Sunday, February 24, 2013

UAE SEEKS VISA FREE TRAVEL FOR EMIRATIS TO SCHENGEN AREA.


Shaikh Abdullah bin Mohammed bin Butti Al Hamed, Undersecretary of the Ministry of Foreign Affair, has said that the UAE is making intensive diplomatic efforts with the European Union to exempt citizens of the Schengen visa.
The UAE has been working on this issue with the European Union for over a year, now.
“The UAE wishes to express its appreciation over the fact that its request to be included among the countries whose citizens do not require a visa to travel to the Schengen Area is currently under serious consideration by the European Union.
The UAE realises that this request is at the beginning of a complex internal debate and subject to internal EU-procedures.”
Although a decision is pending, and will be pending for some time as the request is subject to scrutiny by various EU-institutions, the UAE is confident that a mutually beneficial outcome will be reached.
For the UAE, the main arguments that underpin its request are:
  • Visa-free access will further facilitate a trade relationship between the UAE and the Schengen Area that currently stands at over USD 40 billion (over USD 60 billion for the whole European Union);
  • Visa-free access does not mean that Emirati citizen will migrate to Europe; they will not take up social security meant for European citizens; and they do not pose a security threat;
  • Exempting the UAE would send a positive signal for greater cultural openness towards the Arab and Muslim worlds.
The UAE wishes to thank the vast number of EU- and Schengen states that have come out in support of its request and hopes that the request can still be officially heard, this year. It is hopeful that it can continue to count on this support, also at the later stages of the decision-making process. The UAE remains ready to work with all relevant EU-institutions and to fullfil all requirements necessary to obtain visa-free status, including full reciprocity of visa-freedom to all EU- and Schengen-states.
Shaikh Abdullah bin Mohammed bin Butti Al Hamed, Undersecretary of the Ministry of Foreign Affairs said that the exemption of visa will facilitate the travel of citizens of the state to Schengen,
“it will mutually benefit all parties and will strengthen relations of cooperation and friendship in various fields between the UAE and the Schengen countries.”

HII NI NYUMBA YA RAISI ROBERT MUGABE JE YA SHEIN IKO VIPI..??


HAWA NDIO WACHIMBA MADINI YA ZIMBABWE WAONA HALI WALIYO.

HII NI MOJA YA NYUMBA YA RAISI ROBERT MUGABE WA ZIMBABWE HAWA NDIO MARAISI WA AFRIKA WOTE NAMANISHA AFRIKA YOTE HIVI NDIVYO WANAVYO ISHI NA KUTUWACHA SISI RAI TUKIFA NA NJAA NA HATUNA HATA MADAWA.

HICHI NDICHO CHUMBA NA KITANDA CHAKE ROBERT MUGABE

HII NDIO LIVING ROOM AU UKUMBINI WATU WATANGANYIKA WANASEMA SEBULENI

HAPA HATA SIJUWI NISEMI NI WAPI ILA SWALI NI RAISI YUKO KWA KUTUMIKIA WATU WAWE NA MAISHA MAZURI AU KWAKUJITUMIKIA YEYE NA WAKE ZAKE NA WANAWE WAWE NA MAISHA MAZURI..??

MEZA YA CHAKULA CHA RASI ROBERT MUGABE WA ZIMBABWE HIYO RAI WAKE HATA MKATE HAWANA

HAYA MAMBO HAYO YA RAISI ROBERT MUGABE BAFUNI HUKO PIA TV NA SIMU

HUMU PIA NI BAFUNI KWA RAISI ROBERT MUGABE WA ZIMBABWE KUKU KWA MRIJA SODA KWA UMA NDIO HII BABA MARAISI WA AFRIKA HAO SISI RAI HATA MKAA WAKUPIKIA HATUNA NA HII NI 2013 BADO WATU WANAPIKIA KUNI

KAONA AFRIKA JUWA KALI KAJIJENGEA BONGE LA POOL HILO LAKUTULIZA MWILI USIWE MOTO HUYU SIO MUGABE TU NI MARAISI WOTE WA AFRIKA TUMEMUONA BEN ALI,GADDAFI,MUBAROUK,NA HATA HAWA WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR PIA HIVI NDIVYO WANAVYO ISHI NDIO MAANA MAADA YA KUBWA WAKIWA MADARAKANI NI AMANI NA UTULIVU MAANA YAO POA BILA YA AMANI HAWAWEZI KUJEGA HIVI HUONI SOMALIA WEEE WAFRIKA AMKENI MUSIBURUZWE NA MARAISI WEZI WAKUBWA HAWA.

ROBERT MUGABE-CCM KITU KIMOJA-ATAKA KUGOMBEA TENA URAISI



RAIS wa Zimbabwe Robert Mugabe  ametangaza kushiriki kwa mara ya sita kwenye uchaguzi wa urais utakaofanyika nchini humo.
Mugabe alisema hayo wakati  wa sherehe ya  kuadhimisha siku yake ya kuzaliwa kwake ambapo alitimiza miaka 89.
Katika hafla hiyo kiongozi huyo alisema kuwa, kumekuwa na hila pamoja na shinikizo mbalimbali kutoka Marekani na Uingereza kwa lengo la kumwondoa madarakani yeye pamoja na chama chake cha Zanu PF.
Mugabe ambaye anaiongoza nchi hiyo kwa zaidi ya miaka 33 sasa amepanga kufanya sherehe kubwa zaidi ya kuzaliwa kwake mwezi ujao itakayogharimu kiasi cha Dola 600,000.
Wakati Rais Mugabe akijiandaa kufanya sherehe mwezi ujao, Waziri wa Fedha wa nchi hiyo Tendai Biti alitangaza kuwa, nchi hiyo imebakiwa na hazina ya Dola 300 kwenye Serikali ya nchi hiyo.
Zimbabwe licha ya kukabiliwa na hali ngumu ya kiuchumi na vikwazo vilivyowekwa na nchi za Magharibi, inatuhumiwa kwa hali mbaya ya ukiukwaji wa haki za binadamu.
Awamu ya tano ya uchaguzi wa Rais nchini humo uligubikwa na ghasia pamoja na vurugu  zilizosababisha Chama cha Zanu PF na kile cha MDC kinachoongozwa na Morgan Tsvangirai kuunda Serikali ya umoja wa kitaifa nchini humo.
Mwanzoni mwa mwezi huu Waziri wa Masuala ya Kikatiba Eric Matinenga alisema  kura  ya uamuzi kuhusu Katiba Mpya itafanyika mwezi Machi.
Serikali hiyo ambayo imefilisika imeomba Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) kuisaidia kupata Sh21.48 bilioni kuendesha kura hiyo pamoja na uchaguzi.
“Nilipata ujumbe kutoka kwa Ofisi ya Rais kwamba tarehe ya kura ya uamuzi tayari imeafikiwa. Kura hiyo itafanyika Machi 16,” Matinenga aliwaambia wanahabari mjini Harare.
Katiba ya sasa ya taifa hilo la Kusini mwa Afrika, ambayo imefanyiwa marekebisho mara 19, ilianza kutumika baada ya Zimbabwe kujipatia uhuru kutoka kwa Uingereza mnamo 1980.

AKIULIWA PADRI FBI,CIA,SCOTLAND YARD WATUWA NCHINI ZANZIBAR AKIULIWA SHEIKH HAAA NI MTU TU WAKAWAIDA!!!!!


