Friday, April 19, 2013

AIBU GANI HII HUU NI MWAKA-2013-AU-MWAKA-1739


WATU WAMEANZA KUTUMIA CHAKI NA UBAO MWEUSI MWAKA 1739 NCHI HII MPAKA LEO NI 2013 BADO TU TUNATUMIA CHAKE NA UBAO MWEUSI AIR PORT MARAISI WATATU HATA AIBU HAMUONI BASI.

LINI NA SISI PEMBA TUTAKUWA NA KAMA HII


MPAKA MABASI PIA YA UBAO W KUONYESHA TIME GANI BASI LINAKUJA SISI PEMBA AIR PORT MPAKA LEO UBAO MWEUSI WAZUNGU WOTE WANAOINGIA KISIWA HICHI PESA MNAZIPELEKA WAPI...??

No comments:

Post a Comment