Saturday, September 29, 2012

VIDEO-MUHADHARA UAMSHO -MSIKITI WA MSUMBIJI NCHINI ZANZIBAR

USHAWAHI KUONA ASKARI WAKITETEMEKA..?
JIONE MWENYEWE KWA MACHO YAKO


PEOPLE OF ZANZIBAR CALLS FOR SECESSION

LOOK AND LISTEN TO THIS STUPID JOURNALIST FROM AL,JAZEERA
FIRST HE SAYS A GROUP OF MUSLIM CALL FOR SECESSION STUPID 100% IN ZANZIBAR PEOPLE ARE MUSLIM SO THERE IS NO GROUP ITS THE  PEOPLE OF ZANZIBAR
THAN HE GOES TO ONE CHURCH SO HE CAN SHOW THE WORLD THAT CHRISTIAN IN ZANZIBAR DONT HAVE PEACE AND THAT THE CHURCH HAS BEEN BURNED STUPID SHIT WHY DID YOU GO FILM ONLY CHURCH AND NOT MOSQUE FILM ALSO ABOUT MOSQIUE THAT THEY BURNED DOWN  BROKEN THE DOORS AND WINDOWS AND MUSLIM WOMEN WHO BEEN ABUSED BY THE STUPID POLICE WHO ARE FROM MAINLAND TANGANYIKA IF YOU COME TO ZANZIBAR TOO TRY TO TAKE ZANZIBAR LIKE WE HATE CHRISTIAN AND CHURCH YOU STUPID DONT COME BACK AGAIN IN ZANZIBAR OR COME AND SHOW BOTH WAY WHAT HAPPEN TO MUSLIM AND CHRISTIAN


VIDEO-VIONGOZI NA WAWAKILISHA WAKIENDELEA NA DARASA WANALOITA SEMINA KUMBE WANASOMESHO KUIJUWA KATIBA NA HAKI ZA ZANZIBAR 5

BAADHI YA WAWAKILSHA WAMKA NA KUOSHA TONGO WALIZO JAZWA NA WATANGANYIKA MIAKA MINGI.
MADA NI FAIDA ZA MUUNGANO HAHAHAHAH PIA JIONE MWENYEWE JINSI WAWAKILISHA WANAVYO SINZIA OVYO WAKATI WANAJADILI MAMBO MUHIMU YA NCHI YETU YA ZANZIBAR LAKINI INASINZIA OVYO KAMA MAPONO.

VIDEO-VIONGOZI NA WAWAKILISHI WAKIELEMISHWA KUHUSU KATIBA-SEMINA INAENDELE 4

JUUSAA ATOKA CHECHE NA KUWAPA UKWELI WAWAKISHI
PIA WASIKILIZI WAWAKILISHI WETU WALIVYO MAJUWA WANASEMA
ATI WAJE WAWAELEMISHE WANANCHI WAKATI WANANCHI WASHAELEMIKA
MPAKA WANANDAI NCHI NA KUPINGWAA MABOMU WAO WALIKUWA WAMELALA
SASA WANASEMA TUKAWAELIMISHE WANANCHI HAHAHAH VICHEKESHO


UAMSHO YAWAELEZA VIONGOZI WA ZANZIBAR SABABU YA KUDAI UHURU WA ZANZIBAR

waislamu na waznzibar kote nchini wametakiwa kufuata mfumo aliouweka Allah kwa waja wake kwa lengo la kupata mafanikio mema hapa duniani na kujiepusha na adhabu huko akhera




wito huo umetolewa leo na shekh Khalfan Nassor katika mhadhara uliofanyika katika viwanja vya masjid salami magogon wilaya ya maghrib unguja. Aidha amewasihi viongozi walioko madarakan kutumia madaraka yao kwa uadilifu na kulinda haki za wale wanaowaongoza na kusisitiza kuwa mashehe hawana nia ya kuwaondosha madarakani katika nyadhifa zao bali ni jukumu lao kufikisha ujumbe wa allah kwa waumin wote wakiwemo na viongozi.



kwa upande wake amir wa jumuiya na taasisi za kiislamu hapa nchini shekh Mselem bin Ally amesema suala la kudai hadhi na maslahi ya zanzibar kuwa huru sio jambo rahisi na kuwa linahitaji ustahmilivu mkubwa, hata hivyo amewataka vijana kuwa makini juu ya kile alichokiita kuwepo kwa njama za kuvuruga harakati zao za kudai uhuru wa nchi ya zanzibar zinazofanywa na wasioitakia mema nchi ya  zanzibar.



Akibaanisha sababu ya mashehe kushiriki katika kudai uhuru wa nchi ya zanzibar ni kuwasaidia viongozi wenye uchungu na nchi yao kwani wanaonekana kukosa nguvu na ushirikiano kutoka kwa baadhi ya viongozi katika serikali ya umoja wa kitaifa zanzibar, hivyo amesema hata zile sababu za kuanza kwa upinzani wa vyama zanzibar kulikua ni ile ile kuitakia mema nchi, kutokana na kushindikana kwa wanasiasa wakuitetea zanzibar ndio maana wananchi wenyewe wameamua kufanya jitihada na juhudi za kuikomboa nchi yao ya zanzibar.