SAIDI MWEMA SIKU YA KIYAMA UTAMUAMBIA NINI M/MUNGU WEWE..?
WAKATI kukiwa na taarifa kwamba maofisa wa Shirika la Upelelezi la Marekani (FBI) wametua nchini kwa ajili ya kufanya upelelezi wa mauaji ya Padri Evarist Mushi,wazanzibari wamejawa na huzuni kuona nchi ya tanganyika inaipakazia zanzibar ugaidi na lakumiza zaidi nikuwa sheikh wa msikiti ameuliwa na hakuna hata radio au tv iliyotangaza kuhusu tikio hili.isitoshe Jeshi la Polisi limetangaza dau la Sh10 milioni kwa atakayefichua aliyemuua padri huyo lakini jeshi hili hili la polisi limeshindwa hata kufafanuwa kwa kuliwa sheikh huyo ambaye sasa ni siku ya pili tu toka auliwe lakini hakuna hata polisi moja anaelizungumziya jambo hili kila moja anazungumzia kuhusu padri mushi tu na sio sheikh je hii kweli ni haki...?
Padri Mushi aliuawa kwa kupigwa risasi Beit el Ras nje kidogo ya mji wa Zanzibar, ambapo inadaiwa kuwa waliomuua walikuwa wamepanda pikipiki aina ya Vespa na walimfyatulia padri huyo risasi tatu akiwa ndani la gari yake.sheikh nae ameuliwa akiwa katika shamba lake alipingwa na mapanga na magaidi wasio julikana na kufaa alipokuwa akiharakishwa hospitali kutokana na kutokwa na damu nyingi alikufa ni jambo la ajabu sana haswa zanzibar nchi ndogo kama hii kukawa na magaidi hawa wa kuwauwa masheikh kwa mapanga bila ya huruma kabisa.
 Sheikh Ali Khamis Ali (65) mkazi wa Kitope Kaskazini Unguja, aliuawa jana kwa kukatwa katwa na mapanga nchini Zanzibar, baada ya magaidi wasio julikana kuvamia shambani kwake.Habari za kuaminika zilizopatikana juzi zinaeleza kuwa maofisa hao wa FBI, wako nchini na tayari na wamekutana na baadhi ya viongozi wa Serikali kwa ajili ya kuanza kazi hiyo ya kuchunguza kifo cha padri tu je cha sheikh au sheikh sio mtu...?
Chanzo chetu cha habari kimeeleza kuwa maofisa hao walikutana na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi kwa ajili ya kuangalia ni namna gani watafanya shughuli zao katika upelelezi huo na toka sheikh auliwe nchimbi hajaja tena nchini zanzibar kusema kuwa hawa walio muwa sheikh pia ni magaidi na tutawasaka hakuja kabaki dar kimya nini tufahamu wananchi wa zanzibar ikiwa akiuliwa padri ni ugaidi akiuliwa sheikh kimya akiuliwa padri fbi akiuliwa sheikh kimya ni nini tafsiri ya mambo haya...?
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Pereira Ame Silima alilithibitishia gazeti hili kwamba Serikali imeanza kufanya mazungumzo na mashirika mbalimbali ya upelelezi duniani kwa ajili ya kushirikiana nayo kuchunguza mauaji ya Padri Mushi, lakini akasema kuwa ni mapema mno kuyataja.
“Tumeahidi kutoa Sh10 milioni kwa mtu yeyote, atakayetoa taarifa za mauaji ya Padri Mushi, hii itakuwa kama zawadi tu.”je sheikh Ali Khamis Ali mtatowa kiasi ngani...????

Saturday, February 23, 2013

KAMISHNA MUSSA ALI MUSSA ASEMA ALIYE ULIWA SIO IMAMU NI MTU WA KAWAIDA TU.SASA KAMA NI MTU WA KAWAIDA NDIO AULIWE KAMISHNA..????

Kamishna wa Jeshi la Polisi Zanzibar Mussa Ali Mussa akifafanua jambo
Kamishna wa Jeshi la Polisi Zanzibar Mussa Ali Mussa .kamishna wa polisi awatetea wauwaji asema aliye uwawa sio imamu ni mtu wa kawaida tu!!! je mtu wa kawaidi ndio auliwe kamishna...?


Sambamba na hayo Kamishna Mussa amesema kuwa, jamii Nchini wamekuwa wakilichukulia tukio hilo kuwa ni lakulipiza kisasi kutokana na kuchomwa kwa Kanisa pamoja na kuwawa kwa Padri hivi karibuni bali ni kinyume na dhana za watu waliowengi kwani marehemu huyu si Imamu kama watu wengi wanavojua ila ni mtu  wa wakawaida.!!!!(mtu wa kawaida ndio auliwe kamishna kwa kuwa ni mtu wa kawaida..???)
 Pia amendelea kueleza kuwa,kuna baadhi ya watu wasioitakia mema Zanzibar wamekuwa wakieneza taarifa zisizo sahihi kwa kuhusisha tukio hili ni lakulipiza kisasi baina ya Dini mbili tofauti.Kamishna Musaa amefahamisha kuwa miongoni mwa njia ambazo wanazitumia kuenezea taarifa hizo potofu ni pamoja na mitandao ya simu za mikononi kwa kutumiana massage sambamba na mitandao ya kijamii.

Hivyo ametoa wito kwa wakaazi wa Zanzibar waelewe kuwa Nchi nyingi zilizo na machafuko hivi sasa zilianza kama hivi kwa kupokea taarifa zisizokuwa sahihi,kwa hivyo amewaasa Wananchi watafute habari za Uhakika kupitia vyombo husika na sio kuchukua maneno ya watu wasioitakia mema Nchi yao.wewe si ni kamshna mbona mpaka leo hufutilia tarifa ya watu waliouliwa katika uchanguwi wa 2001,malio uliwa kwa kuzama meli mpaka leo kimya je zilikuwa sio habari za uhakika wewe umefanya nini na mijino yako..???

