Saturday, October 27, 2012

BREAKING NEWS-WALIO FANYA 1964 WANATAKA KUYAFANYA TENA JE WAZENJI MTAKUBALI..?

Bububu imevamiwa na vikosi vya polisi, FFU na vya SMZ tokea usiku ila hivi punde uvamizi huo umechupa mipaka, watu wanakamatwa na kupigwa kiholela na wengi wanakimbia, wengine kwa kupitia njia za pwani.

WASHENZI WA BARA WALIOLETWA NA SHEIN KUWATHIBITI WAZANZIBARI MGAMBO WAVAMIA BUBUBU KILA MWENYE JAMAA YAKE BUBUBU AMPIGIE SIMU AWAJULIE HALI SI SHWARI ZANZIBAR.

MOJA KATIKA MAGARI NANE YA FFU WASHENZI WA SHEIN WALIOTUMWA KWENDA KUVAMIA BUBUBU USIKU WA JANA MPAKA LEO WATU WANAENDELEA KUPINGWA NA NA FFU,MGAMBO NA JESHI KILA MWENYE JAMAA YAKE AMPIGIE SIMU KUMJULIA HALI.

BUBUBU YAZUNGUKWA NA FFU,MGAMBO NA JESHI TOKA JANA USIKU WATUWANAINGILIWA MAJUMBANI WAKIPINGWA KILA MWENYE JAMAA YAKE MPIGIE SIMU KUMJULIA HALI UTAWALA WA DIKTETA SHEIN UMEANZA SASA.

BUBUBU IKO CHINI YA ULINZI WA WASHENZI WA SHEIN

WAZANZIBARI KAMA HATUKAZA KUWANGOWA WASHENZI WA SHEIN BASI TUKAE TUKIJUWA HATUNA TENA ZANZIBAR ITAFUTWA KABISA.

No comments:

Post a Comment