HILI NI JIBU KWA UAMSHO IKIJIBIWA NA KUEKWA SAWA

salaam,

Huu ni ukumbusho na wasia kwa Mashekhe wetu kama alivyosema Allah (swt) kuwa “kumbusha kwani ukumbusho utamfaa mwenye imani”

Allah (swt) amesema katika Qur’an kuwa “Na wala msiufiche haki (ukweli) kwa upotevu na kubadilisha ukweli na hali yakuwa munajuwa”.,(kwa tafsiri ya karibu).

Kama tunahitaji uhuru kama wanavyodai hawa Mashekhe wetu basi kwanza tudai uhuru kutoka kwa hao viongozi wa visiwani iliwatuache tujitawale kwa mujibu wa sharia za Muunba wetu na si kwa sharia za viumbe hao. Hii ndio HAKI yetu kubwa ya kuidai kutoka kwao na hawa mashekhe wetu ni lazima wawe msitari wa mbele katika kutekeleza hilo. Mtume wetu kiumbe bora kuliko viumbe vyote duniani anadhalilishwa na hatuna nguvu ya kuzuia hilo. Allah (swt) anapuuzwa na wao hao viongozi wanaruhusu kukejiliwa kwa sharia za Allah (swt) nasisi waislamu tumeona la muhimu zaidi ni Utaifa wetu tuliojipachika kwa visiwa tulivyo azimwa na Muumba kwa muda mchahe. Nini tutajibu kwa uzinufu ulioenea hapo visiwani?, nini tutajibu kwa mabaa na ulivi uliojaa?, nini tutajibu kwa ubaradhuli uliozagaa?, nini tutajibu kwa wizi na ujambazi uliofunika?, nini tutajibu kwa utebeaji uchi wa binaadamu uliowazi?, nini tutajibu kwa riba iliyotawala uchumi na riziki zetu?

Hivyo tusimtumie Allah (swt) pale tunapotaka masilahi yetu binafsi na kumsahau au kumpuuza pale sharia inapohitajika kutekelezwa. Visiwa vya Zanzibar na ardhi yote duniani ni yake Allah (swt) na katujaalia sisi wanaadamu hususan waislamu kuwa ni wasimamizi na wachunga wa amana hiyo. Pia akatuteremshia katiba na sharia ya kutuongaza vipi tuenendeshe maisha yetu hapa duniani ili tuokoke na moto na ghadhabu zake kesho Akhera. kama aliposema katika Qur’an kuwa “Hakika hukumu zote ni zake Allah na ameamrisha kuwa asitiiwe yoyote ispokuwa yeye tu.” na aliposema kuwa “Na yeyote atakayepuuza materemsho yangu basi hao watakuwa na maisha ya dhiki duniani na kesho Akhera watakuwa ni weye khasara.”

Leo vipi hukumu zinazotutawala ni kinyume na zinapinga ufalme wake Allah (swt) halifu eti hapo tunamuomba atusaidie kwa kuzidi kumdhulumu haki yake ya kutawalishwa kwa sahria zake. Jee huu si unafiki? kama alivyo sema katika Qur’an kuwa “Na yeyote asiyehukumu (hukumiwa) kwa sharia alizoteremsha Allah basi hao ni madhalimu” na aya inayofuatia amemalizia kwa kusema basi hao ni mafasiki.

Sasa tujiulizeni Je tunamfanyia Mungu kejeli? au Kuwa yeye ni Mungu wa kutekeleza matakwa yetu tu? au yeye ni Mungu wa swala, funga na hajji tu?

Najuwa baadhi watajibu kwa kusema kuwa tuachwe tupumuwe…. basi na pia tufikirie kauli hiyo kwa Allah (swt) itakuwa na maana gani, “kuwa atuache kwanza tupumuwe kisha yake yatafuatia baadaye tukitaka !

Amesema Allah (swt) kuwa “Enyi mlioamini ! muogopeni Allah kadri anavyostahiki kuogopewa na wala msife ila isipokuwa ni waislamu (mumejisilimisha kikamilifu).” Mwenyezi Mungu hapa anatutaka tufe haliyakuwa ni Waislamu. na katika aya zake ametuzungumza kwa neno la Muslimoona, Muuminoona, Mutaqoona. nk. na katu hatuzungumza kama Wazanzibari wala wataifa fulani. Vipi leo tunajivuna kwa majina ambayo Allah (swt) hakutuita?

Waumini hatujuwi mauti yatatukuta wakati gani na katika hali gani na tukiwa tumishikia kauli ipi kati ya hizi mbili “tuachwe tupumuwe” au “Laa ilaha illa Allah Muhammad Rasul Allah” Ni jukumu letu kuvikombowa visiwa hivyo na Afrika Mashariki nzima kutoka katika tawala za kitwaghuti za kisheria za kibanaadamu na kusimamisha sharia zake Allah (swt) kama tunavyojidai kusoma katika sura Al-Fatiha katiak kila sala kuwa “Yeye tu pekee ndiye tunaye muabudu (kwa kumtii sharia zake) na yeye tu ndiye tunayemuomba msaada wake.”

Yaa Allah tusamehe makosa yetu na uturuzuku uongozi wa sharia zako na tujiite Waislamu kama alivyotuiita baba yetu Nabii Ibrahimu (a.s). Amin.