SEREKALI YA TANGANYIKA INAONGOZA KWA KUKOPA ULIMWENGU MZIMA



TAASISI isiyo ya kiserikali ina yojishughulisha na masuala ya Madeni ya Taifa na Maendeleo (TCDD), imesema Serikali ya Tanganyika ndiyo inaongoza kwa kukopa zaidi, ikieleza kuwa kati ya mwaka 2008 hadi mwaka 2011, imekopa kiasi cha Sh15trilioni na kufanya deni la taifa kufikia Sh21trilioni.
Rais Kikwete aliingia madarakani mwaka 2005, baada ya rais aliye mtangulia, Benjamin Mkapa kumaliza kipindi chake cha uongozi wa miaka 10 kilichoanzia mwaka 1995 hadi mwaka 2005.
TCDD imebainisha kuwa Serikali inakopa fedha hizo kutoka Benki Kuu (BoT), Benki za Biashara, Kampuni za Bima na Mashirika ya Hifadhi za Jamii. Pia inakopa katika taasisi za kimataifa ikiwamo, Benki ya Dunia (WB), Benki ya Maendeleo Afrika (ADB) na Shirika la Fedha Duniani (IMF).
Katika maelezo yake, Mkurugenzi Mtendaji wa taasisi hiyo Hebron Mwakagenda, alisema kuwa kite ndo cha Serikali kukopa fedha kwa ajili ya matumizi yasiyo muhimu pamoja na kuwalipa watumishi wake mishahara, ndiyo sababu ya kukua kwa deni hilo la taifa.
“Serikali ya awamu ya nne imekopa kwa kiwango kikubwa, kwani tangu iingie madarakani imeshakopa Sh15trilioni, sasa sijui mpaka inamaliza muda wake itakuwa imekopa kiasi gani?” alisema Mwakagenda akihoji na kuongeza;
“Hata kama kukopa ni kuzuri basi tukope na fedha tuzifanyie mambo ya maana hasa katika maendeleo, tukope tu pale inapokuwa lazima kufanya hivyo.”
TCDD imeeleza kwamba hali hiyo ni hatari, hasa ikizingatiwa kuwa miaka kadhaa iliyopita, Tanganyika kupitia Mpango wa Nchi Maskini zenye Madeni Makubwa (HIPC), ilifutiwa kiasi kikubwa cha madeni, lakini sasa imeanza kukopa tena na deni kukua kwa kasi.
Taasisi hiyo pia imesema kitendo hicho kimechangia kuporomoka kwa uchumi wa taifa kunakosababishwa na riba kubwa za mikopo hiyo, ambapo kulingana na idadi ya Watanganyika ukigawanya deni hilo kwa wote, inaonyesha kuwa kila Mtanganyika anadaiwa wastani wa Sh450,000.
Mwakagenda, ambaye taasisi yake inafanya kazi ya kuishauri Serikali katika suala zima la deni la taifa na maendeleo, alisema hadi kufikia Oktoba mwaka jana, deni la nje lilikuwa Sh15.9 trilioni.
Kwa mujibu wa taarifa ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), aliyoitoa bungeni mjini Dodoma mwaka jana, taifa linapoteza Sh3 trilioni katika ukwepaji wa kodi na ubadhirifu, huku akishauri kuwa mambo mawili yakifanyiwa kazi deni hilo litapungua au kumalizika kabisa.
“Deni linakuwa kwa kiasi kikubwa na tunakopa katika mabenki ya biashara, ambayo riba yake ni kubwa, fedha nyingi zinazokopwa hutumika kulipa mishahara,” alisema Mwakagenda.
Alifafanua kwamba mwaka 2007 hadi 2008 deni la taifa lilikuwa Sh6.4 trilioni na kwamba, kuanzia mwaka 2007 hadi 2011 deni hilo limeongezeka hadi Sh21 trilioni.

MAGAIDI WAMUUWA IMAMU WA MSIKITI WA MWAKAJE-NCHINI ZANZIBAR.


HAWA KAZI YAO NINI..?KULA,KUVIMBA,NA KUWA NA VYEO MPAKA MABEGA YANAUMA KWA VYEO AU SIO..?

SIKU chache baada ya kutokea kifo cha Padri Evarist Gabriel Mushi na watu wasiojulikana kwa kupigwa risasi kichwani eneo la Beit el Raas, Jana Imamu wa Msikiti wa Mwakaje amefariki dunia baada ya kupigwa mapanga hadi kufa na magaidi wasio julikana.
Kwa mujibu wa maelezo ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kaskazini Unguja, Ahmada Khamis amethibitisha kutokea kwa tukio hilo hapo jana mchana majira ya saa 8 mchana na kumtaja aliyefariki ni Sheikh Ali Khamis ambaye ameuawa na watu wasiojulikana.
Kamanda Ahmada alisema Sheikh Khamis mbali ya kuwa ni Imamu wa Msikiti lakini pia ni mkulima na ameuliwa wakati akiwa katika mazingira ya kazi zake ndani ya shamba lake huko Kidoti Mkoa wa Kaskazini Unguja.
Akielezea mazingira ya tukio hilo Kamanda Ahmada alisema tukio hilo limetokea baada ya Sheikh Khamis kwenda shambani kwake katika shmba la minazi Kidoti ambapo wakati akiwa shambani hapo ndipo walipotokea watu kadhaa na kumpiga mapanga sehemu za shingoni mwake na kusababisha kifo chake muda mfupi baada ya kipigo hicho.
Alisema baada ya tukio hilo, watu walimchukua na kumkimbiza hospitali lakini kutokana na kupoteza damu nyingi alifariki dunia wakati akiwa njiani na hivyo harakati za mazishi zinafanyika za kumzika baada ya kuchukuliwa vipimo vya wataalamu wa afya.
Kamanda Ahmada ametoa wito kwa wananchi kutopuuzia taarifa za watu ambao wanawashuku na wenye kuleta maafa yakiwemo mauaji hapa nchini, kwani kuwaficha wahalifu ni kuendeleza utamaduni usiofaa katika jamii ambayo imeanza kuharibika kutokana na mauaji hayo yanayoendelea kila kukicha.
Hili ni tukio la tano kwa viongozi wa dini kuhujumiwa ambapo tukio la kwanza Sheikh Fadhil Suleiman Soraga kumwagiwa tindi kali na watu wasiojulikana na kujeruhiwa vibaya wakati akifanya mazoezi nyakati za asubuhi karibu na nyumbani kwake Magomeni, tukio la pili ni lile la sheikh farid hadi kutekwa na watu wasio julikana na la tatu ni la Padri Ambrose Mkenda aliyepigwa mapanga shingoni na kurejuhiwa vibaya na watu wasiojulikana wakati akitaka kuingia nyumbani kwake huko Tomondo Mjini Unguja. matukio hayo matatu yalitokea mwaka jana.
Katika mwaka huu nako kumetokea matukio mawili kwa kuuwawa kwa Pardi Evarist Mushi huko Beit El Raas wakati akitaka kuingia Kanisani na pia kuuawa kwa Sheikh Ali Khamis huko Kidoti shambani kwake Mkoa wa Kaskanizini Unguja.  Inna lillahi wainna ilayhi rajiiun.ina bidi sasa serekali ya GNU-SMZ pia ikaite CIA nchini marekani waje wachunguze maana hichi ni kitendo cha KIGAIDI cha kuliwa IMAMU akiwa shambani kwake kujitafutia riziki lazima MAGAIDI hawa walio muuwa imamu wasakwe na wafikishwa katika vyombo vya sheria.tunaiomba serekali ya GNU-SMZ kuchukuwa hatuwa maramoja ya kuwaita CIA kuja hapa nchini zanzibar na kuchunguza ili waweze kujulikana hawa MAGAIDI WALIO MUUWA IMAMU na wakamatwa MAGAIDI hao na kuhukumiwa.

IMAMU WA MSIKITI NCHINI ZANZIBAR APINGWA MAPANGA NA KUFA PAPO HAPO


Taarifa zilizopo ni kuwa sheikh mmoja anayeitwa Ali Khamis ambaye ni Imamu wa Msikiti Mkaazi wa Mwakaje amepigwa mapanga na watu wasiojulikana huko Kidoto Mkoa wa Kaskazini Unguja jana, Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Kaskazini Unguja, Ahmada Khamis amethibitisha kutokea kwa tukio hilo ambalo anasema limetokea majira ya saa 8 mchana huko Kitope wakati Marehemu akiwa shmbani kwake, Kwa mujibu wa taarifa za polisi zinasema Imamu huyo alipigwa mapanga shingoni kwake na kupoteza damu nyingi sana na kusababisha kifo chake wakati akikimbizwa hospitali. Jeshi la polisi linaendelea na uchunguzi wa tukio hilo. je FBI watafutalia pia tukio hili la kuliwa imamu huyu..? Inna lillahi wainna ilayhi rajiiun.WATANGANYIKA WAANZA KUFANIKIWA MAANA HAYA NDIO WALIOKUWA WAKIYATAKA KUFITINISHA BAINA YA WAKIRISTO NA WAISLAMU HONGERA TANGANYIKA HONGERA KWA FITINA ZAKO KUMBUKA MLAA KUKU WA MWENZIWE MIGUU HUMUELEKEA.NCHIMBI MAGAIDI WASHAMUUWA IMAMU WETU WA MSIKITI NENDA KATIKA TV NA RADIO UKATANGAZE.WAMBIYE FBI PIA WAWASAKE MAGAIDI HAWA WALIO MUUWA IMAMU KWA MAPANGA NCHIMBI USIPOTANGAZA HILI KWENYE TV NA RADIO TUNAKUJUWA WEWE NI MOJA WA MADUWI WA WAZANZIBARI USIYETAKA ZANZIBAR KUWA NCHI HURU NA INAYO ENDESHA MAMBO YAKE WENYEWE KITAIFA NA KIMATAIFA. MUNATAKA MUITAWALE ZANZIBAR NYINYI WAKOLONI WEUSI FITINA ZENU ZITAONEKANA TU HATA MUJIFICHE VIPI.MUME MUUWA IMAMU ILI WAISLAMU WAKASIRIKE WAANZE KUUWA WAKIRISTO KISHA MUKIONA WAKIRISTO WAME ELEMEWA MUTULETE MAJESHI NA POLISI KUJA KUTUWA WAZANZIBARI SISI TUNAZIJUWA MBINU ZENU ILA HAMUTAFANIKIWA KATU HAMUTA FANIKIWA. WAZANZIBARI TUWE MACHO ZANZIBAR KWANZA.

