Wednesday, March 27, 2013

MASWALI TELA MTAKAYO ULIZWA JE MNAYAJUWA ......??????


M/MUNGU ANAYAJUWA YALIYOKUWA NDANI YA VIFUA VYENU ANAJUWA YALIYO NDANI YA NYOYO ZENU NA SIKU YA KIYAMAA MUTAULIZWA JE MULIKUWA VIONGOZI WADILIFU..?
VIONGOZI MULIO CHANGULIWA NA UMMA..?
VIONGOZI WENYE KUJALI WATU AU FAMILIA ZENU TU..?
VIONGOZI WAUMINI WA KWELI AU RIYAA TU KUONYESHA KAMA NI WAUMINI KUMBE SIO..?
VIONGOZI MULIO KULA MISHAHARA YA HALALI..?
NA MENGINE MENGI YATAFUATIA JITARISHENI MZEE KARUME YUKO WAPI..?
NYERERE YUKO WAPI..?
SOKOINE YUKO WAPI..?
DR OMAR ALI JUMA YUKO WAPI..?
 HAPA NDIPO KILA MOJA ANAJUWA KUWA MOLA HANA CHA RAISI WALA MUUZA DAGA,MBUNGE WALA MUUZA MADAFU MAKAMO WA RAI WALA MPIGA DEBE
NYUMBA ULIZOJENGA MAGARI ULIYO JINUNULIA MASHAMBA ULIYO NYANGANYA YOTE UTAYAWACHA HAPA HAPA DUNIANI HUMU UTAINGIA NA SHUKA JEUPE TU SANDA

No comments:

Post a Comment