Friday, March 29, 2013

BALA NCHINI TANGANYIKA JUMBA LA GHOROFA LAPOROMOKA


jengo la ghorofa languka jijini dar nchini Tanganyika


hamkani zaenea jijini dar nchini Tanganyika

hii ndio kasheshe iliyo zuka nchini Tanganyika kwa kuanguka jengo la ghorofa huku raia wakishuhudia na kupiga picha  


raia wakijarabu kuchimba chimba kutafuta maiti na watu ikiwa kutakuweko aliyekuwa hai


wakiendelea kuchimba na kutowa magari yaliyo angukiwa na jumba hilo la ghorofa

No comments:

Post a Comment