Friday, February 22, 2013

SAUDI ARABIA INATAKA KUKUZA USHIRIKIANO WA NA NCHI YA ZANZIBAR



Serikali ya Saudi Arabia imesema inakusudia kukuza ushirikiano wake na Zanzibar sambamba na kuongeza misaada yake hasa katika Nyanja za taaluma.Mshauri wa Mfalme wa Saudi Arabia Sheikh Abdallah Omar Nasif ameeleza hayo leo alipokuwa na mazungumzo na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad, nyumbani kwake Mbweni.

Sheikh Nasif amesema Saudi Arabia na Zanzibar zina uhusiano wa kindugu wa muda mrefu, na kwamba hata tamaduni zao zinafanana, hivyo kuna kila sababu ya kukuza uhusiano huo.Nae Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad, amekaribisha ujio wa kiongozi huyo, na kwamba kitendo hicho kitakuza mashirikiano baina ya pande hizo mbili.Ameiomba Saudi Arabia kuangalia uwezekano wa kusaidia shughuli za madrasa, ikizingatiwa kuwa madrasa nyingi hazina mazingira mazuri ya kusomea.

Kiongozi huyo ameambatana na ujumbe wa serikali na dini ya kiislamu wakiwemo Waziri wa Katiba Mhe. Abubakar Khamis Bakari, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais Mhe. Fatma Abdulhabib Ferej, Mufti Mkuu Sheikh Saleh Omar Kabi na Kadhi Mkuu Sheikh Khamis Haji.
Wakati huo huo Maalim Seif  amewataka wafanyakazi kuendeleza nidhamu na ushirikiano katika sehemu zao za kazi ili kuongeza ufanisi.Ameeleza hayo katika hafla fupi ya kuwaaga na kuwazawadia wastaafu watano wa ofisi yake, hafla iliyofanyika ofisini kwake Migombani.

Amewataka wafanyakazi wengine wa ofisni kufuata nyayo za wenzao waliostaafu, ili nao waweze kufanya kazi vizuri hadi kustaafu kwao.Mapema akizungumza kwa niaba ya wastaafu wenzake, muhasibu mkuu mstaafu wa ofis hiyo bwana Duchi Mussa, amesema siri kubwa ya mafanikio yao ni mashirikiano pamoja na mashauriano kutoka kwa wafanyakazi.


MAJABU. !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

 SIJUWI NI SEME SAMAKI AU KITIMOTO JE UTAKULA ..???



TANGANYIKA YALETA FBI KUJA KUCHUNGUZA KIFO CHA PADRI TU AU NA CHAA MZEE KARUME PIA....????


amakweli kuzidiwa kubaya au tunaweza kusema asiyekubali kushinda sio mshidani.jeshi munalo Tanganyika, polisi munao Tanganyika, FFU munao Tanganyika na nchini Zanzibar haya yote yako maana nyinyi Watanganyika kila mwaka munatuletea majeshi,polisi,FFU,NK. sasa fbi wa nini..?Ila polisi,majeshi,FFU,wapelelezi wenu wa kazi ngani basi kuwa nao...? pia kwa sasa wanajeshi wako bize kwenye hifadhi za taifa wakiua tembo na wanyama wengine na kusafirisha pembe na wanyama hai nje ya nchi ndio kazi ya jeshi sasa. leo ni ijumaa na polisi wameweka doria kwenye kila msikiti Nchini Tanganyika kuwakabili wafuasi wa Sheikh mponda baada ya swala ya ijumaa. siku za wiki wanakua kwenye vikao vya kiinteligensia vinavyoendeshwa na kova kuandaa mikakati ya kukidhibiti chama cha Chadema. FFU wako standby kuwawekea polisi tafu kila wanapozidiwa nguvu na wafuasi wa Sheikh mponda au wa Chadema kwenye maandamano.Wazanzibari tumabaini kuwa nyinyi Watanganyika hamuwezi kufanya kazi zinazohitaji akili (kwani akili hamuna) NI MWITWAANA,MAJUHAA, Munao thani kila kitu kinahitaji nguvu tu kwa hiyo nini mufanye munasubiri mupewe amri ya kuwafyatulia risasi za moto vijana wasio na hati vijana wenye kumwaa na nchi yao ya Tanganyika yenye reslimali nyingi  sana likini bado ni masikini na washachoshwa na UDIKTETA uliyo jaa ndani ya nchi hii ya Tanganyika vijana wanadai haki zao hata muwauwe wote bado hamutaishi kwa raha.
NCHI YA ZANZIBAR
haya tuje sasa kuhusu Zanzibar kuna matatizo na matatizo hayo sio ya leo wala ya jana yapo toka enzi na enzi Wazanzibari ni watu wapole na makarimu na hichi ndicho kilicho waponza na kuburuzwa nchi yao mpaka kufikia hapa tulipofikia leo na Mkoloni Mweusi Tanganyika tunasikia tu kuwa FBI wameletwa Nchini Zanzibar kuja kuchunguza kifo cha padri aliye pingwa risasi na watu wasio julikana na huku NCHIMBI ashawapakazia Wazanzibari kuwa kitendo kilicho fanyika ni kitendo cha kigaidi. swali linakuja je chakumwangiwa tindi kali sheikh kilikuwa ni kitendo CHA....? je chakutekwa sheikh farid hadi ni kitendo CHA..?      je cha kuuliwa aliyekuwa makamo wa raisi Dr Omar Ali Juma je kilikuwa kitendo CHA..? je chakuwawa raisi wa kwanza Sheikh Abeid Amani Karume 1972 kilikuwa kitendo CHA...? je mauwaji ya watu walio uliwa bila ya kosa lolote 2001 Unguja na Pemba ilikuwa ni kitendo CHA...? je kuwaweka wananchi under seage baada ya uchanguzi wa 2005 ilikuwa ni kitendo CHA...? N.K. 
                                   
