Tuesday, December 11, 2012

ZANZIBAR HATUNA SEREKALI KILICHOBAKI NI KUSAIDIYANA SISI WENYEWE KWA WENYEWE TOA SADAKA YAKO UWOKOWE KIZAZI CHA KESHO CHA ZANZIBAR YETU

Raifa

Mtoto wa kike mwenye umri wa Miaka 9 Raifa kutoka kisiwani Pemba ni mgonjwa wa Leukemia stage 2. Wazee wa kijana huyu hawana uwezo wa kumlipia gharama za matibabu yake ambayo ni Tsh 2.4 Million.
Hivi sasa kijana huyu yupo Hospitali ya Muhimbili na Madaktari wanao muhudumia wanasema kuwa maradhi yake ni yenye kuponyeka ikiwa dawa zinazohitajika zitapatikana.
Matibabu yake ni ya miula 5, hivyo bila ya shaka pesa zitakazo hitajika ni nyingi mno. 2.4M x 5 =12M
MPESA ni 0657570000 na ZPESA ni 0777 477 101.
Kwa wale watakuwapo nje ya nchi wanaweza kutoa michango yao kwa kupitia Paypal ya mzalendo.net
Hata shilingi kumi zitapokelewa na hata dollar moja pia seuze £1 pia sadaka hiyo itapokelewa.
Hivyo kila mwenye uwezo na moyo wa kumsaidia kijana huyu tunaomba kufikisha msaada wenu aidha kwa kupitia kwa Salma Said ama kwangu Hassan Khamis.
Hassan Mussa 07588550153 UK
Email: Hassan.mussa@gmail.com
hassan@mzalendo.net
Salma Said,
P. O. Box 1442,
Tel: +255 (024) 223 5219
Mobile: +255 777 477 101
E-mail: muftiiy@yahoo.com
Mtoto Raifa anahitaji msaada wako.

No comments:

Post a Comment