Friday, May 17, 2013

BREAKING NEWS...NCHINI TANGANYIKA SHEIKH MPONDA ACHIWAA. JE SEREKALI YETU YA KIKAFIRI SMZ ITAWACHIA LINI MASHEIKH WETU WA UAMSHO..???


Hakimu wa Mahakama ya kisutu Victoria Nonga ametoa hukumu dhidi ya watuhumiwa Sheikh Ponda na wenzake 49 kwa kuwaachia huru. Katika hukumu hiyo Sheikh Ponda amekutwa na hatia ya kosa moja ambalo hakimu wa mahakama hiyo amemhukumu kifungo cha nje kwa mwaka mmoja. Kwa upande wao Ndugu wa watuhumiwa hao ambao walikuwa wameshitakiwa katika mahakama hio wamefurika Mahakaman hapo na baada ya kutolewa kwa uwamuzi huo wamejawa na furaha kubwa

No comments:

Post a Comment