Sunday, January 13, 2013

SIKILIZA RAP YA NYUMBANI ZANZIBAR INAYO SIMULIA MAISHA YA KWELI HAPA ZANZIBAR

FREE ZANZIBAR PEOPLE FROM MKOLONI MWEUSI INAMPA PONGEZI
KIJANA HUYU KWA RAP YAKE YA UKWELI WA MAMBO YANAYOTOKEA KATIKA NCHI YETU YA ZANZIBAR KWA VIONGOZI WETU WANAJIFANYA KAMA HAWAYAONI VILE NA KUYAFUMBIA MACHO MAANA WAO WAMETHIBITIWA NA MKOLONI MWEUSI TANGANYIKA TUKIPATA VIJANA KAMA HUYU WATANO TU NCHI YA ZANZIBAR ITABADILIKA TU KAZA KAMBA NA SISI TUKO PAMOJA NAWE
RAP YAKO ITAAMSHA WAZANZIBARI WOTE NDANI YA NCHI NA NJE YA NCHI
TOKO PAMOJA MPAKA ZANZIBAR IWE NCHI HURU VIONGOZI WETU 
WANAJIDANGANYA KUWA NCHI HII IKO HURU MAANA WAMELEWA MADARAKA
LAKINI SISI TUNAJUWA KAMA HATUKO HURU. 

No comments:

Post a Comment