Wabillahi Tawfiq

WAISLAMU NCHINI TANGANYIKA WAMEHADHIBISHWA NA FILAMU ILIYO AKTIWA MAREKANI YA KUMDHALILISHA MTUME MUHAMMED (S.A.W)


waislamu nchini tanganyika wandamana kupinga filamu iliyo mdhalilisha mtume muhammed (s.a.w)

wanawake wa kislamu nchini tanganyika wakiandamana

wanawaki nchini tanganyika wakiandamana na kutaka ubalozi wa marekani kuondolewa nchini kwao tanganyika.

waislamu nchini tanganyika walipoandamana na kuswali pamoja kupinga filamu iliyo aktiwa nchini marekani kwa kumdhalilisha mtume muhammed (s.a.w)lakujiliza zanzibar wakiandamana je watalindwa na polisi au watapingwa mabomu maana hapa askari katuli hafurukuti maana anajuwa akifurukuta tu hawana nchi tena ila zanzibar wanawapiga mabomu.

vibaraka wa sheitwaniiiiiiiiii

waislamu wakiandamana nchini tanganyika

maelfu ya wanawake wa kislamu nchini tanganyika wakiandamana kupinga filamu iliyo aktiwa kumdhalilisha mtume muhammed (s.a.w)

waislamu wakiendele na madamano nchini tanganyika nchi jirani na nchi yetu ya zanzibar.

vibaraka wa ibilisi

waislamu wachachama nchini tanganyika

wanawake wakislamu nchini tanganyika wakiandamana

waslamu wakiendelea kuandamana nchini tanganyika nchi ya jirani karibu na nchi yetu ya zanzibar

wanafunzi wa kinslamu nchini tanganyika wapinga vikali kuongozwa nchi yao na kanisa katoliki

wanafunzi nchini tanganyika wakiendelea kuandamana na kupinga vikali filamu na pamoja nchi yao ya tanganyika kuongozwa na kanisa katoliki

waislamu nchini tanganyika wajaju baada ya mtume muhammed (s.a.w.) kuthalilishwa katika filamu iliyo aktiwa nchini marekani.

hawa ndio vibaraka wa ibilisi wakitimiza uwibilisi wao na ushetwani.

waislamu wakijumuika na kupinga vikali kuhusu filamu iliyo aktiwa marekani ya kumdhalilisha mtume muhammed (s.a.w.) hawa ni waislamu wasio taka kabisa mtume wao kuchezea nchini tanganyika nchi jirani na nchi ya zanzibar

waislamu wa nchi ya tanganyika wakiandamana kupinga vikali filamu iliyo aktiwa na kumdhalilisha mtume muhammed (s.a.w)



Thursday, September 27, 2012

VIDEO-VIONGOZI NA WAWAKILISHI WA ZANZIBAR WAO WENYEWE HAWAIJUWI KATIBA.

JIONI VIHOJA VYA NCHI YETU YA ZANZIBAR HAO TUNAO WAITA VIONGOZI KUMBE WAO WENYEWE HAWAIJUWI KATIBA HHAHAHHAHAHA ATI WANAJIDAI KUANZISHA SEMINA YA KUELIMISHA WATU WA ZANZIBAR KUHUSU KATIBA KUMBE NDIO WA WENYEWE WAMEWEKWA DARASANI KUFUNDISHWA KATIBA NI NINI NA ZANZIBAR NI NINI NA NI NINI HAKI ZA ZANZIBAR AMAKWELI SEREKALI HII IMEJA MAPUMBA NA MAKUMBI MATUPU DUUUUUUUUUUUUH 

Tuesday, September 25, 2012

VIDEO-NCHINI ZANZIBAR-NGOMBE 7,MBUZI 30, KONDOO 3, KUKU 20, NA BATA 1, TULICHINJA

INSHAA ALLAH SADAKA HII ITULINDE SOTE WAZANZIBARI NA MADUWI WANAO TUANDAMA NA KUTAKA KUTUMALIZA NA KUTULETEA DINI MPYA ISIYOKUWA DINI YA HAKI AMIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIN

VIDEO-MFUMO KRISTO ULIVYO IVAMIA NCHI YA ZANZIBA

PART 1

VIDEO-MFUMO KRISTO ULIVYO IVAMIA NCHI YA ZANZIBA

PART 2

VIDEO-MFUMO KRISTO ULIVYO IVAMIA NCHI YA ZANZIBA

PART 3

VIDEO-MUUNGANO NAUJUWA KAMA JINA LANGU ‘HASSAN NASSOR MOYO’

PART 1

VIDEO-MUUNGANO NAUJUWA KAMA JINA LANGU ‘HASSAN NASSOR MOYO’

PART 2

VIDEO-MUUNGANO NAUJUWA KAMA JINA LANGU ‘HASSAN NASSOR MOYO’

LAST PART

Saturday, September 22, 2012

WATANGANYIKA WALIOJA NCHINI ZANZIBAR WAKIONYESHA MUELEKEO WAO NDANI YA NCHI YETU YA ZANZIBAR


HII NDIO FAIDI YA KUONDOWA PASPOTI ZANZIBAR SASA MINYIKA ILIYO JAA ZANZIBAR INAJIFANYA KAMA WAO NDIO WAZANZIBARI NA KUTAKA KUIMALIZA NCHI YA ZANZIBAR NA KUWA MKOA WA PWANI WA NCHI YA TANGANYIKA.