Je hii Tanganyika kuita FBI ikiwa ndio kweli kuja nchini kuchunguza kuhusu kuuliwa padri kweli ndio suluhisho..? kwa nini wakati alipouliwa Raisi narudia tena Raisi wa kwanza hapa nchini Zanzibar narudia tena Raisi mbona hamukuita FBI..? kuja kuchunguza ni vipi mpaka Raisi mzima akauliwa na huyu ni Raisi na alikuwa Raisi wa Tanganyika wakati ule ni baba yenu nyerere hakuita FBI kuja kuchunguza ilikuwaje Raisi mwenzake akauliwa yalifinikwa finikwa mpaka leo.sasa leo kauliwa padri tu FBI daaaaah Watanganyika hamuwachi umati wa watu muliwauwa kila wakati wa uchanguzi hapa Zanzibar mbona hamukuita FBI. au ndio mna palilia mkaa moto..? ili mupate sababu ya kusema kuwa hawa ni magaidi tusiwape nchi yao..? hivi kweli Tanganyika inathani ndio itamaliza matatizo na migogoro ya muungano kwa kuwaita au kukodi vyombo vya usalama kutoka nje au matatizo na migogoro humalizwa kwa kuwasikiliza watu wanachokitaka..?  tena uwape ukishawasikiliza sio uwasikilize kisha hufanyi matatizo na migogoro itabaki pale pale.Wazanzibari washasema muungano hawautaki basi wachieni mbaki kuwa majirani kama kenya na uganda au malawi ikiwa mutawalazimisha na kuwaitia scotland yard,fbi hapo bado Watanganyika mutakuwa munatwanga maji katika kinu na muukitia Zanzibar katika vita musithani kama Tanganyika itabaki salama haitabaki kumbukeni baba yenu nyerere aliwambiya nini.

Thursday, February 21, 2013

JAJI ICHEMSHA SERAKALI KTK MAHAKAMA KUHUSU KESI YA UAMSHO



JAJI Mkuu wa Mahakama Kuu ya Zanzibar, Abraham Mwampashi jana anaeendesha kesi ya viongozi wa Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar (JUMIKI) amepinga hoja za upande wa mashataka za kutaka kutokusikilizwa ombi la upande wa watetezi wa washitakiwa kuhusu pingamizi ya dhamana.
Jaji Mwampashi alisema kuwa asingependa kupoteza muda kutokana na mambo ya kiufundi (technicality) na kama kuna pingamizi yoyote ni vizuri Serikali ipinge siku ambayo pingamizi hiyo itasikilizwa mahakamani.
Alieleza mahakamani hapo kwamba angependa kujua sababu za upande wa mashtaka kutoka ofisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka Zanzibar (DPP) kutoleta ombi lao mapema huku ikizingatiwa kuwa muda wa kesi hiyo ni mkubwa ambapo kisheria ungeanza kusikilizwa.
Alisema kuwa kutokana na kuwa kesi ya msingi ipo ni vizuri mahakama ikaendelea kusikiliza ombi hilo na wala asingependa kupoteza muda kutokana na mambo ya kiufundi huku akisisitiza kuwa ombi hilo liliombwa upande wa utetezi tokea mwaka jana.
“Kesi ya msingi bado ipo mahkamani kilichotaka kusikilizwa pale ni ombi la pingamizi nisingependa kupoteza muda kwa mambo ya kiufundi ‘tenchnicts) kwenye mambo ya kimsingi nimepokea ombi lakini sio jipya, sasa kama mna chohcote mtakisema hiyo siku”,alisema jaji huyo na kuongeza kuwa nataka kujua upande wa serikali kitu gani wanakipinga wakati hakuna kifungu cha sheria kinachozuwia.
Jaji Mwampashi alihoji ikiwa mahakama hiyo haina uwezo wa kusikiliza ni mahakama ipo yenye mamlaka ya kusikiliza ombi hilo na kujibiwa na Mwanasheria wa serikali kutoka Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka, Ramadhan Naseeb kuwa ni kweli ombi hilo limepokea tokea mwaka jana na sio jipya.
Hivyo alimtaka mwendesha mashtaka huyo kuwasilisha pingamizi hizo wakati ombi hilo litakaposikilizwa kutokana na ombi hilo sio jipya kwa upande wa serikali
“Kusikiliza ombi ni February 28 mwaka huu serikali kama mtapinga ni siku hio hiyo na kama mtaleta ombi ni siku hiyo, Nasema nisingependa kupoteza muda kwa mambo ya kiufundi na naomba niankhirishe kesi hadi siyo hiyo niliyoitaja.” Alisema jaji Mwampashi
Mapema Mwendesha Mashitaka wa Serikali Ramadhani Naseeb ameiomba mahakama kuu ya Vuga kutosikiliza ombi la pingamizi la dhamana katika kesi inayowakabili viongozi wa Jumuiya ya Uwamsho na mihadhara ya Kiislamu.
Naseeb alitoa ombi hilo baada ya upande wa utetezi kuwasilisha barua ya kuitaka Mahakama kufanya mapitio yake iliyoyatoa kuhusu pingamzi iliyowekwa na upande wa Mashtaka ya kuzuia wateja wao wasipewe dhamana ambapo Mkurugenzi wa Mashitaka Zanzibar (DPP) kwa mamlaka aliyopewa amefuta dhamana za washitakiwa hao.
Washtakiwa hao ni Sheikh Farid Hadi Ahmed (41) mkaazi wa Mbuyuni, Mselem Ali Msellem (52), mkaazi wa Kwamtipura, Mussa Juma (37), mkaazi wa Makadara, Azzan Khalid Hamdani (43), mkaazi wa Mfenesini, Suleiman Juma, mkaazi wa Makadara, Khamis Ali na Hassan Bakari (39), mkaazi wa Tomondo.
Washitakiwa wote kwa pomaja wanakabiliwa na mashtaka matatu yakiwemo Uharibifu wa mali, Kushawishi, kuchochea na kuwarubuni watu kufanya fujo, huku mshitakiwa Azan akikabiliwa na makosa manne moja likiwa la uvunjifu wa amanai.
Mpema mawakili wa upande wa utetezi wakiongozwa na Salim Towfiq, Abdallah Juma na Suleiman Salim uliwasilisha ombi la kuitaka mahakama kufanya mapitio yake ilioyatoa kuhusu pingamizi iliyowekwa na mkurugenzi wa mashitaka ya kuzuia dhama ya washitakiwa hao.
Toufik alisema kuwa ni vyema mahakama ikatumia busara ya kulisikiliza ombi hilo kwa sasa kutokana na wateja wake kuwa ndani kwa muda mrefu sasa. Washitakiwa hao wamerejeshwa rumande hadi Febuari 28 mwaka huu, kwa kusikilizwa pingamizi yao

JE SHEIN NI MKATOLIKI...??????????

DR KUMBI SHEIN IKITIA MCHANGA KATIKA KABURI LA MAREHEMU  PADRI EVARISTUS GABRIEL MUSHI 
DR KUMBI SHEIN AKIWEKA SHADA LA MAUWA KATIKA KABURI LA MAREHEMU PADRI EVARISTUS GABRIEL MUSHI
DR KUMBI SHEIN NA MAALIM SEIF SHARRIF HAMAD WAKITOKEA MAZIKONI!!!!!

Wednesday, February 20, 2013

SHEIN MAZIKO YA SHEIKH NASSOR BACHU HAKUONEKANA YA PADRI EVAREST MUSHI UMO NDANI YA KANISA HASWA!!!!!!!!

