Wednesday, October 31, 2012

FAIDA ZA GNU NDANI YA MIAKA MIWILI YA UTAWALA WA DIKTETA SHEIN


JE UTAMINI KAMA HII NI ZANZIBAR...?
1)kwenye Ajira hakuna kitu watu wameja mabarazani.
2)hali ya maisha kwa Wazanzibar wamekata matumaini.
3)Mfumo wa Elimu umeporomoshwa kwa makusudi.
4)Huduma za Afya hakuna hata moja zaidi ya uchafu hospitalini.
5)Kipato cha kila mtu kwa siku hakipo hata kidogo watu wanakufa na njaa.


6)Upendeleo wa Ajira kati ya Watu wa Jamii fulani na Wengine.


7)Mfumuko wa Bei za vyakula KUPANDA BILA YA MPANGILIO.

8)mabad├Čliko makubwa ya kuwadhulumu waislamu bila ya hatia .

9)kuwadhalilisha Wislamu wanawake na kuvuliwa nikab na hijabu.

10)Wamefanikiwa kwa familia zao kimaisha baina ya viongozi wa cuf na ccm sio wananchi.

11)CUF -Wamepatiwa Kingora
12)CUF-Wanapigiwa Saluti
13)CUF-Wanakula Vizuri
14)CUF-Wamo kwenye Serikali
15)CUF-Wanapanda ndege kwenda Ulaya.


16)CUF na CCM sasa ndio wamekuwa washirika wa haya madudu yanayofanyika hapa kwetu ya kuuwa na kutesa watu.                                                                                                                                                                                                                     

17) mwanzoni alikuwa ni CCM tu ila sasa ivi wanashirikiana kupitia hiyo so called GNU.

18)CCM wameweza kuwadhibiti CUF kwenye kila nyanja na wao wameridhika kwa hilo yaani wameuwa upinzani kabisa kabisa kwa visingizio vya GNU. “faida kubwa hii”                                                                                                     
19)Kufichiana madudu na kupongezena ujinga, tumeona wenyewe kamati ya kuchunguzwa migogoro ya ardhi na nyumba nani na nani wamefanya uzandiki lakin hamna hata onyo wachia mbali mtu kuchukuliwa hatua.                                                                                     
20)WanaCuf wamekuwa LELEMAMA kwa kuchoshwa na usaniii.                                                                                              
21)CCM wamekuwa ubaya ubaya kwa kukata tamaa ya maisha.                             
22)uwendelezaji wa kujengwa makanisa.
23)kutharauliwa dini ya kislamu na kunajisiwa misiskiti na kuvunjwa.
24)kuongezeka watu wasiojulikana ndani ya nchi na ujambazi kuzidi na mauwaji yasiyojulikana. 
25)wanawke kutembea uchi wa mnyama mabarabarani.
26)kuendelea kujengwa mabar na madanguro ya wanawake wanauza kuma zao kwa pesa hakuna haja ya kutafuna maneno.
27viongozi kushindwa kabisa kutetea nchi na dini ya kislamu hata kama inaharibiwa na kuchafuliwa.
28)viongozi wote wanasikiliza amri kutoka kanisa.
29)mbinu iliyokuwepo ya kutaka kulipoteza kabisa taifa la zanzibar na GNU ikifurahia.
30)wazanzibari kutiwa umasikini.
31)wazanzibari kutishwa ndani ya nchi yao ili wakimbie.
32)wazanzibari kuteswa bila ya hatia yoyote.
33)wazanzibari kuliwa kwa makusudi na kunyanyaswa ndani ya nchi yao.
34)shein kuteuwa mawaziri wakiristo kushika madaraka baada ya miaka kumi baraza la wawakilishi lote litakuwa na wakiristo watupu.
35)ongezeko la vijana kula madawa ya kulevya..(unga-DRUGS).

36)askari kuingia msikitini na viatu na majibwa na kunajisi misikiti na kuipiga mabomu bila hata kiongozi moja kukemea bali ndio kwanza wanawapongeza askari kwa kazi nzuri walio ifanya ya kunajisi misikiti na kuipiga mabomu na kuwanyanyasa waumini wa dini ya kislamu.
anae thani huu ni uwongo acha comment yako utaje ukweli.

No comments:

Post a Comment