UAMSHO-WAZANZIBARI TUKITAKA NCHI YETU LAZIMA TUWE WAMOJA NDIO TUTAIKOMBOWA NCHI YETU


wananchi wa zanzibar wametakiwa kuwa na umoja wenye msimamo madhubuti wa fikra za ukombozi wa nchi yao pamoja  na kuepuka madai ya watu wachache yasiyo sahihi yanaoandaliwa ili kuweza kuugawa umoja wao na kuwarudisha kule kule walipotoka.
Hayo yameelezwa  na ustadh Sleiman  Haji alipokua akiwahutubia waislamu na wapenzi wote wa zanzibar katika mhadhara uliofanyika katika viwanja vya msikiti wa mbuyuni, mhadhara huo uliohudhuriwa  na mamia ya wazanzibar ust Sleiman amesema kuna mbinu nyingi zimeandaliwa juu ya jumuiya  ya muamsho ili kuweza kuiondoa  hivyo amewataka wazanzibar kujipanga upya kuweza kukabiliana na mbinu zinazoandaliwa ili kuweza kuzishinda na wazanzibar kuendelea mbele na harakati zao za ukombozi wa zanzibar ili kuweza kupata mamlaka kamili ya nchi yao.
Nae ust Mussa Ame amewataka waislamu kuonesha hisia zao za kuchukizwa kwa kitendo kilichofanywa na maadui wa uislamu kwa kumdhalilisha Mtume  Muhammad S.A.W  hivyo ameonesha masikito yake kwa kuona nchi kama ya zanzibar ambayo ina jumla ya waislamu 99% lakini serikali ya mapinduzi ya zanzibar inashindwa kutoa matamko dhidi ya vitendo mbali mbali wanavyofanyiwa waislamu likiwemo suala la kudhalilishwa Mtume s.a.w.
Nae kwa upande wake amiri wa jumuiya ya muamsho amesema vyombo vya ulinzi nchini Tanzania havifanyi kazi ya kuilinda nchi, kuangalia sheria za nchi au maslahi ya raia  bali wanalinda vikundi vya watu wasio nahatia ambao wanaitakia mema nchi yao ili kuweza kuikomboa na kuwa na mamlaka yake. hivyo amewataka wazanzibar wasikubali kauburuzwa na kugawnywa katika kudai haki yao.

Friday, September 21, 2012

MZEE MOYO ASEMA MUUNGANO UNADUMU KWA SABABU YA CHAMA TU


 WANANCHI wametakiwa kujali maslahi ya nchi kwanza na baadae chama, kwa lengo la kuweka mustakabali mzuri wa nchi.
 
Hayo aliyasemwa jana na mwanasiasa mkongwe, Hassan Nassor Moyo, wakati akizungumza katika mjadala kwa vyombo vya habari kuhusu Muungano wa Tanganyika na Zanzibar uliofanyika hoteli ya Mazsons Mjini Zanzibar.
 
Alisema wananchi na hata baadhi ya viongozi wamekuwa wakinasibisha muungano na chama jambo ambalo wamekuwa wakiwapotosha wananchi kujua ukweli wa mambo na hivyo kuwakosesha fursa muhimu ya kudai maslahi ya nchi yao.
 
Alifahamisha kuwa yeye kama muasisi wa muungano hakubaliani na uamuzi huo na kwamba iko kila sababu ya kudai maslahi ya Zanzibar pamoja na watu wake hasa ikizingatiwa kuwa makubaliano ya muungano hayako kisheria.
 
“Mimi nitakuwa miongoni mwa watu watakaoulizwa kesho mbele ya Mungu kuhusiana na mstakbali wa nchi hii kwa nini najua ukweli nisiwaeleze wasioujua, huu ni ukweli halisi na mimi kama muasisi nabeba dhima hii mpaka mbele ya Mungu,” alisema.
 

Sambamba na hilo lakini muasisi huyo alisema ukiangalia kiundani muungano huo umetawaliwa na  udugu zaidi kwa kuwa si wa kikatiba wala kisheria.
 
“Tangu mwanzo muungano huu hauna mambo mazuri kwa nini tunapohoji katika mambo muhimu yamekuwa hayatekelezwi labda kwa kuwa hauko kisheria wala kikatiba, sheria ya Zanzibar hakuna kitu kinachozungumzia muungano, pia mawazo ya muungano hayakuzungumzwa katika baraza la Mapinduzi wakati huo, wakati umefika sasa kufanya mabadiliko kwa maslahi ya nchi yetu na vizazi vyetu,” alisema mzee moyo.
 
“Kuna sehemu alitakiwa Mzee Karume kutia saini lakini hakuweka saini hiyo na sisi wakati huo tulikwenda Tanganyika kudai baadhi ya mambo hayati Nyerere alisema bado wakati wake, sasa wakati umefika vijana kudai …… tumieni mwanya wa katiba mpya,” alisisitiza.
 
