Wednesday, October 31, 2012

WASHENZI WA SHEIN WAMNYOWA NYWELE KIJANA WA KIZANZIBARI KWA KUTUMIA KISU


KIJANA ALIYE NYOLEWA NYWELE NA NGOZI KWA KISU NA POLISI ZANZIBAR JE HAKI ZA BINADAMU ZIKO WAPI..?DEKTETA SHEIN HII NDIO DIMOKRASI YAKO MUWAJI MKUBWA WEEEEE

HICHI NDIO KIPANDE CHA NGOZI NA NYWELE CHA KIJANA WA KIZANZIBARI ALIYENYOLEWA NA WASHENZI WA SHEIN AMBAO ATI NI POLISI ILA HAWA SI POLISI NI WAUWAJI WA SHEIN ALIYO WALETE KUZIMA VUGUVUGU NA ZANZIBAR KUTAKA KUJITENGA NA MKOLONI MWEUSI TANGANYIKA SHEIN NI KIBARAKA WA TANGANYIKA NA KANISA.
Kitendo cha Salum kufanyiwa ukatili na polisi kimetanguliwa na matukio ya vijana wenguine wawili kuuawa wakati wa utekelezaji wa zoezi la msako wa kuzima vuguvugu la wananchi wa zanzibar kudai nchi yao na kuwa huru sio kitanzi cha muungano feki waliozamishwa na kufikia kutawaliwa na WAKOLONI WEUSI TANGANYIKA. hapa mjini Zanzibar mwezi Oktoba mwaka huu. Imedaiwa kuwa Hamad Ali Kaimu aliuwawa Ijumaa iliyopitama wakati akiwa mikononi mwa polisi katika eneo la Magomeni na Salum Hassan Mahanju alikufa baada ya kupigwa risasi katika maeneo ya Amani Fresh na polisi pamoja na maofisa ulinzi na usalama. Mbali na vijana hao,pia katika uchanguzi mdogo wa bububu alipingwa risasi mtoto mdogo mwenye umri wa miaka 14 mpaka sasa zanzibar imekuwa machinjio ya wazanzibari wenyewe wanao chinjwa na kupingwa risasi na askari polisi maofisa wa ulinzi na usalama km km na jku wote hawa wanaendele na oparesheni ya kuwauwa wazanzibari na kuwatesa vibaya sana na DIKTETA  SHEIN YUKO IKULU KIMYA NA ANAENDELEA KUWAPONGEZA JESHI LAKE KWA KAZI NZURI YA KUWAUWA WAZANZIBARI NA KUWATESA.

No comments:

Post a Comment