Friday, February 15, 2013

DR KUMBI SHEIN AWABATIZA VITIMBAKWIRI WAKE KWA KUWAPA VITAMBULISHO VYA KITANGANYIKA.JE WAZANZIBARI MUNAVITAKA AU HAMUVITAKI...? JE MUNAUTAKA AU HAMUTAKI...?


BAADA YA KUBATIZWA MAALIM SEIF NA KARUME JR KULE NCHINI TANGANYIKA KWA KUPEWA VITAMBULISHO VYA KITANGANYIKA DR KUMBI SHEIN NAE PIA AMEBATIZWA NA KUHAKIKISHA ATAWABATIZA WAZANZIBARI WOTE KUWA NA VITAMBULISHO VYA KITANGANYIKA JE VILE VYA ZANZIBAR VINA MAANA NGANI BASI SIMUTUAMBIYE TU KAMA SOTE SASA NI WATANGANYIKA..?

DR KUMBI SHEIN AKIWABATIZA VITAMBAKWIRI WAKE NA KUWAPA URAI WA KITANGANYIKA.

DR KUMBI SHEIN AKIWABATIZA VITAMBAKWIRI WAKE NA KUWAPA URAI WA KITANGANYIKA.

DR KUMBI SHEIN AKIWABATIZA VITAMBAKWIRI WAKE NA KUWAPA URAI WA KITANGANYIKA.

DR KUMBI SHEIN AKIWABATIZA VITAMBAKWIRI WAKE NA KUWAPA URAI WA KITANGANYIKA.

DR KUMBI SHEIN AKIWABATIZA VITAMBAKWIRI WAKE NA KUWAPA URAI WA KITANGANYIKA.
WAZANZIBARI KAENI MKAO WAKULA NA MUWE TAYARI KUBATIZWA SHEIN ASHAWABATIZA VITIMBAKWIRI WAKE WAO WATAKUJIENI NA NYINYI WAWASHAWISHI KISHA NA NYINYI MUTABATIZWA HAYA TENA VITAMBULISHO VYA KIZANZIBARI VISHAKUFA JINI LA KATIBA NALO LINAKUJA KWA HIYO KATIBA YA ZANZIBAR PIA ITAKUFA RAISI WA ZANZIBAR ASHAULIWA MAANA SHEIN SI RAISI NI BOYAAA TU LINAELEA JE WAZANZIBARI MUMEBAKI NA NINI...?
MUME SIKIA WAPI KATIKA ULIMWENGU NCHI MOJA INA VITAMBULISHO VYA URAI VYA NCHI MBILI..?
NCHI ZA ULAYA NA ARABUNI PIA ZIMEUNGANA NDIO UKASIKIA E.U AU U.A.E. SASA MBANO RAI WAO HAWANA VITAMBULISHO VYA NCHI MBILI MFANO GREECE WAWE NA VITAMBULISHO VYA KIGERIKI NA VYA UENGEREZA JE INAIGIA AKILINI..? AU POLAND WAWE NA VITAMBULISHO VYA KIPOLISH NA VYAKI SPANIA JE MZANZIBARI INAINGIA AKILINI MWAKO..? KAMA HAYAINGIA BASI NDIO UKAONA MUNABATIZWA NA MKIMSIKIA PINDA AKISEMA ZANZIBAR SIO NCHI MSIKASIRIKE NI KWELI HAMUNA NCHI WAZANZIBARI SOTE NI WATU WA KUTOKA KATIKA KIJIJI CHA ZANZIBARI MIKOA IMA UWE MKOA WA PEMBA AU MKOA WA UNGUJA NDIVYUO WEZETU WANVYO TUPELEKA NA SISI TUMO TU. MZANZIBARI AMKAA ZANZIBAR INASEMA BYE BYE SISI BADO TU TUNAKULA UROJO.

No comments:

Post a Comment