Akijibu suala aliloulizwa kuhusu kurudisha kadi au kujitoa katika chama cha Mapinduzi, Mzee Moyo, alisema yeye hawezi kufanya hivyo, na hakuna mtu wa kumlazimisha kurejesha kadi ya chama hicho.
 
“Kwa taarifa yenu mimi ni mwanachama halisi mwenye kadi nambari 7 ya chama hivyo hakuna mtu yoyote atakaenihoji kurejesha kadi yangu kwa kuzungumzia maslahi ya nchi yangu,” alisema.
“Wazanzibari Muungano wanautaka lakini ni lazima kufanywe mabadiliko na hivyo wanavyosema uamsho mara nani hataki muungano hiyo ni kuwapotosha wasiojua nasema hivyo kwa maslahi ya nchi yangu,” alisisitiza.
 
Nae Profesa Abdul Sharif, akiwasilisha mada juu ya wajibu wa dhima ya vyombo vya habari katika kuripoti habari za Muungano, alionesha wasiwasi wake kwa mambo yatakayofikiwa katika katiba mpya kama yatakubaliwa sambamba na kutekelezwa kwa maoni ya watu wa Zanzibar.
 
Sambamba na hilo pia alisema kuna uwezekano wa kutopatikana majibu muafaka kutokana na baadhi ya wananchi kutokuwa na uelewa kueleza bayana juu ya maslahi ya Zanzibar katika mchakato wa kutoa maoni ya katiba mpya.
 
Akizungumzia kuhusu mambo ya kisheria yanayopitishwa bungeni, Profesa Sharif, alisema mambo mengi yanayopitishwa kisheria bungeni yamekuwa yakiwanyima fursa wabunge wa Zanzibar kwa kuwa wao ni asilimia 20 na Tanzania Bara ni asilimia 80, hivyo uwakilishi wa kuamua mambo unakuwa ni mkubwa kwao.
 
“Hata kama watakataa wabunge kutoka Zanzibar basi si kitu kwa kuwa utaratibu umeonesha hivyo sheria ya bunge inahitaji marekebisho kwa kuwa mambo mengi yamekuwa yakifanyika kwa maslahi yao watanganyika,” alisema.
Kwa upande wake Mwanasheria kutoka Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka Zanzibar, alisema kimsingi mambo yaliyokuwepo sasa ni vichekesho kwa kuwa hakuna uthibitisho wa mambo ya muungano hasa ukizingatiwa kuwa hakuna katika katiba wala sheria.
 
Alisema Mwanasheria wa mwanzo wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, hakupewa nafasi yake ya kuweza kuhoji mambo ya muungano, hivyo dhana ya mambo matatu muhimu katika muungano hayapo tena ikiwa ni kwa Serikali ya Zanzibar, Tanganyika na Serikali ya Muungano.
 
 
“Kwa kuwa mkataba ni jambo la hiyari baina ya pande zote mbili hivyo ni lazima kukubaliana na kuridhiana baina ya pande hizo, kutokana na hilo dhima ya Zanzibar ikishindikana ni kupigwa kura ya maoni,” alisema.
Nae mwandishi wa habari wa siku nyingi Enzi Talib Aboud, alisema Baraza la Mapinduzi limeshakaa mara mbili kutaka kufanyiwa kazi baadhi ya mambo muhimu lakini upande mmoja unashindwa kutekeleza.
 
Enzi aliwataka waandishi wa habari kuijua historia ya Zanzibar hasa kwa masuala ya muungano jambo ambalo litawawezesha kuhoji na kuuliza kuhusu mambo muhimu ya Zanziba na watu wake.
 
Mapema Ofisa Mipango wa Baraza la Habari Tanzania (MCT) ofisi ya Zanzibar, Shifaa Said Hassan, alisema waandishi wa habari wana wajibu mkubwa wa kuwaelimisha wananchi juu ya muungano.
 
Alisema lengo la mjadala huo ni kuona kuwa vyombo vya habari vinafanya wajibu wake katika kuzungumzia muungano kwa umma, hasa kwa kuwa mijadala kama hiyo imekuwa ikizungumzwa siku zote.

Mjadala huo umetayarishwa na Baraza la Habari Tanzania, ofisi ya Zanzibar ambapo uliwakutanisha waandishi wa habari wa vyombo mbali mbali pamoja na wadau kutoka sekta ya serikali na binafsi.

Thursday, September 20, 2012

UAMSHO YAITETE MAREKANI JE HII NI KWELI..?KAMA KWELI BASI HATUNA UAMSHO TUNA MAJUMUISHO YAANI WOTE NI SAWA TU CCM,CUF NA UAMSHO.


