Friday, May 17, 2013

SERIKALI YA UMOJA WA KITAIFA YA ZANZIBAR GNU,SUK,SMZ YAPIGA MARUFUKU CD ZA SHEIKH ROGO,UAMSHO NA ILUNGA ZA MAWAIDHA YA KISLAMU LAKINI ZA NGONO NA BONGO FLAVA MUSIC NI HALALI KUUZWA NCHINI.Serikali ya Umoja wa Kitaifa ya Zanzibar inayoongozwa na Dr Kumbi Shein na Makamo wake Maalim Seif kupitia Jeshi la Polisi wamepiga marufuku rasmi CD na DVD zote za mawaidha ya Kiislam za UAMSHO,MUJAHID ABOUD ROGO na SHEIKH ILUNGA.

Hayo alisema OCD wazamani Murtad MKADAM ambae kwasasa yupo ofisi kuu ya polisi kitengo cha madawa ya kulevya Ofisi ya Makamo wa Kwanza wa Rais Maalim Seif.

Alisema cd hizo za kiislam ni chanzo cha uvunifu wa amani hapa nchini Zanzibar.(FREE ZANZIBAR PEOPLE FROM MKOLONI MWEUSI TUNA SEMA ASTAHAFIRU ALLAH)akiendelea kusema na ndio zinazosababisha uchochezi baina ya dini ya ukiristo na uislam.

Akifafanua alibainisha kuwa mpaka sasa washawakamata watu kadhaa wanaojihusisha kuuza CD hizo na kuwaonya wale wote ambao huweka na kuzisikiliza watachukuliwa hatu kwani serikali ina mkono mrefu.
Akijibu baadhi ya maswali aliyoulizwa kwamba waliowakamata hawawaoni kuwa wamewadhulumu kwa kufanya biashara halali ya uzaji CD hizo za mawaidha ya kiislamu za UAMSHO,SHEIKH MUJAHID ABOUD ROGO na SHEIKH ILUNGA.
alijibu CD zile za mawaidha ni Haram(ASTAHAFIRU ALLAH FREE ZANZIBAR PEOPLE FROM MKOLONI MWEUSI TUNASEMA TENA ASTAHAFIRU ALLAH) akiendelea kusema wala sio rizki ya halali kwa upande wa serekali kwani zinapelekea uvunjifu wa Amani katika nchi.

Hii ndio hali tuliyofikishwa waislam na viongozi wanafiq ambao tuliwachagua eti tuliona uislam utakuja juu kumbe ndio wao wanaukandamiza bado waislam tumekuwa maiti hatutafakari ,hatuzinduki kuwabaini hawa wanasiasa niwanafiq.hawa wanailinda nidhamu yao sio uislam tena wote kuanzia KISHEIN,MAALIM SEIF NA TIMU YAO NZIMA YA GNU-SUK-SMZ WOTE WATUMWA TU.

Tusipokuwa makini tutaambiwa athana isiathiniwe kwenye maspeka bali athiniwe kimya kimya kisha tutambiwa tuswali majumbani kwanza kisha labda baadaye pia tutambiwa tusiswali kabisa kisa nini zinawakera makafiri wachache ambao ni wageni nchini Zanzibar.ajabu ya ajabu ati tunambiwa kuwa nchi hii ya Zanzibar kuna waislamu asilimia %99 ni waislamu lakini waone hao wanaojita waislamu wanavyo ukandamiza uislamu.kwa jili ya vyeo ati huyu waziri ati huyu makamo wa raisi ati huyu raisi ati huyu mbunge ati huyu mkuu wa polisi ati huyu mkuu wa majeshi ati huyu mkuu wa mkoa wanakandamiza uislamu na kuthalilisha uislamu kwajili ya vyeo na uluwa sawa yuko wapi Nyerere..? Mzee Karume..? Adolf Hitler..? Firauni..? NAWENGINE WENGI TU ITAKUWA NYINYI VISHAHALA BALA MCHENI MWENYEZI MUNGU NA MUJUWE KUWA KWAKE MUTAREJEA BI KIDUDE YUKO WAPI KAISHA MAISHA YA MIAKA MINGAPI WENGINE WANASEMA 100 WENGINE WANASEMA 103,104,99 LAKINI MWISHO KAONDOKA ITAKUWA NYINYI.
 

No comments:

Post a Comment