Thursday, February 14, 2013

SWALATI MAITI NA MAZIKO YA SHEIKH NASSOR BACHU M/MUNGU ILAZE ROHO YAKE MAHALI PEMA PEPONI AMIIIINI


SHEIKH NASSOR BACHU AKIWA NDANI YA JENEZA UNALOLIONA WAISLAMU WA NCHI YA ZANZIBAR WAKIMSWALIA SWALATI MAITI YEYE KATANGULIA NA SISI TUKO NYUMA TUNASUBIRI WAKATI WETU.

MWENYEZI MUNGU AWAWEKA HAWA WALIO BAKIA WATUONGOZE NA KUTUTOWA KATIKA UJAHILI TULIO INGIA AMBAO HATA WATU MPAKA LEO HAWAONI KAMA NI MAJAHILI KISA ATI NI RAISI FEKI ALIYE WEKWA NA TANGANYIKA AU MAKAMO WA RAISI FEKI ALIYE WEKWA NA WATANGANYIKA M/MUNGU WAPE MASHEIKH WETU NYOYO ZA SUBIRA HUKO KOROKORONI WALIKUTUPWA NA MWISHO UWAPE USHINDI MKUBWA WANGUSHE WAFALME WAKINAFI NA VITIMBAKWIRI WAO AMIIINI.

UMATI WA WAZANZIBARI NCHINI ZANZIBAR ULIYO KUSANYIKA KUMSWALIYA SHEIKH WATU KIPENZI CHETU SHEIKH NASSOR BACHU MWENYEZI MUNGU TUNAKUOMBA USAMEHE MATHAMBI YAKE NA UILAZE ROHO YAKE PEPONI AMIIINI.

No comments:

Post a Comment