ADHABU YA ALLAH INAMSTAHILIA ALOMTUKANA MTUME (S.A.W) KAMA ZINAVYOMSTAHILIA MWENYE KUUWA WASIOKUWA NA HATIA
Kila sifa njema zinamstahikia Allah (S.W.) Muumba Mbingu na Ardhi Mfalme wa wafalme asiyeshindwa na kitu; sala na salamu zimuendee kipenzi cha Umma, Mtume Muhammad (s.a.w). Aliyeletwa kuwa ni Rehma kwa walimwengu wote na aliyekuwa kasifiwa na Mola wetu kuwa ameshikamana na sifa nzuri na vitendo vizuri kabisa.Kwa utukufu alopewa Mtume (s.a.w) ni muujiza wa kutosha kwa mwenye kuzingatia kiasi ambacho hauathiriki utukufu wake kwa maneno ya wajinga bali hudhalilika msemaji na kuzidi kutukuka mtukufu wa daraja Mtume (s.a.w) na kwanini asitukuke wakati ametukuzwa na yeye Allah (S.W.) utukufu usio kifani pale alipomwambia:
“..Kwa hakika wewe Muhammad una Tabiya ADHIYM..”
Ndugu wa Kiislaam,
Inasikitisha sana kuona kuwa kuna baadhi ya Waislaam ambao ni watu wepesi kiasi cha kuweza kuchokozwa na wajinga wasio na thamani wakajiingiza katika mitego na vitendo vyao vikawashirikisha pia Waislam wasiokubaliana na vitendo vyao viovu. Daima Mwislamu anatakiwa awe katika haki; asimuasi Mwenyezi Mungu ili kuepukana na ghadhabu zake Allah (S.W.).
Uislaam ni dini ilokamilika kwa kumdhaminia mwanaadamu ufumbuzi na miongozo ya mambo yote katika maisha yake ya Dunia na ndio maana Allah (S.W.) kakitukuza Kitabu chake kwa kusema:
“…hatujaacha kitu katika kitabu hichi…”
Tukizingatia tutaona kuwa watu waovu kuibuka kila baada ya muda na kumtukana Mtume (s.a.w) au kuutukana Uislaam si jambo geni ni ukafiri wa wazi na uadui ulioanza tokea siku ya mwanzo ya kupewa Utume na kuanza kuufikisha kwa watu wake yeye mwenyewe Mtume (s.a.w) na kwa bahati, aliyeanza hujuma na dharau hizo alikuwa mtu wa karibu wa damu kabisa na Mtume (s.a.w) na haikuwa kumkanusha tu bali alifikia hadi kumuombea maangamizo kwa maneno mashhuri aliposema Abuulahab:
“..maangamizo yakufike, hili ndio ulotukusanyia…!”
Mbali ya kupigwa mawe na mengine mengi tu, la umuhimu ni kujifunza kutoka kwake (s.a.w.) na vile vile maandiko ya Qur-aan.
Ni sahihi kabisa kuwa amelaanika na kuangamia yule mwenye kumtusi Mtume (s.a.w.) ndio tukaona hakusalimika jamaa yake Mtume (s.a.w) wa damu, bwana Abuulahab, Allah akashusha sura nzima ya maangamizo akaanza kwa kusema:
“Imeangamia mikono ya Abulahab na kuangamia na yeye mwenyewe…”
Lakini je! ni sahihi kuuwawa maquraysh wa makka kwa kosa lake? Jawabu: aya hazikushuka kuwalaani Makuraysh wote, si wa ndani hapo Makka, seuze waliokuweko nje seuze wale ambao wamo katika dhimma na hifadhi za Waislamu; ikiwa kosa la Abulahab hakuadhibiwa mwengine basi ni wazi kuwa hakuna uhalali wa Waislamu kwa kosa la watu kumkejeli Mtume (s.a.w) kuwahujumu wasiohusika na wasiokuwa na hatia.
Kuvamia Ubalozi wa Marekani hukoBenghazi nchini Libya ni kosa kwa pande nyingi tu kwani Allah (S.W.) anasema:
“…wala hatobeba mkosaji dhambi ya mwengine…”
Kosa la kumkejeli Mtume (s.a.w) haijawa halali kufanya ndio sababu ya kutenda vitendo vya uadui.
Allah (S.W.) ametufunza hayo ndani ya Qur-aani kwa kusema:
“… wala makosa ya watu ya kukuzuiyeni msiingie masjidi ‘lharami yasikufanyeni mkatenda uadui na kuchupa mipaka…”
Ubaya mkubwa zaidi ni kuhatarisha roho za watu ambao wako chini ya dhimma zetu kwani kila balozi na wafanya kazi wake huwa katika hifadhi ya nchi waliokuweko. Hivo leo tutafurahia kusikia balozi wa Libya nae anavamiwa na kuuwawa na familia yake nchi yoyote aliko?
TUNALAANI TUNALAANI NA KUKEMEA KWA NGUVU ZOTE KWA KEJELI DHIDI YA MTUME MUHAMMAD S.A.W. ILOFANYWA NA MAKUNDI YANAYOTAKA KUPANDIKIZA MBEGU ZA FITNA NA UCHOCHEZI WA VITA, PIA TUNAKEMEA KITENDO CHA KUULIWA BALOZI NA WATENDAJI WAKE WASIO NA HATIA, NA PAMOJA NA MATENDO YOTE YA UHARIBIFU YANAYOFANYWA DUNIANI KOTE KISHA KUNASIBISHWA NA UISLAMU AMBAO UKO MBALI NA DHULMA NA UADUI HUO.
Pia tunamuomba Allah (s.w) awaangamize na kuwadhalilisha wale wote walochangia kwa njia moja au nyengine kutengeneza Fitna hiyo.
Hakika Mtume (s.a.w) ni Rehma ilioletwa hapa ulimwenguni akishushiwa ndani ya Qur-ani:
“…na hatukukupeleka wewe Muhammad illa uwe ni rehma kwa walimwengu…”
Rehma hii ni mafunzo alotuachia Mtume (s.a.w) yatakayowavutia wasiokuwa Waislamu kutaka kuujuwa Uislamu wala hatutokuwa rehma kwa matendo maovu acha mauwaji. Tufuate sira yake Mtume ya kuwa na sifa nzuri na vitendo vizuri.
Tunamshukuru Mola kwa neema Zake na ulinzi Wake.
Sh. FARID HADI AHMED
MSEMAJI MKUU WA UMOJA WA JUMUIYA
NA TAASISI ZA KIISLAMU ZANZIBAR 18/9/2012

