Friday, September 7, 2012

BONGE LA BALAA LAZUKA NCHINI ZANZIBAR

NCHI ZA JIRANI NA ZANJE ZINA VIONGOZI SISI ZANZIBAR TUNA MAPUMBA NA MIZOGA YA KUNUKA RUSHWA NA NJAA NA KUJIPENDEKEZA KWA WANYEKA.
UZANZIBARI BASI…SASA NI UTANZANIA TU. Ule ukoloni wa Tanganyika kutaka kuimeza zanzibar na kuwa nchi moja wazidi kupamba moto. Kwa taarifa tulizozipata ambazo kuwa mpaka sasa kunatetesi kuwa Waziri wa nchi ofisi ya Rais Mwinyi Haji Makame anataka kupeleka mswaada barazani wa KUKIFUTA KITAMBULISHO CHA UZANZIBARI ILI KUKIPITISHE KITAMBULISHO CHA WATANGANYIKA CHA WAKOLONI WEUSI KUFANYA KAZI HAPA NCHINI KWETU ZANZIBAR.Na hii ni sera ya chama cha CCM kutoka serikali 2 kuelekea 1.na nchi iwe ni moja nakuwa TANZANIA.wameanza mbali sana hawa kutunyanganya madaraka na sasa wanatumaliza tu.baya zaidi ni kuwa huyu waziri asiyekuwa na wizara maalum KISHEIN ndie mwenye kupiga Kampeni na kuwapigea debe haswa ya kukikaribisha kitambulisho hicho nchini kwetu Zanzibar.Na  Kishein ashanza kuwataka Wazanzibar wajitokeze kwa wingi kuvichukua vitambulisho vya KIKOLONI KUTOKA TANGANYIKA. JAMANI HIVI TUNAENDA MBELE AU TUNARUDI NYUMA..????,KWA KWELI NAKUMBUKA MANENO YA AMIR WANGU SHEIKH MSELLEM ..KATIKA VYAMA VYETU TUNAEKEWA MAKUMBI NA BADO TUNACHAGUA HAYO HAYO MAKUMBI. Tunaposema ukweli watu wanaumia.Lakini lazima kwa sasa SIASA NA VYAMA TUWEKE PEMBENI TUWE PAMOJA KITU KIMOJA IKIWA TUNAITAKA ZANZIBAR YETU NA KUWA HURU LAA KAMA TUMERIDHIKA NA KUTAWALIWA NA WAKOLONI WEUSI MAJAMBAZI WALEVI MALAYA BASI SAWA TUENDELE KUJIGAWA KIVYAMA NA WAO WANATUTAWALA WAKITUZIDISHIA UMASIKINA NA KUTUNYANYASA NA KUTUUWA SIKU ZA UCHANGUZI NA KUTUHARIBIA MAMA ZETU NA DADA ZETU.UA TUSHIKANE NA MAAMIR WETU TUKOMBOE NCHI YETU ILI TUWE NA KILA KITU JESHI  LETU POLISI WETU PASPOTI ZETU PESA ZETU VITAMBULISHO VYETU TUKISAFIRI NCHI ZA NJE KILA MOJA ANAJUWA KUWA SISI NI WAZANZIBARI SIO MACHOGOO. WAZANZIBAR MUKO TAYARI KUVIKATAA VITAMBULISHO VINAVOTOKA TANGANYIKA VYA KIKOLONI..? ILI TULINDE HESHMA NA HADHI YA NCHI YETU...?

2 comments:

  1. Ninadhani hata hawa jamahaa wa huduma ya bure ya Blogspot wangejua Utumbo uliopo kichwani kwako wangesitisha huduma yao wanayo kupatia bure. kwakuwa akuna unalo ifundisha jamii katika Blog yako bali ni Matusi matupu.Waulize wanaharakati wenzako kwamba haki huwa inatafutwa kwa njia zipi. watakupa misingi na kanuni za mpigania haki.
    Utakuja kuishia pabaya ndugu yangu kwa mwendo huo na asionekane wa kukutetea. Uwezi kuwaita viongozi wako Pumba,Mizoga na ukawaita Jiarni zako watu wa Bara Majambazi,Malaya,Machogo,Walevi yani kwa Style iyo ukipewa jukwaa akuna hata Mzanzibari mmoja atakayekaa na kukusikiliza utumbo wako kwakuwa kinywa kinawasilisha yaliyomo nadani ya kichwa cha mtu. SASA TUSEME WEWE KICHWA CHAKO KITAKUWA NA NINI HUMO NDANI.....

    ReplyDelete
  2. KITAKUWA NA UKWELI NA NDIO MAANA UNAKUUMA KWA KUWA NI UKWELI NILIO ANDIKA HAPA KWANZA SHEIN SIO KIONGOZI ALIYE CHANGULIWA NA WAZANZIBARI BALI KACHANGULIWA NA DODOMA PILI NAWAITA PUMBA MAANA SIO VIONGOZI WAKUJIAMULIWA WENYEWE ILA DODOMA KUHUSU KUWAITA MALAYA JE SI MALAYA HEBU ANGALI HAPA WASANI WA BONGO KISHA NIPE JIBU KAMA SIO MALAYA.JE SIO WALEVI ..?JE SIO MAJAMBAZI WATANGANYIKA..?MACHOGO PIA MUNAYO HEBU ANGALIA VICHWA VYENU HUKO NYUMA KUNA NINI KAMA SIO CHONGO SASA LIPI HAPA LA UWONGO NILILO LISEMA

    ReplyDelete