Friday, December 14, 2012

DR KUMBE KISHEIN NA SEREKALI FEKI YA SMZ YAMKATALIA SHEIKH MSELLEM KWANDA MAZIKO YA MTOTO WAKE ALIYEFARIKI .


SERIKALI YA SMZ INAYO ENDESHWA NA KANISA..........YAFANYA KITENDO CHA KINYAMA KUMZUIA SH. MSELLEM KWENDA MAZIKO YA MTOTO WAKE.
MAAMIR WAAMUA KUMSALIA HUKO HUKO GEREZANI..

Serikali ya SMZ wakishirikiana na jeshi la polisi la MKOLONI 

MWEUSI TANGANYIKA  hapa nchini Zanzibar 

wamemzuia Amir Sheikh Msellem Ali kuweza kuhudhuria 

katika mazishi ya mwanawe ambae alifariki jana katika 

hospital ya Mnazimoja na kuzikwa leo asubuhi huko Donge.

Kwa mujibu wa taarifa tulizozip
ata hivi sasa sababu ya 

kumzuia kwenda kwenye mazishi ya mtoto wake hasa 

hawakutaja ila wanaendeleza ule ubabe na kuwadhalilisha 

masheikh na kuwanyima fursa zote wanazo stahiki.


Tunaona tena jinsi serikali inavovunja katiba na kuvunja haki 

za binadamu kwani niwajibu kwa mfungwa yoyote kuhuzuria 

mazishi ya ndugu wa karibu na ukizingatia sheikh msellem 

sio mfungwa NA PIA ALIYE FARIKI NI MWANAWE pia 

ukumbuke kuwa  ni 
mtuhumiwa tu wa kesi ya kupanga ya 
jeshi la polisi na ya mtumwa dr kumbi kisheni ikishirikiana 

serekali ya MAKABURU 
WEUSI TANGANYIKA.Hii ndio Serikali yetu feki tuliyodanganywa nayo toka 1964 

kuwa ati ni serekali ya wananchi na inayosema inafata 

democracy.
Bado wanawanyima haki zao Maamir wetu.


Inshallah mungu atawapa la kuwapa biidhni llah.

No comments:

Post a Comment