JIBU LA KUIJIBU UAMSHO KWA KUITETEA AMERICA

aslam aijibu uamsho.
salama aleikum wazanzibar wote, kwa kweli leo nimeamini kuwa uamsho sasa wanaingia siasa yaani wanajidhalilisha na kuwatetea wamarekani , anapo tukanwa mtume wao husema ni freedom of speeach or free wold . lakini wakitukanwa mayahudi inakuwa kosa , well done uamsho , kama munategemea wamarekani labda ipo siku watakusapotini mmechelewa , wao wanakujuweni kuliko munavyo jijuwa nyie wenyewe, huyu balozi wa marekani alie uliwa libya yeye ndiye aliye kuwa msitari wa mbele kuuliwa walibya na gadafi hata akafika kupewa cheo cha ubalozi,sharti mukubuke waliouliwa ni waislamu,kwani yale makombora waliokuwa wakipiga kutoka manuwari za kimarekani si yalikuwa pia yakiua inocent wengine na waislamu wangapi walikufa mbona hamkukemea sasa mmekuwa vibaraka wa mmarekani uamsho, kilicho wafika al qaida na nyie pia kitakufikeni ,wao walikuwa ni mstari wa mbele na wamarekani na mwisho walifanywa nini acheni kujipendekeza tizameni ukweli ndio mutoe maelezo , mimi nakubaliana na walebanon tufanye maandamano duniani kote wajue kuwa waislamu sio watu wa kuchezewa wataendelea mpaka lini kumtukana mtume na waislamu hii ndio tabia yao kama wao hawataki basi waitoe katika yuotube basi wakitaka sasa hivi wataitoa lakini ni wanafiki wao wanachekelea wamefurahi kutukanwa waislamu ,jana tu tumeona wameuliwa waislamu wanawake afaghanistan wa nane ati wamekosea mbona nyinyi uamsho hamkulani ati leo kuuliwa balozi wa marekani munalani wanafiki wakubwa, alipo uliwa sheikh yasin kule palestina wamarekani walifurahi duniani kote , wamemtia ndani pia yule sheikh kipofu bila ya kosa lolote tena kipofu mbona hamumtetei , hatuwezi kustahamili tuendelee kutukanwa kwa kipenzi chetu na tukae tutizame tu masheikh wote duniani wamepinga tusikubali wao wanataka sisi tuwapejegee wamarekani ,uamsho nadhani sasa mumechanganyikiwa tuone basi je wamarekani watakusapotini tuipate zanzibar , kuanzia leo sina imani na uamsho wanafiki wakubwa , sasa waislamu wameamka hakuna kuonewa wakituonea hatukubali wakati wa kuonewa umekwisha ,nyinyi hamuoni nchi zote za kiislamu zimetawaliwa na waislamu hao ambao walikuwa wakipigwa vita na wamarekani hii ni fimbo ya m,mungu anawapiga hapa hapa duniani, wasalamu.

Wednesday, September 19, 2012

DUNIA YA LEO PICHA KWANZA KISHA NDIO USAIDIWE HATA KAMA UNAKUFA WATU WATACHUKUWA PICHA KWANZA


JIONE MWENYEWE MCHUKUWA VIDEO NA MPIGA PICHA WAKI PIGA PICHA NA KUCHUKUWA VIDEO WAKATI KIJANA ANAUMWA NA NYOKA WAMEONA MUHIMU KUCHUKUWA VIDEO NA PICHA KWANZA BADALA YA KUMSAIDIA KWANZA.

Monday, September 17, 2012

HAKUNA GNU WALA CUF BALI KUNA UKOLONI WAKITANGANYIKA KUITAWALA NCHI YA ZANZIBAR KWA GUVU ZA KIJESHI


UKOLONI UNAENDELEA NCHINI ZANZIBAR

WAZANZIBARI MTATAWALIWA MPAKA LINI NA HAWA WATWANA WA KITANGANYIKA..?

JESHI LA WAKOLONI WEUSI TANGANYIKA LIKIENDELEA KUWANYANYASA WAZANZIBARI

WAZANZIBARI WAKIKIMBIZANA BAADA YA JESHI LA WAKOLONI WEUSI TANGNYIKA KUWASILI NA KUWAPIGA


MADULII,MAKABURU,WAKOLONI WEUSI WA KTANGANYIKA WAKIWASILI NCHINI ZANZIBAR NA MITUTU YAO KUJA KUWAPIGA WAZANZIBARI KATIKA MJI WA BUBUBU.

