Sunday, February 3, 2013

UKISIKIA MAENDELEO NI KAMA HAYA YANAYOTARAJIWA KUTOKE KIGAMBONI.UKISIKIA AMANI NA UTULIVU NA MUUNGANO UNATIJA NI KAMA UNAVYOZIONA HIZO PICHA HAPO CHINI


unafikiri ni sun fransisko ya marekani hii umechelewa hii ni kingamboni ya bongo land

mambo hayoo ya kingamboni

kigamboni hiyoo jiji jipya zanzibar ndio kwanza mtu akipigania haki ya wazanzibari anatiwa jela maisha

haya hii ndio zanzibar yetu huu ni mwaka wa 2013 maendeleo hayoo ya mapinduzi daima

wachana na hayoo ya mapya hata haya ya zamani rangi hayapakwi kweli tutajenga mapy..?

njaa ina tumaliza huku dr kumbi shein asema muungano umeleta tija nyingi sana.

ujana wao mpaka uzee wao nchi wanaiyona ikiteketea na kufisidika na kuangamia masikini zanzibar

tumejaziwa machogo wakuja kutunyonya katika kila njia tra mara traffiki mara polisi na mabomu ya machezo alimuradi balaa tu.

faida za muungano hizo

faida za muungano hizo

faida za muungano hizo

faida za muungano hizo

faida za muungano hizo

faida za muungano hizo

umasikini umetuja mpaka hata pesa ya kununuwa gazeti pia hatuna duuuuuuuuuuuuuuuh

hii picha sio ya 1620 zanzibar laaaa laaaa laaa ni 2013 ndipo ilipo pingwa picha hii muungano na tija zake hizo

moja katika faida nyingi za muungano ndio hizi unanunuwa samaki hata kama kuna jaaa la taka ndio dimokrasi hiyo au sio zanzibar oyeeee

tija za muungano hizo utauza pili pili kuanzia una miaka 10 mpaka unawajuku bado unauza pilipili ili upate nini amani na utulivu zanzibar muungano oyeeeee

tija za muungano hizo utauza mabichwa ya ngombe kuanzia una miaka 10 mpaka unawajuku bado unauza mabichwa ya ngombe ili upate nini amani na utulivu zanzibar muungano oyeeeee

ukizeeka mrithishe mwanao hivyo hivyo tu kisa nini amani na utulivu

No comments:

Post a Comment