Sunday, December 30, 2012

NCHI YA ZANZIBAR INABATIZWA KWA LAZIMA KISA PADRI KAJERUHIWA



Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imefika njia panda kutokana na matukio mabaya na ya ghafla yanayotokea hapa Zanzibar, hasa yanayobeba sura ya ‘hit and run attacks’ ambayo pia yanaingia katika sura ya visasi (revenge) — kuanzia lile la Soraga hadi la huyu Padri.
Kuna nadharia nyingi hapa zinazohusu uhalifu (theories on criminology) — au hata conspiracy theory.
Nadharia 1: hujuma inafanyika lakini hakuna clue/au hata alama ya namna uhalifu ulivyofanyika — hapa inakuwa taabu kwa wapelelezi kugundua namna ya uhalifu huo ulivyofanyika, au vipi umefanyika, na hata kuanzia pa kufanya upelelezi.
Nadharia ya 2: Uhalifu umefanyika, aliyefanyiwa uhalifu yuko hai, na kauli thabit anaweza kusema. Hapa inakuwa rahisi sana sana kwa makachero kujua na kuanza upelekezi wa kina. Kesi zote mbili zilizotokea Zanzibar (Soraga na Padri zinaingia hapa).ila ya soraga ishafukiwa hii ya padri itakuwa hai mpaka mwisho wa dunia.
Wote wazima na wote wana kauli thabit. Padri ameweza kuzungumza na kuweza kuidhalilisha POLISI kama taasisi pale alipotoa kauli yake kumpinga RPC Aziz.
Kauli ya Padri dhidi ya jeshi la polisi inaonyesha dhahir kuwa kanisa linataka watendewe vile wanavyotaka wao; na sio hali halisi ilivyo. Ingawa hakusema wazi wazi, lakini indirectly, ana maana ya kusema kuwa ‘polisi ni muongo, au waongo’. Hii ni idhalali kubwa kwa jeshi la polisi.
Kw auhakika ni kuwa padri huyu alikuwa anashika pesa, whether awe mhasibu by professional or not. Kwa uhakika 100% padri huyu ndiye signatory wao.
Bila yeye haitoki pesa. Je, na hili atalipinga. Naomba hao makachero wa kutajika kutoka Dar, waanzie hapa kama ndio ‘lead’ yao. Tumelewaana..? Muanzie hapa. Je, haiwi kuwa ‘internal job’.
Angalia sequence za kihalifu zilizofanyika Tanganyika nchini kwao hivi karibuni:
i. Afisa wa kuzuia rushwa apigwa na kuuliwa na mwenzake Dar
ii. RPC Mwanza apigwa risasi na kuuliwa Mwanza.
iii. Pesa nyingi zimeibiwa duka la Dar (150m) — kitendawili mpaka leo...? Au kwa sababu hili limetokea nchini Zanzibar. Achane kuwa bias!!!
iv. Kuna mauwaji mengi yametokea Dar during chrismas time, mzungu mmoja amenyongwa hotelini, na wengine kuuwawa kikatili …kimya!!! kimya!!! hakuna upelelezi wala mavi kimya zanzibar tushamwangiwa makachero wala hawatarudi kwao Tanganyika ndio washakuwa rai wa zanzibar hao.hivi ndiovyo walivyo na ndivyo wanavyo letana hapa nchini kwetu zanzibar
Nadharia 3: Nadhani kanisa, CCM Tanganyika na serikali zote zitafurahi sana kama report ya makachero hayo zitasema kuwa ni UAMSHO ndio waliofanya kosa hilo. Mimi naomba kuwasaidia kitu hao makachero mavi.
Mpaka sasa, ukweli ni kuwa, waislamu wa Zanzibar na Tanganyika kwa ujumla, hawajafikia level hiyo ya kutumia silaha au kuhujumu. Hili linajulikana na liko wazi. Kisaikolojia, bora hata siasa Zanzibar zinaweza kuwa ni ‘problem’ kuliko hata dini.
Mimi naomba serikali ya JK,Mtumwa Shein na IGP Said Mwema muwe waangalifu sana na trend hii inayojitokeza. Mjaribu sana kuwa fair na wakweli – otherwise, mnaimaliza nchi hivi mnajiona. Your careless minds — JK,Mtumwa Shein, Mwema and others — inaweza kuleta bad feelings kwa waislamu ambayo wanaamini kuwa Zanzibar ni nchi yao na nchi ya kiislamu. Hivi JK kuoni fakhari kuwa hivyo, yaani Zanzibar ndio kama kigezo kwa dunia v.s Tanganyika.
Kumbuka kuwa mnapewa pesa za bure na nchi za kiislamu kupeleka hajji waislamu (ni kupitia mgongo wa Uislamu wa Zanzibar, na sio Tabora au Singida n.k); then mnachagua wakereketwa kwenda huko Hajji na kuacha waumin wa kweli.
Chokochoko hizi za dini, na hasa ukiristo — hautoijenga Tanganyika, ila itaivunja vunja vipande vipande – angalia secratian war — Northern Ireland, former Yugoslavia [Kosovo, Serbia n.] Iraq n.k.
Mtumwa Shein na JK mnakaa na kubabaishwa na washauri wenu; na hamtaki kutumia akili zenu mlizojaaliwa hata 0.01%. Hebu tafuteni ukweli wa mambo. Huu ndio ushauri w abure kutoka kwangu.
* Na balozi Seif Ali Iddi acha kuwa bias. Mbona hujaenda kumuona Fadhil Soraga mpaka leo..? umeamua kwenda wewe na Mohammed Aboud kumuona Padri na aila yake na wafuasi wake.
* Naomba tena hao makachero mavi waliokuja nchini kwetu Zanzibar waanzie pale benki anapokwenda kuchukua ‘hela’ padri huyu ambaye pia ndiye signatory mkuu, benki xxxx! nendeni hapo mkaone transaction alizokuwa anazifanya padri huyo, na kama kuna bank reconciliation zinazokubalika — au shaghla baghala tu.
* Na kama je, hali ya makusanyo na matumizi ya kanisa hili yanaridhia financial regulations za Tanganyika, Zanzibar na bank of Tanzania. Check …kama kuna a kind of money laundry hapo?
Kwa ufupi matukio haya bado yamebaki kuwa kitendawili (unresolved mystery).

4 comments:

  1. you are indeed pathetic na conspiracy theory zako ulizo okota kwenye movie na kujidai una tumia maneno makubwa ku intimidate watu hakika we si muafrika ila muarabu rudi kwenu we fala zanzibar is secular country sio emirati ya kiarabu msenge we uta piga domo na blog yako mpaka ufe

    ReplyDelete
  2. ukisikia ubaguzi ndio huwo imehusu nini kutaja uafrika na uarabu..? sasa wewe ndio muafrika sio ok nionyeshe alama yako ya uafrika basi..?inaonyesha wewe ni mtanganyika ndio maana unajida zanzibar iko secular country sio secular country kabisa ndio maana nyinyi machogo wausa dawa za panya na karanga mnaigia kama chooni.mbona hamuingia kenya tu hapa nakufanya kama munavyo fanya znz..?

    ReplyDelete
  3. kameze wembe nanga wewe !!!!!!!!!!!!! utakufa na chuki yako binadamu wote ni sawa na zanzibar ni sehemu ya tanzania

    ReplyDelete
    Replies
    1. Endeleani hivyo hivyo kujidanganya kuwa zanzibar ni sehemu ya Tanzania musio jijua masikini nchi yenu Tanganyika hamuitaka munataka jina la ubatizo la Tanzania hahahaha

      Delete