Thursday, August 9, 2012

VIDEO-DULI BALOZI SEIF ALI IDDI KAISHIWA SASA ANAKWENDA KUWATISHA WATU WA KITOPE MASIKINI ZA MUNGU DULI NI DULI TU


Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM Balozi Seif Ali Iddi akiufungua mkutano Mkuu wa CCM Jimbo la Kitope uliofanyika hapo Kinduni Wilaya ya
Kaskazini B.
ANGALIA PICHA HII KWA MAKINI MZEE ALIYE KAA KATIKA YA WANAWAKE MSTARI WA MBELE ANAMUONYESHA BALOZI WACHA POROJO TUMBONI HUMU HAKUNA KITU YEYE ANAWAPIGA DOMO MAANA YEYE ASHASHIBA BASMATI YOPO HAPA KUTUWA VIMBI TU WAKATI WATU WA KITOPE HATA CHA USIKU HAWAKIJUWI NA ASUBUHI ISHAWAPITA NA MCHANA NDIO HUWO DOMO TUPU.
Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Jimbo la Kitope wakiwa tayari kwa ajili ya uchaguzi wa kuwachagua Viongozi wao watakaowaongoza katika kipindi cha miaka mitano ijayo.
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Tifa ya CCM Balozi Seif Ali Iddi amewaomba Wanachama wa Chama hicho ambao tayari wameshaamua kwenda tofauti na sera za chama hicho katika mfumo wa muundo wa Muungano ni vyema wakakiacha chama hicho kwa heshima na Taadhima.
Balozi Seif akiwa pia ni Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar  ametoa ombi hilo wakati akiufungua mkutano Mkuu wa uchaguzi wa CCM Jimbo la Kitope uliofanyika katika Ofisi ya Jimbo hilo iliyopo Kinduni Wilaya ya Kaskazini B.
Balozi seif alisema wakati umefika kwa wanachama wa CCM wasiozikubali sera za chama hicho ambazo zimepata ridhaa ya Wananchi waliowengi kuongoza Nchi hii itapendeza kama watarejesha kadi za chama hicho mara moja.
Aliwataka Wanachama wa chama cha Mapinduzi kujizatiti katika kuhakikisha Nchi inaendelea kubakia kuwa ya amani na salama muda wote.(ILI NYINYI VIONGOZI MUENDELE KUIBA SEREKALINI NA KUJINENEPESHA NA FAMILIA ZENU HUKU RAI TUKIENDELE KUFA NA NJAA NA MAGONJWA MWAKA HUU MUMEULA NACHUYAA MOTO UTAWAKA HAPA KAMA WANANCHI HATU MAISHA MAZURI KAMA YENU JAMBAZI KUBWA WEEEE)                                                                                                                                                       “ Wale wanaotaka kutuvurugia chama chetu na Muungano wetu waturejeshee kadi zetu. Kwa nini wanachama hao wanasubiri mpaka wajadiliwe kwenye Vikao vya chama au vile vikao vya maadili au mpaka tuwanyanganye warudishe tu kadi zetu..? Ya nini kutuvurugia chama chetu wakati nafasi za kung’atuka ipo wazi? AliuLIZA Balozi Seif.
Alisema Taifa hivi sasa linapita katika kipindi kigumu kutokana na baadhi ya vikundi kujaribu kushawishi wananchi na hasa Vijana kujiingiza katika vitendo vya uvunjifu wa amani.(wangalie wanao wako wapi wanakula nini wanava nini na wanamagari mangapi wanasoma maskuli gani kisha tuangaliye na sisi je tunapata kama wanavyo pata watoto wako DULI IDDI..?
Aidha alieleza kwamba Wanachama hao hawana budi kufikiria kupanga safu makini itakayoendeleza na kusimamia vyema uendeshaji wa chama pamoja na taifa kwa ujumla.
Balozi Seif alitahadharisha kwamba hivi sasa jamii inashuhudia matusi ya nguoni yanayoendelezwa na baadhi ya maundi ya watu dhidi ya Viongozi wa Serikali na Chama hali ambayo kama Jamii hiyo haitakuwa makini Taifa linaweza kutumbukia katika fujo na hatimae maangamizi.

                                           WATU WA ZANZIBAR HAWATUKANI ILA DULI BALOZI
HEBU WASIKILIZE HAWA WABARA WATANGANYIKA WENZAKO HAPA WALIVYO TUKANA HUU NI USHAHIDI KUWA WEWE DULI BALO SEIF ALI IDDI NA WABARA WENZIO NDIO WENYE MATUSI SIO
                                                                  ZANZIBAR
“ Tunakotoka kubaya sote ni mashahidi, kwa sababu familia na hata ndugu wa karibu walikuwa hawaulizani hali na hata maziko hawaendeani. Kwa kweli tusifikie tabia hii kuiruhusu irejee tena”. Alifafanua Balozi Seif.
Alisisitiza kwamba Chama cha Mapinduzi kitaendelea kuunga mkono mfumo wa uongozi wa Serikali mbili nchini Tnaznia na kuamini kwamba Mwanachama ye yote wa chama hicho anayejiamini ataunga mkono mfumo huo.
Akizungumzia ujenzi na uimarishaji wa majengo ya Matawi ya chama Balozi Seif alieleza kuwa mkazo utaendelea kuwekwa ili kukamilisha matawi matatu yaliyobakia ndani ya Jimbo hilo kati ya matawi yote 20.(BADALA YA KUTUJENGEA NYUMAB TUKAISHI UNATUJENGEA MATAWI WAKATI SISI TUNAISHI KWENYE NYUMBA ZA UDONGO TAWI LITATUSAIDI NINI ZAIDI YA KUANGALI TV YA UPUMBAVU WENU MUNAO USEMA KILA SIKU DULI IDDI..?


No comments:

Post a Comment