Sunday, March 31, 2013

WAZANZIBARI MTAKUBALI NCHI YENU KUNAJISIWA....???

Kwa upande wa nchi ya Tanyika ijitayo ((Tanzania Bara)) ikiwa wao watasema nchi yao haina dini basi kivyao huko huko Tanganyika kwenye nchi yao. maana takwimu za wapi na wapi wengi zinagongana huko nchini Tanagnyika. wakristo wasema wao ni wengi na waislamu husema hivyo hivyo sasa wameamua kuiachia Serekali yao ya Tanganyika kusema na kujita kuwa haina dini.
Lakini kwa upande wetu wa nchi yetu ya  Zanibar nchi yetu ina dini kuanzia viongozi wetu wa Smz japokuwa ni wanafiki lakini ni waislamu mpaka raia wake (wananchi wa Zanzibar ) % 100 ya Wazanzibar ni waumini wa dini ya kislamu na ndio wenyeji hilo mukitaka musitake ndivyo ilivyo .
Sasa kusema kuwa nchi ya Tanganyika haina dini na sisi nchini kwetu Zanzibar tutawangalia tu.lakini mukitaka kutulazimisha na sisi pia kuwa nchi ya Zanzibar kwa kuwa tuna muungano feki basi pia sisi hatuna dini hilo halitokuwepo hatuta kubali kulishwa matapishi ya siasa kwa maelekezo ya Kanisa katoliki ,kuwa mtu anaweza kuishi popote katika nchi hizi mbili na kuhubiri dini popote pasipo na kuingiliwa ni moja.
Hili ni kosa na ndio mwanya wanao utumilia kanisa kwa kueneza ukristo katika nchi yetu ya  Zanzibar na kutuharibia mila zetu na utamaduni wetu asilia ambayo inatokana na dini yetu, hii ndio shabaha na agenda kubwa ya kanisa kotoliki kuifunika nchi yetu ya  Zanzibar kwa kujiegemeza kisiasa Zanzibar na kuwazowa mawazo viongozi wa Smz kwa kujifanya Maskofu siku zote wao ni victim wa waislamu wa Zanzibar. kama huyu moja aliyesema na kutia fitina namnuku((Matokeo yanayotokea Zanzibar mathalan, Wakristo wanaoishi huko yamewasababishia hofu, hivyo wengi kuanza kuvikimbia visiwa hivyo na kukimbiliaTanzania Bara.”)) alikuwa aseme kweli kuwa hatufanikiwi Zanzibar kama tunavyo taka na sasa rai wetu wa Tanganyika wanarudi nyumbani. lakini kasema vile kama kwamba ni wote ni wazaliwa wa Zanzibar na hawaishi kwa raha na inawabidi wakimbiye huu ni umoja wa uchocheze na kupandikiza chuki.
Hizi ni mbinu tena hatari na muelekeo wa viongozi wetu wa Smz inaonekana ni mbaya na huenda wakapotea/kupotezwa na kubebeshwa zima mbele ya Allah.
Ikiwa leo nusu ya Masheikh wetu wako magerezani kwa mbinu na ujanja wa maskofu wa kanisa katoliki sumu zao , hii ni hatari maana wenyeji hawana right katika ardhi yao lakini Maskofu wakuja wana amri na inatekelezwa zidi ya kuhujumiwa waislamu na uislamu ndani ya ardhi yao nihatari tena kubwa sumu hii wanayo spry Maskofu wa kutoka nchini  Tanganyika ambayo imeshika kasi.
Hivi karibuni tu askofu mkuu Pengo katowa amri mumeona kimetokea nini  nchi Zanzibar. sasa kanisa limeshika hatamu Zanzibar na viongozi wetu wa Smz wako nyuma ya kanisa bila kujijuwa wapi wanatoka na wao ni nani mbele ya Wazanzibar walio wengi.
Hii ni hatari na ikiwa tutacheka nayo basi viongozi watatupoteza na kutafuta njia ya kutokea itatushinda na sote itakuwa ndio tulokula hasara mbele ya Allah.
Mimi naona kuchelewa kuufa au kuuwa huu Muungano feki ndio kunaipa nguvu kanisa na watu wake kutuletea mambo ya kimajabu katika ardhi yetu na dini yetu kuingiliwa na kuharibiwa kwa hujuma za Muungano feki.
TUTAKWENDA KUMUAMBIA NINI MWENYEZI MUNGU IKIWA TUTAIWACHA ARDHI ALIYOTUPA KUFISIDIWA....??? VIONGOZI,RAI,WANAUME,WANAWAKE NYOTE MTAULIZWA VIPI ULITETEA NCHI YAKO NA ARDHI NILIYO KUPA KUMBUKA MZANZIBARI MAUTI HAYAPO MBALI NA MASWALI NI MENGI.

No comments:

Post a Comment