Wednesday, August 29, 2012

HALI SI SHWARI MOMBASA BAADA YA KUULIWA SHEIKH ABOUD ROGO


SHEIKH ABOUD ROGO BAADA YA KUPIGWA RISASI NA KUFAA PAPO
HAPO.

SHEIKH ABOUD ROGO WAKATI WA UHAI WAKE KABLA YA KUULIWA
Waandamanaji walivamia magari na majengo mjini Mombasa
MOMBASA SI KENYA YACHAFUKA

PWANI SI KENYA PWANI SI KENYA PWANI SI KENYA SHEIKH ABOUD ROGO AULIWA

VIJANA WAKICHACHAMA KWELI KWELI BAADA YA KULIWA SHEIKH ABOUD ROGO

POLISI WAKIJARIBU KUZIMA MOTO ULIYO WASHWA NA WENYEJI WA NCHI YA MOMBASA BAADA YA KUULIWA SHEIKH WAO ABOUD ROGO

No comments:

Post a Comment