IMG_9500
KWA JINA LA BABA NA LAMWANA NA LAROHO MTAKATIFU AMIIN
DR KUMBI SHEIN,AKIMSWALIA SWALATI MAITI mwili wa Marehemu Padri Evarest Mushi,katika Kanisa la MinaramiwiliNCHINI ZANZIBAR, Padri Gabriel Mushi,aliyefariki kwa kupigwa risasi na watu wasijuilikanwa Jumapili iliyopita,na atazikwa leo Kijiji cha Kitope
Wilaya ya Kaskazini B Unguja,(katikati) Askofu wa Kanisa Nchini Zanzibar Augustino Shao,
Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohd Shein akitia saini kitabu cha Maombolezo kufuatia Kifo cha Mchungaji Evaristus.G.Mushi katika Kanisa la Minara Miwili liliopo Shangani Mjini Zanzibar,Mchungaji alifariki Dunia Baada ya Kupigwa Risasi na Watu wasiojulikana huko Beitrasi Mjini Zanzibar.
DR KUMBI SHEIN akitia saini kitabu cha Maombolezo

Dr Kumbi Shein akisalimiana na Askofu wa kanisa Nchini Zanzibar 
Jeneza lililobeba Mwili wa Marehemu Mchungaji Evaristus.G.Mushi likipelekwa katika kaburi kwa ajili ya mazishi ambayo yalifanyika huko katika kijiji cha Kitope wilaya ya Kaskazini B Zanzibar.
Sanduku lililobebwa Mwili wa Marehemu Mchungaji Evaristus.G.Mushi likipelekwa katika kaburi kwa ajili ya mazishi ambayo yalifanyika huko katika kijiji cha Kitope wilaya ya Kaskazini B  Nchini Zanzibar.  
WAZANZIBARI FUNGUWENI MACHO MUNAPO CHANGUWA VIONGOZI WA KUONGOZA NCHI KIYAMA KUNA MAMBO

WAKILI WA UAMSHO ATAKA KESI KUFUTWA MAANA UCHUNGUZI UNAOFANYWA KWA UPANDE WA MASHTAKA HAUKAMILIKI.



MAHAKAMA ya MATHALIM ya Wilaya ya Mwanakwerekwe imeombwa kuifuta kesi inayowakabili viongozi wa Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar (JUMIKI) kutokana na kuchukua muda mrefu kwa kesi hiyo bila ya ushahidi wake kukamilika na kila kukicha msemo ndio huwo huwo ushahidi haujakamilika.
Wakili wa washitakiwa hao, Salum Toufik alimuomba hakimu anaeiendesha kesi hiyo, Ame Msaraka Pinja kwamba kutokana na taratibu za kimahakama hususan katika makosa ya jinai kesi inapokuwa imefikia kuanzia miezi mitatu na kuendelea bila ya upelelezi kukamilika inapaswa kufutwa.
“Mheshimiwa mimi nahisi ni muda mrefu sasa wateja wangu wapo rumande na kesi kila siku upelelezi haujakamilika naiomba mahakama yako iangalie sheria na kanuni ili iweze kuifuta kesi hii,” alisema Towfik.
Kesi hiyo inayowakabili viongozi hao wakiongozwa na Sheikh Farid Hadi Ahmed ambao wanadaiwa kutenda kosa la uchochezi wa kufanya fujo kinyume na kifungu cha 45 (1)(a) na (b) sheria namba 6 ya mwaka 2004 walifikishwa tena jana katika mahakama hiyo kwa kutajwa.
Upande mashataka awali umeomba muda zaidi kuendelea na upelelezi wa kesi hiyo.
Upande huo ukiongozwa na Khamis Jafar wameiomba mahakama kuwapa muda zaidi baada ya upande wa watetezi wa washtakiwa kuiomba mahakama  hiyo kuifuta kesi hiyo kutokana na kuwa imekuwa kipindi kirefu pasipo na upelelezi kukamilika.
Hata hivyo, hakimu wa mahakama hiyo aliiahirisha kesi hiyo hadi Machi 19 mwaka huu, kwa kutajwa na washitakiwa wamerejeshwa rumande hadi tarehe hiyo.
Washitakiwa hao ni Sheikh Farid Hadi, Mselem Ali, Mussa Juma, Azza Khalid Hamdan, Suleiman Juma, Khamis Ali na Hassan Bakari .
Mapema mwendesha mashtaka huyo alidai mahakamani hapo kuwa washitakiwa hao wakiwa ni wahadhiri kutoka Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya
Kiislamu walitoa matamko ya uchochezi yanayoashiria uvunjifu wa amani na kusasabisha fujo, maafa mbali mbali na mtafaruku kwa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na uharibifu wa mali za watu na serikali.
Wakati huo huo kesi nyingine inayowakabili viongozi wa Jumuiya ya Uamsho Zanzibar juzi ilitajwa mbele ya hakimu mpya baada ya Hakimu Mohammed Ali Shein kujitoa katika kesi hiyo ya kufanya fujo.
Hakimu Shein alijitoa Desemba 27 mwaka jana katika kesi hiyo inayowakabili Sheikh Farid Hadi na wenzake sita iliyopo Mahakama ya Mwanakwerekwe mjini Zanzibar.
Kesi hiyo inasikilizwa na Hakimu wa Wilaya, Khamis Rashid ambapo washitakiwa wanne wako nje kwa dhamana na watatu bado wako mahabusu kutokana na kesi nyingine inayowakabli.
Washitakiwa watatu ambao walikwenda katika kesi hiyo wakitokea mahabusu ni Sheikh Farid, Juma Suleiman na Mussa Juma ambao wanakabiliwa na kesi Mahakama Kuu ya Vuga ambayo dhamana imefungwa.
Kesi hiyo ya Mwanakwerekwe inatarajiwa kutajwa Machi 4 na 5 na ile ya Mahakama Kuu itaendelea hapo kesho katika Mahakama ya Vuga Zanzibar.

Monday, February 18, 2013

NCHIMBI MZEE KARUME KAULIWA NA NANI...?


NCHIMBI AKIWA NCHI ZANZIBAR KUPELELEZA KULIWA KWA PADRI MUCHI


MBONA MPAKA LEO HAMUTAKI KUTUAMBIA NANI KAMUUWA MZEE KARUME..? N.K
MBONA MPAKA LEO HAMUTAKI KUTUAMBIA NANI KAMUUWA KASSIM HANGE..?N.K
MBONA MPAKA LEO HAMUTAKI KUTUAMBIA NANI KAMUUWA OTHMANI SHARIF.?N.K
JE IKIWA PADRI MUCHI HAKULIWA YUKO HAI NA WENZAKE WOTE WAMETIWA JELA KAMA KINA SHEIKH FARID JE WANGELIKA JELA MPAKA LEO AU UNGELIKUJA ZANZIBAR NA MAJESHI KUWAFUNGULIA..?