Friday, September 7, 2012

BONGE LA BALAA LAZUKA NCHINI ZANZIBAR

NCHI ZA JIRANI NA ZANJE ZINA VIONGOZI SISI ZANZIBAR TUNA MAPUMBA NA MIZOGA YA KUNUKA RUSHWA NA NJAA NA KUJIPENDEKEZA KWA WANYEKA.
UZANZIBARI BASI…SASA NI UTANZANIA TU. Ule ukoloni wa Tanganyika kutaka kuimeza zanzibar na kuwa nchi moja wazidi kupamba moto. Kwa taarifa tulizozipata ambazo kuwa mpaka sasa kunatetesi kuwa Waziri wa nchi ofisi ya Rais Mwinyi Haji Makame anataka kupeleka mswaada barazani wa KUKIFUTA KITAMBULISHO CHA UZANZIBARI ILI KUKIPITISHE KITAMBULISHO CHA WATANGANYIKA CHA WAKOLONI WEUSI KUFANYA KAZI HAPA NCHINI KWETU ZANZIBAR.Na hii ni sera ya chama cha CCM kutoka serikali 2 kuelekea 1.na nchi iwe ni moja nakuwa TANZANIA.wameanza mbali sana hawa kutunyanganya madaraka na sasa wanatumaliza tu.baya zaidi ni kuwa huyu waziri asiyekuwa na wizara maalum KISHEIN ndie mwenye kupiga Kampeni na kuwapigea debe haswa ya kukikaribisha kitambulisho hicho nchini kwetu Zanzibar.Na  Kishein ashanza kuwataka Wazanzibar wajitokeze kwa wingi kuvichukua vitambulisho vya KIKOLONI KUTOKA TANGANYIKA. JAMANI HIVI TUNAENDA MBELE AU TUNARUDI NYUMA..????,KWA KWELI NAKUMBUKA MANENO YA AMIR WANGU SHEIKH MSELLEM ..KATIKA VYAMA VYETU TUNAEKEWA MAKUMBI NA BADO TUNACHAGUA HAYO HAYO MAKUMBI. Tunaposema ukweli watu wanaumia.Lakini lazima kwa sasa SIASA NA VYAMA TUWEKE PEMBENI TUWE PAMOJA KITU KIMOJA IKIWA TUNAITAKA ZANZIBAR YETU NA KUWA HURU LAA KAMA TUMERIDHIKA NA KUTAWALIWA NA WAKOLONI WEUSI MAJAMBAZI WALEVI MALAYA BASI SAWA TUENDELE KUJIGAWA KIVYAMA NA WAO WANATUTAWALA WAKITUZIDISHIA UMASIKINA NA KUTUNYANYASA NA KUTUUWA SIKU ZA UCHANGUZI NA KUTUHARIBIA MAMA ZETU NA DADA ZETU.UA TUSHIKANE NA MAAMIR WETU TUKOMBOE NCHI YETU ILI TUWE NA KILA KITU JESHI  LETU POLISI WETU PASPOTI ZETU PESA ZETU VITAMBULISHO VYETU TUKISAFIRI NCHI ZA NJE KILA MOJA ANAJUWA KUWA SISI NI WAZANZIBARI SIO MACHOGOO. WAZANZIBAR MUKO TAYARI KUVIKATAA VITAMBULISHO VINAVOTOKA TANGANYIKA VYA KIKOLONI..? ILI TULINDE HESHMA NA HADHI YA NCHI YETU...?

Wednesday, September 5, 2012

MOJA YA UTHIBITISHO KUWA SENSA HAIKUFANIKIWA NCHINI ZANZIBAR


JIHISABUNI NYINYI VIONGOZI WANAFIKI WAKUBWA MUNAO ISHI KWA KUPIGA MAGOTI KWA WAKOLONI WEUSI TANGANYIKA ILA SISI HATUHISABIWI MAANA SIO WANAFIKI NA WALA HATUTAKI KUTAWALIWA NA WAKOLONI TANGANYIKA.

Monday, September 3, 2012

MAFUMANIZI NCHINI TANGANYIKA-SIKU HIZI NI FASHION KUFUMANIWA NCHINI TANGANYIKA


  HUYU NI MWANAMKE ALIYE MFUMANIA JIRANI YAKE NA MUMEWE AKIMTWANGA JIRANI YAKE ILI AWACHE KUMUIBIA MUMEWE MAMBO HAYOO  KUFUMANIWA TANGANYIKA NI FASHION



POLISI SIENDI MPAKA MWALABU WANGU AENDE NA MIMI HUYU NI MWALABU WANGU





ANAJIFANYA KUKAMATIA WANAWAKE WENZAKE KUMBE YEYE MWENYEWE HUYU MUME SI WAKE YEYE PIA ANAMUIBIA MWANMKE WA WATU MWIZI NI MWIZI TU.


MAMA MTU MZIMA AFUMANIWA NA MUME WA MTU TANGANYIKA MWISHO

MWANAMKE AKIMKOJOLEYA MWANAMKE MWENZAKE ALIYE MFUMANIA NA MUMEWE TANGANYIKA OYEEE KWA KUFUMANIWA TU NI BALAA                           

KUFUMANIWA SIKU HIZI NI FASHION TANGANYIKA