Friday, October 19, 2012

HALI SI SHWAARI NCHINI ZANZIBAR BAADA YA SHEIKH FARID KUTEKWA NYARA


sheikh farid mtetezi wa wazanzibari na nchi ya zanzibar ametekwa nyara mpaka sasa hajulikani alipo na hata polisi wanafiki hawataki kujuwa yuko wapi wala kama yuko hai au vipi na kumbuka huyu ni rai wa zanzibar kwa nini askari wasitake kujuwa yuko wapi au wao ndio waliye mchukuwa..?

vijana wa kizanzibari wenye hasiri wakipigiana simu na kujulishana nini wafanye ili wamuokowe sheikh wao aliye takwa nyara siku chache zilizo pita.

darajani hapo vijana wamechachama sheikh wao achiwe sheikh farid aliye tekwa nyara.

kibanda cha ufisadi na kupandikiza chuki na fitina na ubaradhuli wa kuwafitinisha wazanzibari ili wasielewane na kudai nchi yao kwa amani na utulivu vijana wameona ni bora wakichome moto kibanda hiki cha ufitinishaji cha kisonge heyoooo. hahahahahahahahaha raha tupu

kisonge ikiharikishwa safi kabisa vijana wanasafisha najisi zilizo wekwa nchini zanzibar wanasafisha kabisa.

vijana wakiendelea kusafisha safisha najisi zilizo wekwa

m/mungu aiangameze kisonge hii inayofitinisha watu isurudi tena angalau na sisi wazanzibari tutaishi kwa umoja sasa maana kisonge imetufitinisha vya kutosha na kutugawa nakutufanya tuchukiene wenyewe kwa wenyewe hapa nchini kwetu zanzibar.

kibanda cha kufitinisha wazanzibari cha kisonge chapingwa moto na Vajana wasiotaka fitina kuendelea nchini kwao zanzibar.

faida ya kumteka nyara sheikh farid ndio hii mpaka wamtoe kama hawamtowi hawanywi chai.


hali ndio kama hii mpaka wamtowe sheikh farid waliko muweka
No comments:

Post a Comment