MAALIM SEIF AMTOLEA UVIVU NCHIMBI NA VYOMBO VYA HABARI NCHINI TANGANYIKA


                                                                                                                                                                                                             Makamo wa Kwanza wa Rais Nchini Zanzibar Maalim Seif Shariff Hamad ametoa kauli nzito kulaani kitendo cha kuuliwa kinyama Padri Muchi. Amesema kitendo hicho hakikubaliki na kinapaswa kulaaniwa na kila mwenye kuipendelea kheri nchi hii ya Zanzibar. Amesema waliofanya hivyo bila shaka ni watu wasioipendelea mema katika nchi ya Zanzibar na watu wake, wasiofurahi kuona umoja wa wazanzibari unaduma na wasiopenda amani na maendeleo kwa wazanzibari.
Maalim Seif amesema anaunga mkono agizo la Rais Kikwete la kutaka timu maalum ikishirikiana na wataalamu kutoka nje kuchunguza kwa makini tukio hilo na waliohusika kutiwa mbaroni na kuchukuliwa hatua za kisheria. Hata hivyo amesisitiza kwamba katika utekelezaji wa agizo hilo la Rais vyombo vya dola viweke pembeni ushabiki wa aina yoyote ambao unaweza kupelekea kuwanyanyasa wasiohusika.
Aidha kwa mshangao na mshtuko mkubwa Maalim Seif amezihoji kauli za vyombo vya habari vya nchi ya Tanganyika (Tanzania)   na viongozi wa Jamhuri ya Muungano hususan ile ya waziri wa Mambo ya ndani,Emmanuel Nchimbi kwamba kitendo hicho ni ugaidi unaofanyika Zanzibar. Maalim Seif amehoji ni kwa nini..? kwa ushahidi gani..? na kwa azma gani..? waziri Nchimbi ametoa kauli ya kulihusisha tukio hilo na ugaidi unaofanyika Zanzibar...? Amesema wale wote wanaotoa kauli hizo hawana nia njema na Zanzibar kwa kuwa wanaijengea Zanzibar  hii taswira mbaya katika jamii ya kimataifa kwamba Zanzibar ni eneo ambalo kunafanyika vitendo vya kigaidi.
Maalim Seif amehoji kwamba matukio ya watu kuuwawa ni ya kawaida kule Tanganyika (Tanzania) Mkoani Geita na hivi karibuni kumetokea mauwaji na watu kadhaa kujeruhiwa kutokana na vurugu za kidini na haikusikika kauli ya waziri Nchimbi akiyaita mauwaji hayo na vurugu hizo kuwa ni ugaidi unaofanywa Tanzania bara badala yake kistaarabu kabisa waziri Mkuu amekwenda Geita na kujaribu kutuliza hali hiyo.. “Kwa nini kauli za ugaidi ni kwa Zanzibar tu..? alihoji Maalim Seif.
Maalim Seif amewataka viongozi wa Jamhuri ya muungano kufahamu kwamba Zanzibar ni nchi na inao viongozi wake kamili, hivyo kiongozi yoyote wa Jamhuri ya Muungano hapaswi kuja Zanzibar na kutoa kauli mbaya kama hiyo bila kwanza kukaa na kushauriana na viongozi wa nchi ya Zanzibar.
Makamu wa kwanza wa Rais wa Zamnzibar ameyasema hayo alipokuwa akizindua mafunzo maalum kwa madiwani wa CUF yanayofadhiliwa na FNS katika ukumbi wa Kiwanda cha Makonyo Chake chake Pemba leo asubuhi.

EMMANUEL NCHIMBI AINGIA NCHINI ZANZIBAR KAMA CHOONI NA KUMWAGA CHUKI


NCHIMBI YAKITOKEA NCHINI KWENU TANGANYIKA SIO UGAIDI YAKITOKEA ZANZIBAR NDIO UGAIDI..?

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Dkt, Emmanuel Nchimbi amesema serikali itahakikisha inafanya juhudi kuhakikisha inawakamata watu waliomuua Padre Evarist Mushi wa kanisa katoliki nchini Zanzibar.
Akizungumza na waandishi wa habari huko Makao makuu ya Polisi Zanzibar Dkt, Nchimbi amesema serikali ya Tanganyika imesikitishwa na tukio hilo alilolieleza kuwa ni la kigaidi huku akishtumu kuwa wana lengo la kuingiza nchi katika machafuko nchi ngani..? Tanganyika au Zanzibar..?
Amesema kuwa tukio hilo si tukio la ujambazi bali tukio la kigaidi kwani limelenga zaidi katika kuwashambulia viongozi wa kidini.
Amesema kuwa tukio hili limefanana na tukio lililotokea mwishoni mwa mwaka jana la kushambuliwa kwa risasi Padre Ambrose Mkenda wa Kanisa katoliki parokia ya Mpendae. mbona hutaji lakutekwa sheikh FARID HADI AHMED au kwakuwa yeye ni muislamu..?
Aidha ameeleza kuwa katika kukabiliana na matukio ya kihalifu hapa nchini nchi ngani..? taja jina Tanganyika au Zanzibar..? Wizara imeomba kibali kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa (Tanzania)Tanganyika kushiriknia na mashirika ya kimataifa ya upelelezi ili kuwakamata wahalifu hao.
Dkt, Nchimbi amewataka (Watanzania) wapi Tanganyika au Zanzibar kuwa wavumilivu na kujiepusha katika mtego wa kuchukia na kwa misingi ya kidini katika kipindi hichi ambacho Jeshila Polisi linaendelea na upelelezi wa tukio hilo.
wewe mwenyewe umeleta tayari chuki maana umesema magaidi na neno hilo linajulikana duniani kuwa ni waislamu wanao uwa watu sasa kama hukuja kupandikiza chuki mbona umelitaja neno hilo...? - Tumeona mauwaji ya Geita ya waislamu – serikali yako  ya Tanganyika  Nchimbi imeruhusu wakiristo kuchinja wanyama (mbuzi, ngombe, kondoo, kuku n.k) kwa ajili ya matumizi ya binadamu, na kuuzwa public, kitendo ambacho hakuna nchi hata moja iliyoruhusu hivyo. Kenya mpaka leo wanaochinja wanyama for general public ni Waislamu, Uganda kadhalika, Ethiopia kadhalika, n.k kwengineko.
- Wakati wa ukoloni, Mngereza, Ujerumani – Tanganyika, pia waliokuwa wanaruhusiwa kuchinja wanyama kwa ajili ya kula – ni Waislamui. Nyie pangu pakavu wakoloni weusi mnakataa ukweli huo, na mmesababisha mauwaji kwa waislmu bila sababu kwa kitu ovyo kabisa. Kikwete anacheka, Mwinyi anacheka, na Said Mwema anakeneua — hamna uongozi, hamna maamuzi — its’ nonsense. Hebu mjiulize kama kweli mna akili — imeanza lini, imeanza vipi, nini motive...? Tanganyika Mkoani Geita mauwaji yalio tokea huko na watu kadhaa kujeruhiwa kutokana na vurugu za kidini na haikusikika kauli ya waziri Nchimbi akiyaita mauwaji hayo na vurugu hizo kuwa ni ugaidi unaofanywa Nchi  ya Tanganyika  badala yake kistaarabu kabisa waziri Mkuu amekwenda Geita na kujaribu kutuliza hali hiyo.. “Kwa nini kauli za ugaidi ni kwa Zanzibar tu..?

Sunday, February 17, 2013

WAZANZIBARI MNATAKA NCHI YANU ZANZIBAR AU VITAMBULISHO VYA KITANGANYIKA..?


HICHI NDIO KITAMBULISHO CHA MKOLONI MWEUSI TANGANYIKA

NA HICHI NDIO KITAMBULISHO CHA NCHI YETU YA ZANZIBAR.

JE WAZANZIBARI MTA HADAIKA NA KITAMBULISHO CHA KITANGANYIKA NA KUSAHAU KUDAI NCHI YENU..? KAANI MKIJUWA KUWA KITAMBULISHO SI LOLOTE SI CHOCHOTE KAMA HUNA NCHI NCHI ZA WALIO ENDELE HATA MBWAA ANAKITAMBULISHO SASA NINI CHA KUTUPANGAWISHA SISI WAZANZIBARI KWANZA TUDAINI NCHI KISHA VITAMBULISHO PASPOTI VITAKUJA TU TUSIWE NA PAPARA KUKUMBATIYA VITAMBULISHO VYA MKOLONI MWEUSI TANGANYIKA MAANA TUKIFANYA HIVYO NI KUWA TAYARA TUMEKUBALI KUWA WATUMWA WA MKOLONI MWEUSI MILELE TUTAKUWA HATUNA CHA ZANZIBAR BALI NI TANGANYIKA TU JIONE MWENYEWE HAPA CHINI KUWA KITAMBULISHO SI KITU WASIWATOWE ROHO BURE.

