Saturday, February 23, 2013

IMAMU WA MSIKITI NCHINI ZANZIBAR APINGWA MAPANGA NA KUFA PAPO HAPO


Taarifa zilizopo ni kuwa sheikh mmoja anayeitwa Ali Khamis ambaye ni Imamu wa Msikiti Mkaazi wa Mwakaje amepigwa mapanga na watu wasiojulikana huko Kidoto Mkoa wa Kaskazini Unguja jana, Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Kaskazini Unguja, Ahmada Khamis amethibitisha kutokea kwa tukio hilo ambalo anasema limetokea majira ya saa 8 mchana huko Kitope wakati Marehemu akiwa shmbani kwake, Kwa mujibu wa taarifa za polisi zinasema Imamu huyo alipigwa mapanga shingoni kwake na kupoteza damu nyingi sana na kusababisha kifo chake wakati akikimbizwa hospitali. Jeshi la polisi linaendelea na uchunguzi wa tukio hilo. je FBI watafutalia pia tukio hili la kuliwa imamu huyu..? Inna lillahi wainna ilayhi rajiiun.WATANGANYIKA WAANZA KUFANIKIWA MAANA HAYA NDIO WALIOKUWA WAKIYATAKA KUFITINISHA BAINA YA WAKIRISTO NA WAISLAMU HONGERA TANGANYIKA HONGERA KWA FITINA ZAKO KUMBUKA MLAA KUKU WA MWENZIWE MIGUU HUMUELEKEA.NCHIMBI MAGAIDI WASHAMUUWA IMAMU WETU WA MSIKITI NENDA KATIKA TV NA RADIO UKATANGAZE.WAMBIYE FBI PIA WAWASAKE MAGAIDI HAWA WALIO MUUWA IMAMU KWA MAPANGA NCHIMBI USIPOTANGAZA HILI KWENYE TV NA RADIO TUNAKUJUWA WEWE NI MOJA WA MADUWI WA WAZANZIBARI USIYETAKA ZANZIBAR KUWA NCHI HURU NA INAYO ENDESHA MAMBO YAKE WENYEWE KITAIFA NA KIMATAIFA. MUNATAKA MUITAWALE ZANZIBAR NYINYI WAKOLONI WEUSI FITINA ZENU ZITAONEKANA TU HATA MUJIFICHE VIPI.MUME MUUWA IMAMU ILI WAISLAMU WAKASIRIKE WAANZE KUUWA WAKIRISTO KISHA MUKIONA WAKIRISTO WAME ELEMEWA MUTULETE MAJESHI NA POLISI KUJA KUTUWA WAZANZIBARI SISI TUNAZIJUWA MBINU ZENU ILA HAMUTAFANIKIWA KATU HAMUTA FANIKIWA. WAZANZIBARI TUWE MACHO ZANZIBAR KWANZA.

No comments:

Post a Comment