Sunday, December 23, 2012

BREAKING NEWS-TANGAZO KWA WAZANZIBARI WOTE WALIO NJE NA NDANI YA ZANZIBAR NA WAISLAMU WOTE ULIMWENGUNI


UJUMBE MUHIMU KWA WAISLAMU WOTE.

WANANCHI NA WAISLAMU WA ZANZIBAR TUMECHOKA KUDHALILISHWA NA KUDHALILISHIWA VIONGOZI WETU WA DINI YA KIISLAMU.

KWAMBA KATIKA NCHI HII HATUJAONA TANGU UHURU WA MAPINDUZI KUDHALILISHWA KWA MKIRISTO YOYOTE WALA KIONGOZI YOYOTE WA KANISA.

UDHALILISHAJI HUU UNATOKANA NA VIONGOZI WA SERIKALI DHIDI YA UISLAMU KUTOKANA NA SHINDIKIZO LA MAKANISA

INAONEKANA KUWA VIONGOZI WA SERIKALI WAKO TAYARI KUDHALILISHA HESHMA YAO, DINI YAO, WATU WAO NA NCHI YAO KWA AJILI YA KUTII AMRI ZA MAKANISA

KUTOKANA NA HAYO SISI WAISLAMU WA ZANZIBAR AMBAO TUMECHOSHWA NA VITIMBI UDHALILISHAJI WA DINI YETU,TUNAOMBA SERIKALI IWAACHIE HARAKA VIONGOZI WA KIISLAMU KABLA YA KRISMAS TAREHE 25/12/2012

ENDAPO MAOMBI HAYA YA WAISLAMU NA WANANCHI YATADHARAULIWA NA KUPUUZWA.WAISLAMU WATAAMUA CHA KUFANYA.
TUTAENDELEA KUTHALILISHWA MPAKA LINI...?
TUTAENDELEA KUTHALILISHWA MPAKA LINI.................?
 

No comments:

Post a Comment