KITAMBULISHO CHA MBWAA HICHO NATAKA MUJUWE WAZANZIBARI KUWA KITAMBULISHO NA PASPOTI SIO MUHIMU KULIKO NCHI.

WAZANZIBARI MUNAONA MAMBO SASA TUNAKUJA KUZUZULIWA NA VITAMBULISHO VYA KITANGANYIKA NA KUSAHAU KUDAI NCHI YETU NCHI KWANZA VITAMBULISHO BAADAYE.

HAYA KWELI KITAMBULISHO KINATHAMANI HAPA IKIWA HATA MBWAA ANACHO ..?

PASPOTI HIYO YA PAKA

PASPOTI YA PAKA HIYO
HATA UKIWA NA KITAMBULISHO CHA KITANGANYIKA BADO WAZANZIBARI MAMBO NI YALE YALE MAANA MKOLONI NI MKOLONI TU WACHENIKUDANGANYIKA KWA VITU VIDOGO VIDOGO NCHI KWANZA PASPOTI,KITAMBULISHO,KATIBA,MUUNGANO BAADAYE ZANZIBAR NCHI KWANZA WAZANZIBARI.

VIONGOZI WA NCHI YA TANGANYIKA NA ZANZIBAR WANAO JITAA WAISLAMU KWELI NI WAISLAMU..? AU DANGANYA TOTO.


KWA JINA LA BABA NA LAMWANA NA LAROHO MTAKATIFU AMIINI
KAACHA KWENDA MAZIKO YA SHEIKH NASSOR BACHU KAENDA KWENYE MAZIKO YA ASKOFU AMEDEUS MSARIKIE ARUSHA JE ARUSHA NA ZANZIBAR WAPI MBALI KWA NINI PINDA ASIENDE KATIKA MAZIKO HAYA NA HUYU AKAENDA KWENYE MAZIKO YA NASSOR BACHU..? HAWA VIONGOZI WA SEREKALI YA TANGANYIKA NA ZANZIBAR KWELI NI WAISLAMU HAWA AU NDIO FISI KAVA NGOZI YA KONDOO..?

HII HAPA SIJUWI NI MIBINA DAMU YA AINA GANI MAANA WAO PIA WAMAONA BORA VITAMBULISHO VYA MKOLONI MWEUSI TANGANYIKA KULIKO MAZIKO YA SHEIKH NASSOR BACHU JE HII MI DUDU KWELI NI WAISLAMU HAWA AU NDIO MAJINA TU LAKINI NI HAO HAO..?

MAELFU YA WAISLAMU KUTOKA NCHI ZOTE ZA AFRIKA MASHARIKI WALIO WASILI NCHINI ZANZIBAR KUMZIKA SHEIKH NASSOR BACHU MWENYEZI MUNGU AMSAMEHE MATHAMBI YAKE NA AMUWEKE PEMA PEPONI AMIINI

MAALIM SEIF NA MAELFU YA WATU WALIO HUTHURIA KUMZIKA SHEIKH NASSOR BACHU M/MUNGU MLAZE PEMA PEPONI AMIINI

PADRI EVARISTUS MUSHI APINGWA RISASI NCHINI ZANZIBAR NAKUFARIKI HAPO HAPO JE WATANGANYIKA NINI MALENGO YENU KUMPIGA RISASI HUYU MTU WENU..?


PADRI WA KANISA KATOLIKI, EVARISTUS MUSHI AMEFARIKI DUNIA BAADA YA KUPIGWA RISASI NA WATU WASIOJULIKANA WAKATI AKIEGESHA GARI KANDO NA KANISA LA MTONI ALIPOKWENDA KUSALISHA KATIKA KANISA HILO LEO ASUBUHI nchini zanzibar.TUKIO hili na mengine mengi yamendelea kutokea hapa nchini zanzibar kama la kupingwa risasi bahamadi mfanya biashara maarufu.suleiman naye alipingwa risasi.pia kuna mgeni kutoka nchi za asia alipingwa risasi baada ya siku tatu tangu kutokea tukio la father ambrose kule mazizini.pia wakati wa mwezi mtukufu wa ramadhani watu wawili walipingwa risasi na na baadae likatokea tukio la father ambrose.haya matukio yanaendelea. katiwa acid au tindi kali sheikh fathil sauraga.haikuchukuwa muda akatekwa sheikh farid hadi.na mpaka sasa masheikh wa uamsho wako lupango kwa kesi isikuwa na kichwa wala miguu maana kila kukicha utambiwa unasubiriwa ushahidi kukamilika wala haukamiliki na tukiangali baina ya wakiristo na waislamu nani anayethalilishwa hapa zanzibar tutaona ni waislamu wengi ndio wanao thalilishwa je ndio tusema wakiristo ndio wanayo yafanya haya yote..? tusijida nini wala nini kwanza hapa atafutwa ni nani anaye miliki silaha na ninani anaye fanya haya atiwe mbaroni la kama watanganyika muna plan b ya kutaka kusingizia wazanzibari wanauwa wakiristo ili muweza kuanzisha vita nakutaka kupoteza malengo ya wazanzibari kudai nchi yao bila ya vita sawa uwasheni moto muone kama hata hiyo tanganyika kama itatuli itakujakuwa kama burundi na somalia tanganyika yenu musijidanganye kuwa zanzibar mutawasha moto na kuwauwa wazanzibari kama 1964 na nyinyi mtakuwa sala yagujuuu.
zanzibar kwanza unafiki wenu baadaye. HAYA yote ni propaganda zenu nyinyi watanganyika na vitimbakwiri vyenu mulivyo wapa vyeo vya dunia wakifa wanaviwacha hapa hapa kutaka kuifisidi zanzibar na wazanzibari ila miaka hii naona munaoja moto kwa ulimi kaeni mkao wakula watanganyika wazanzibar wanataka nchi yao uwaneni wafungeni masheikh jazeni malaya na majambazi lakini wazanzibari wanataka nchi yao.

Saturday, February 16, 2013

WAISLAMU NCHINI TANGANYIKA WATHIBIWA VIBAYA NA SEREKALI YAO YA KITANGNYIKA


WAISLAMU WAANDAMANA TENA NCHINI TANGANYIKA KUDA HAKI ZAO

MAANDAMANO YA WAISLAMU NCHINI TANGANYIKA YAKIENDELEA

WAISLAMU NCHINI TANGANYIKA WANDAMANA NA KUSWALI HAPO HAPO KATIKATI YA MAANDAMANO YAO.

WAISLAMU WAKIZIDI KUANDAMANA NCHINI TANGANYIKA

MAANDAMANO YA WAISLAMU NCHINI TANGANYIKA

WAISLAMU WA NCHI YA TANGANYIKA WAMECHOKA NA KUTHALILISHWA NA SEREKALI YAO AMBAYO TOKEA IPATE UHURU HAIJAWAFANYIA JAMBO LOLOTE ZAIDI YA KUWATIA UMASIKINI NA KUWATHALILISHA


WAISLAMU NCHINI TANGANYIKA WANYANYASWA NA SEREKALI YAO BILA YA HURUMA MAJUZI TU TUMEONA MAADAMANO YA CHADEMA HAKUGUSWA MTU LEO WAISLAMU WANANDAMANA WANASHIKWA NA KUFUNGWA JELA!!

WAISLAMU NCHINI TANGANYIKA WAKIATHIBIWA NA JESHI LA KINAFIKI