Sunday, November 4, 2012

SHEIN NA MAKUNDI YAKE YA UHARAMIA-UBAYA UBAYA,MBWA MKALI,MBWA MWITU NA KIMYA KIMYA.

 tujiulize jeee ni kweli ni wafuasi wa Uamsho waliofanya fujo.? kama ni wao bona basi wanahimiza amani mpaka sasa wako jela wanahimiza amani na shein yuko nje bado kamata kamata na piga piga inaendelea..? jeee njia zilizotumika kudhibiti fujo zinazo semekana zimeanzishwa na uamsho ziliendana na kulinda haki za kila mzanzibari? tumepata habari kuwa shein anamakundi yake ya kiharamiya ndio ambayo yanapiga watu na kutesa watu na kuingia majumbani na kuiba dvd,radio,pesa thahabu na kila watakacho jaliwa kuiba na kuwafanya mchezo mchafu wanawake. pia kuwapiga wanaume na kuwanyowa nyole au ndevu zao kwa visu. makundi hayo ya shein ya uharamia yanajulikana kwa majina yafuatayo ubayaubaya, mbwa mkali, mbwa mwitu, kimyakimya na hawa wakihujumu watu jiani wanafika pahala mtu kapanda vespa na mkewe ama awache mke au vespa hayo yamefanyika hayo na yanaendelea kufanyika hapa hapa nchini kwetu na shein kimya ikulu maana sindicho nachokipenda…chanzo cha vikundi hivi ni janjaweed wenyewe  wanavyojita na wanatokana na CCM kama walivyo sema wenyewe katika mikutano yao kuwa tunao janjaweed wetu CCM walisema  wenyewe tuna vijana tunaowaandaa kufanya fujo wakati wa uchaguzi.na naam wamefanya fujo toka uchanguzi wa bububu mpaka sasa ndio wao wanaendelea kufanya fujo nchini zanzibar hawa janjaweed waliahidiwa kupewa ajira wapo wachache waliopewa ajira na wengi hawajapewa haya ndio matokeo yao, na sasa wanawafunza watoto wadogo, na vijana hawa makao makuu yao ni hapa ofisi ya mkoa ya CCM …je wazanzibari mtakubali kunyanyaswa mpaka lini hewala hewala mpaka lini..........?

No comments:

Post a Comment