Wednesday, October 10, 2012

MAALIM SEIF AKUTANA NA BALOZI WA UNAFIKI KUTOKA NCHINI UENGEREZA-UK

2
Zanzibar na Uingereza zinakusudia kuendeleza mahusiano katika nyanja mbali mbali za kiuchumi kwa maslahi ya pande hizo mbili.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad ameeleza hayo huko Ofisini kwake Migombani mjini Zanzibar alipokuwa na mazungumzo na balozi wa Uingereza nchini Tanzania bibi Diane Loise Corner.
Amesema katika ziara yake ya hivi karibuni nchini Uingereza Maalim Seif amesema Zanzibar imeweza kugundua maeneo tofauti ambayo nchi hizo mbili zinaweza kushirikiana katika kukuza uchumi wake.
Amesema ziara yake hiyo imempa matumaini makubwa kwamba Zanzibar inaweza kunufaika kutokana na uhusiano wake wa muda mrefu na Uingereza.
Kwa upande wake balozi wa Uingereza nchini Tanzania bibi Diane Corner amesema nchi yake imefurahishwa na hali ya amani inayoendelea Zanzibar , na kwamba iko tayari kutoa mashirikiano katika kuendeleza uchumi wa Zanzibar .
Ameahidi kuwa Uingereza ambayo ni rafiki wa muda mrefu wa Zanzibar itaendelea kukuza mahusiano hayo kwa lengo la kuisaidia Zanzabar kuendeleza uchumi wake.
NAMNUKU- BIBI DIANE LOISE CORNER ALISEMA KUWA AMEAHIDI KUWA UENGEREZA AMBAYO NI RAFIKI WA MUDA MREFU WA ZANZIBAR ITAENDELEA KUKUZA MAHUSIANO HAYO KWA LENGO LA KUISAIDIA ZANZIBAR KUENDELEZA UCHUMI WAKE YAGUJUUU. 

HAWA NDIO WAKOLONI WALIOISHIKA ZANZIBAR MPAKA 1963 WAKATUPA UHURU KISHA WAKA PANGA MBINU NA WATANGANYIKA. WAKAJA WAKATULISHA MWAKA 1964 TUKAULIWA VIZURI KABISA NA MADAMU MPAKA LEO HAYAJA KAUKA. KISHA WAKAITIA NCHI UMASIKINI WAKWELI KWELI KISHA WAKATULETEA UCHANGUZI WA UWONGO KILA BAADA YA MIAKA 5 ILI TUCHANGUWE KUMBE WAO NDIO WANAOTUCHANGULIA VINGOZI. KISHA TUKIWAKATA WANATULISHA TENA NA TENA NA TOKA 1964 MPAKA LEO 2012 WAO SIWANASEMA NI MARAFIKI MBONA HAWAKUJA KUINUWA UCHUMI..? 

WAZANZIBARI AMKENI HAWA NDIO WALIVYO WANYONYAJI WAMETUNYONYA TOKA MIAKA NA KAKA MPAKA 1963 WAKATUPA UHURU WA BADIA MAANA HAWAKUTAKA KUTUACHIA NCHI WAKATAKA KUONDOKA LAKINI WAKAJIULIZA NCHI TUNAMUACHIA NANI NDIO WAKATULETE WATANGANYIKA WAJE KUTUUWA VIZURI SANA 1964. NA BAADA HAPO WAMENDELEA KUTUUWA KILA CHANGUZI SASA WANAONA WAZANZIBARI WASHACHACHAMAA WANATAKA NCHI YAO WANAJUWA WATAKUWA HAWANYONYO TENA NDIO HIVYO SASA WANAKUJA KUJIDAI ATI NI MARAFIKI WASIKU NYINGI MAWE. HIO SIO NIA YAO BALI NIA YAO NI KUWA MLINZI WAO TANAGNYIKA WALIO MUWEKA TUNAMGOWA KWA NGUVU SASA WANATAKA KUJUWA IKIWA TANGANYIKA ITANGOLEWA JE NCHI WATAMUACHIA NANI.

 ILI WAENDELEA KUNYONYO HAWA NI WANYONYAJI TU KELBU HAWA.WANAJIDAI KUTAKA KUSAIDIA WAO WENYEWE WANASAFAA NA NCHI YA UENGEREZA SASA INAYUMBA KWELI KWELI TOKA MAMBO YA IKONOMIKRAISESI YANGIE IMEKUWA BALAA MOJA BAADA YA JENGINE WATATUSAIDIA NINI..? SISI WAKATI UNGEREZA YENYEWE INANUKA FUUUU FUUU FUUUU WASIJIDAI BUREE WAKOLONI HAWA WASHENZI WAKUBWA. NA WEWE MAALIM CHUNGA SANA AU UKITAKA KUTUTUMBUKIZA KATIKA UKOLONI TENA WA KIENGEREZA MARA HII WEWE MAALIM NDIO UTAKAE KWENDA KUKA UKIMBIZA HUKO UNGEREZA UKIONI KAMA HUO UKIMBIZI NI MZURI HATUTAKI MGEREZA WALA MAAREKANI WALA MFARANSA HAPA TUNATAKA WAZANZIBARI WENYEWE TU TUJIENDESHA NA KUITUNZA NCHI YETU BASI WAKIJA WAO WAWE NA VIZA MAALUM NAIKISHA TU HARAKA WATOKE WASITULETE UPUMBAVU WAKATI WA KUNYONYANA DAMU USHAKWISHA.

No comments:

Post a Comment