Saturday, February 23, 2013

KAMISHNA MUSSA ALI MUSSA ASEMA ALIYE ULIWA SIO IMAMU NI MTU WA KAWAIDA TU.SASA KAMA NI MTU WA KAWAIDA NDIO AULIWE KAMISHNA..????

Kamishna wa Jeshi la Polisi Zanzibar Mussa Ali Mussa akifafanua jambo
Kamishna wa Jeshi la Polisi Zanzibar Mussa Ali Mussa .kamishna wa polisi awatetea wauwaji asema aliye uwawa sio imamu ni mtu wa kawaida tu!!! je mtu wa kawaidi ndio auliwe kamishna...?


Sambamba na hayo Kamishna Mussa amesema kuwa, jamii Nchini wamekuwa wakilichukulia tukio hilo kuwa ni lakulipiza kisasi kutokana na kuchomwa kwa Kanisa pamoja na kuwawa kwa Padri hivi karibuni bali ni kinyume na dhana za watu waliowengi kwani marehemu huyu si Imamu kama watu wengi wanavojua ila ni mtu  wa wakawaida.!!!!(mtu wa kawaida ndio auliwe kamishna kwa kuwa ni mtu wa kawaida..???)
 Pia amendelea kueleza kuwa,kuna baadhi ya watu wasioitakia mema Zanzibar wamekuwa wakieneza taarifa zisizo sahihi kwa kuhusisha tukio hili ni lakulipiza kisasi baina ya Dini mbili tofauti.Kamishna Musaa amefahamisha kuwa miongoni mwa njia ambazo wanazitumia kuenezea taarifa hizo potofu ni pamoja na mitandao ya simu za mikononi kwa kutumiana massage sambamba na mitandao ya kijamii.

Hivyo ametoa wito kwa wakaazi wa Zanzibar waelewe kuwa Nchi nyingi zilizo na machafuko hivi sasa zilianza kama hivi kwa kupokea taarifa zisizokuwa sahihi,kwa hivyo amewaasa Wananchi watafute habari za Uhakika kupitia vyombo husika na sio kuchukua maneno ya watu wasioitakia mema Nchi yao.wewe si ni kamshna mbona mpaka leo hufutilia tarifa ya watu waliouliwa katika uchanguwi wa 2001,malio uliwa kwa kuzama meli mpaka leo kimya je zilikuwa sio habari za uhakika wewe umefanya nini na mijino yako..???

No comments:

Post a Comment