Friday, February 8, 2013

SHEIKH FARID HADI AHMED NA WENZAKE MAHAKAMANI-FEBRUARI-11-2013 JE SEREKALI YA KANISA GNU ITASEMA NINI MARA HII..???


Sheikh Farid Hadi Ahmed na wenzake wamerejeshwa tena rumande baada ya kesi hiyo kutajwa tena leo, Mawakilishi wao wakiongozwa na Salim Tawfik wamesema wateja wao hawapewi huduma stahiki huko rumande ikiwa pamoja na kunyimwa haki ya kusoma magazeti, kuangalia televisheni na kusikiliza radio lakini pia wanaruhusiwa kuonana na jamaa zao wiki mbili kwa mara moja kitendo ambacho kinakwenda kinyume na sheria na ndipo upande wa Mahakama ukatoa au kamuru sheria za rumande zifuatwe kwa watuhumiwa hao kutendewa haki zao za msingi. kesi hiyo imeakhirishwa hadi Febuari 11.2013

No comments:

Post a Comment