Thursday, September 20, 2012

JIBU LA KUIJIBU UAMSHO KWA KUITETEA AMERICA

aslam aijibu uamsho.
salama aleikum wazanzibar wote, kwa kweli leo nimeamini kuwa uamsho sasa wanaingia siasa yaani wanajidhalilisha na kuwatetea wamarekani , anapo tukanwa mtume wao husema ni freedom of speeach or free wold . lakini wakitukanwa mayahudi inakuwa kosa , well done uamsho , kama munategemea wamarekani labda ipo siku watakusapotini mmechelewa , wao wanakujuweni kuliko munavyo jijuwa nyie wenyewe, huyu balozi wa marekani alie uliwa libya yeye ndiye aliye kuwa msitari wa mbele kuuliwa walibya na gadafi hata akafika kupewa cheo cha ubalozi,sharti mukubuke waliouliwa ni waislamu,kwani yale makombora waliokuwa wakipiga kutoka manuwari za kimarekani si yalikuwa pia yakiua inocent wengine na waislamu wangapi walikufa mbona hamkukemea sasa mmekuwa vibaraka wa mmarekani uamsho, kilicho wafika al qaida na nyie pia kitakufikeni ,wao walikuwa ni mstari wa mbele na wamarekani na mwisho walifanywa nini acheni kujipendekeza tizameni ukweli ndio mutoe maelezo , mimi nakubaliana na walebanon tufanye maandamano duniani kote wajue kuwa waislamu sio watu wa kuchezewa wataendelea mpaka lini kumtukana mtume na waislamu hii ndio tabia yao kama wao hawataki basi waitoe katika yuotube basi wakitaka sasa hivi wataitoa lakini ni wanafiki wao wanachekelea wamefurahi kutukanwa waislamu ,jana tu tumeona wameuliwa waislamu wanawake afaghanistan wa nane ati wamekosea mbona nyinyi uamsho hamkulani ati leo kuuliwa balozi wa marekani munalani wanafiki wakubwa, alipo uliwa sheikh yasin kule palestina wamarekani walifurahi duniani kote , wamemtia ndani pia yule sheikh kipofu bila ya kosa lolote tena kipofu mbona hamumtetei , hatuwezi kustahamili tuendelee kutukanwa kwa kipenzi chetu na tukae tutizame tu masheikh wote duniani wamepinga tusikubali wao wanataka sisi tuwapejegee wamarekani ,uamsho nadhani sasa mumechanganyikiwa tuone basi je wamarekani watakusapotini tuipate zanzibar , kuanzia leo sina imani na uamsho wanafiki wakubwa , sasa waislamu wameamka hakuna kuonewa wakituonea hatukubali wakati wa kuonewa umekwisha ,nyinyi hamuoni nchi zote za kiislamu zimetawaliwa na waislamu hao ambao walikuwa wakipigwa vita na wamarekani hii ni fimbo ya m,mungu anawapiga hapa hapa duniani, wasalamu.

No comments:

Post a Comment