jali maisha ya Wananchi na Sio uroho na  kupenda Madaraka…

No comments:

Post a Comment