Friday, February 22, 2013

TANGANYIKA YALETA FBI KUJA KUCHUNGUZA KIFO CHA PADRI TU AU NA CHAA MZEE KARUME PIA....????


amakweli kuzidiwa kubaya au tunaweza kusema asiyekubali kushinda sio mshidani.jeshi munalo Tanganyika, polisi munao Tanganyika, FFU munao Tanganyika na nchini Zanzibar haya yote yako maana nyinyi Watanganyika kila mwaka munatuletea majeshi,polisi,FFU,NK. sasa fbi wa nini..?Ila polisi,majeshi,FFU,wapelelezi wenu wa kazi ngani basi kuwa nao...? pia kwa sasa wanajeshi wako bize kwenye hifadhi za taifa wakiua tembo na wanyama wengine na kusafirisha pembe na wanyama hai nje ya nchi ndio kazi ya jeshi sasa. leo ni ijumaa na polisi wameweka doria kwenye kila msikiti Nchini Tanganyika kuwakabili wafuasi wa Sheikh mponda baada ya swala ya ijumaa. siku za wiki wanakua kwenye vikao vya kiinteligensia vinavyoendeshwa na kova kuandaa mikakati ya kukidhibiti chama cha Chadema. FFU wako standby kuwawekea polisi tafu kila wanapozidiwa nguvu na wafuasi wa Sheikh mponda au wa Chadema kwenye maandamano.Wazanzibari tumabaini kuwa nyinyi Watanganyika hamuwezi kufanya kazi zinazohitaji akili (kwani akili hamuna) NI MWITWAANA,MAJUHAA, Munao thani kila kitu kinahitaji nguvu tu kwa hiyo nini mufanye munasubiri mupewe amri ya kuwafyatulia risasi za moto vijana wasio na hati vijana wenye kumwaa na nchi yao ya Tanganyika yenye reslimali nyingi  sana likini bado ni masikini na washachoshwa na UDIKTETA uliyo jaa ndani ya nchi hii ya Tanganyika vijana wanadai haki zao hata muwauwe wote bado hamutaishi kwa raha.
NCHI YA ZANZIBAR
haya tuje sasa kuhusu Zanzibar kuna matatizo na matatizo hayo sio ya leo wala ya jana yapo toka enzi na enzi Wazanzibari ni watu wapole na makarimu na hichi ndicho kilicho waponza na kuburuzwa nchi yao mpaka kufikia hapa tulipofikia leo na Mkoloni Mweusi Tanganyika tunasikia tu kuwa FBI wameletwa Nchini Zanzibar kuja kuchunguza kifo cha padri aliye pingwa risasi na watu wasio julikana na huku NCHIMBI ashawapakazia Wazanzibari kuwa kitendo kilicho fanyika ni kitendo cha kigaidi. swali linakuja je chakumwangiwa tindi kali sheikh kilikuwa ni kitendo CHA....? je chakutekwa sheikh farid hadi ni kitendo CHA..?      je cha kuuliwa aliyekuwa makamo wa raisi Dr Omar Ali Juma je kilikuwa kitendo CHA..? je chakuwawa raisi wa kwanza Sheikh Abeid Amani Karume 1972 kilikuwa kitendo CHA...? je mauwaji ya watu walio uliwa bila ya kosa lolote 2001 Unguja na Pemba ilikuwa ni kitendo CHA...? je kuwaweka wananchi under seage baada ya uchanguzi wa 2005 ilikuwa ni kitendo CHA...? N.K. 
                                   
Je hii Tanganyika kuita FBI ikiwa ndio kweli kuja nchini kuchunguza kuhusu kuuliwa padri kweli ndio suluhisho..? kwa nini wakati alipouliwa Raisi narudia tena Raisi wa kwanza hapa nchini Zanzibar narudia tena Raisi mbona hamukuita FBI..? kuja kuchunguza ni vipi mpaka Raisi mzima akauliwa na huyu ni Raisi na alikuwa Raisi wa Tanganyika wakati ule ni baba yenu nyerere hakuita FBI kuja kuchunguza ilikuwaje Raisi mwenzake akauliwa yalifinikwa finikwa mpaka leo.sasa leo kauliwa padri tu FBI daaaaah Watanganyika hamuwachi umati wa watu muliwauwa kila wakati wa uchanguzi hapa Zanzibar mbona hamukuita FBI. au ndio mna palilia mkaa moto..? ili mupate sababu ya kusema kuwa hawa ni magaidi tusiwape nchi yao..? hivi kweli Tanganyika inathani ndio itamaliza matatizo na migogoro ya muungano kwa kuwaita au kukodi vyombo vya usalama kutoka nje au matatizo na migogoro humalizwa kwa kuwasikiliza watu wanachokitaka..?  tena uwape ukishawasikiliza sio uwasikilize kisha hufanyi matatizo na migogoro itabaki pale pale.Wazanzibari washasema muungano hawautaki basi wachieni mbaki kuwa majirani kama kenya na uganda au malawi ikiwa mutawalazimisha na kuwaitia scotland yard,fbi hapo bado Watanganyika mutakuwa munatwanga maji katika kinu na muukitia Zanzibar katika vita musithani kama Tanganyika itabaki salama haitabaki kumbukeni baba yenu nyerere aliwambiya nini.

No comments:

Post a Comment