Saturday, April 6, 2013

BIBI TITI MOHAMMED MAMA WA WATANGANYIKA ALIYE SAHAULIWA


JE WATANGANYIKA HAMUONI RAHA KUJIJUWA KAMA NYINYI NI WATANGANYIKA NA SIO WATANZANIA JINA LA KUBATIZWA..???

NI NANI HASWA ALIYE PIGANIA UHURU WA NCHI YA TANGANYIKA..????

BIBI TITI MOHAMMED AKIHUTUBIA ENZI HIZO KUDAI UHURU WA NCHI YA TANGANYIKA

BIBI TITI  MOHAMMED AKIHOJIWA NA MUANDISHI WA HABARI KUHUSU UHURU WA TANGANYIKA

BIBI TITI MOHAMMED MAMA WA WATANGANYIKA ALIYE SAHAULIWA

1 comment:

  1. Bibi Titi Mohamed kasahauliwa vipi? Na Nani? Kwa nini hisia hizi? Kafanya kazi yake kamaliza, kaondoka. Shida iko wapi? Barabara ya Bibi Titi Mohamed ipo na inanikumbusha mchango wake. Family members wake could organise a trust to be named in her name for young girls emancipation from early pregnance, education, forced marriages, genital mutilations and so on... Tuliosoma habari zake tunamkumbuka sana.

    ReplyDelete