Saturday, September 29, 2012

WAISLAMU NCHINI TANGANYIKA WAMEHADHIBISHWA NA FILAMU ILIYO AKTIWA MAREKANI YA KUMDHALILISHA MTUME MUHAMMED (S.A.W)


waislamu nchini tanganyika wandamana kupinga filamu iliyo mdhalilisha mtume muhammed (s.a.w)

wanawake wa kislamu nchini tanganyika wakiandamana

wanawaki nchini tanganyika wakiandamana na kutaka ubalozi wa marekani kuondolewa nchini kwao tanganyika.

waislamu nchini tanganyika walipoandamana na kuswali pamoja kupinga filamu iliyo aktiwa nchini marekani kwa kumdhalilisha mtume muhammed (s.a.w)lakujiliza zanzibar wakiandamana je watalindwa na polisi au watapingwa mabomu maana hapa askari katuli hafurukuti maana anajuwa akifurukuta tu hawana nchi tena ila zanzibar wanawapiga mabomu.

vibaraka wa sheitwaniiiiiiiiii

waislamu wakiandamana nchini tanganyika

maelfu ya wanawake wa kislamu nchini tanganyika wakiandamana kupinga filamu iliyo aktiwa kumdhalilisha mtume muhammed (s.a.w)

waislamu wakiendele na madamano nchini tanganyika nchi jirani na nchi yetu ya zanzibar.

vibaraka wa ibilisi

waislamu wachachama nchini tanganyika

wanawake wakislamu nchini tanganyika wakiandamana

waslamu wakiendelea kuandamana nchini tanganyika nchi ya jirani karibu na nchi yetu ya zanzibar

wanafunzi wa kinslamu nchini tanganyika wapinga vikali kuongozwa nchi yao na kanisa katoliki

wanafunzi nchini tanganyika wakiendelea kuandamana na kupinga vikali filamu na pamoja nchi yao ya tanganyika kuongozwa na kanisa katoliki

waislamu nchini tanganyika wajaju baada ya mtume muhammed (s.a.w.) kuthalilishwa katika filamu iliyo aktiwa nchini marekani.

hawa ndio vibaraka wa ibilisi wakitimiza uwibilisi wao na ushetwani.

waislamu wakijumuika na kupinga vikali kuhusu filamu iliyo aktiwa marekani ya kumdhalilisha mtume muhammed (s.a.w.) hawa ni waislamu wasio taka kabisa mtume wao kuchezea nchini tanganyika nchi jirani na nchi ya zanzibar

waislamu wa nchi ya tanganyika wakiandamana kupinga vikali filamu iliyo aktiwa na kumdhalilisha mtume muhammed (s.a.w)1 comment:

 1. Ninaomba nieleweke vizuri na nistafsiliwe vibaya na waislm wote hata na wale wasio waislam.

  KUHUSU FILAMU:Alan Roberts ni Raia mtukutu wa kimarekani ambaye ameshawahi kukaa kifungoni yani gerezani kwa nyakati tofauti.
  Alan Roberts Sio'mwenye ujuzi wala fani ya utengenezaji wa maswala ya filamu ivyo alijisikia tu kufanya upumbavu huo kwa kukusanya kikundi cha wapumbavu wenzanke wasio zidi kumi na kuamua kutengeneza video yenye urefu wa Dakika kumi 10 na kuipa jina la "innocence of Muslims" video iyo ilirecodiwa katika mazingira ya kawaida yani ninamanisha aikurecodiwa na vifaa au camera ambazo ni Professional kwa maswala ya filamu bali ilikuwa ni Domestic camera yani ni hizi kamera za kawaida tunazotumia nyumbani kwajiri ya Harusi na sherehe.
  Bahada ya kumaliza kurecord video iyo walianza kuisambaza kwenye mtandao wa 'U'tube na hatmaye ikaweza kumfikia kila mwananchi katika ulimwengu mzima.

  UPOTOSHI WA TAARIFA;
  -Aikufaa kuitwa FILAMU kutokana na mazingira yake uwezi ukarecodi video na simu yako ya mkononi nyumbani kisha ukaita filamu.
  -Hazikutolewa nakala hama "Copy" za aina yoyote ziwe za DVD'VCD,au VHS Tapes, bali ilisambazwa na kuwafikia watu kwa njia ya mtandao "tu" kupitia website ya 'U'tube na mtandao maharufu ujulikanao kwa jina la Vimeo.
  -Filamu ni lazima izidi zaidi ya Dakika 40-60 yani saa moja. lakini ile ilikuwa dk.10

  ITIMISHO: apo unatambua ubaya wa kusikia jambo pasipo kulifanyia uchunguzi kwanza hatmaye unapeleka taharifa zisizo sahii kwa wale ambao walikua awajapata habari hiyo. unajikuta unafuata mkumbo kwa jambo ambalo aulifahamu.

  ReplyDelete