Monday, June 10, 2013

HATUTAKI CCM, RASIMU WALA KATIBA TUNATAKA NCHI YETU YA ZANZIBAR


Hii ni foleni ya Wazanzibari waliohama kutoka katika chama cha mapinduzi CCM nchini Zanzibar kama unavyo iyona haionekani mwisho wake, wengi wa wanachama hawa ni vijana wanawake na wanaume huko mwatemwe katika mkutano wa chama cha wananchi  CUF, wameamua kujiunga na CUF kutokana na sera yake ya kudai mamlaka kamili ya nchi yao ya  Zanzibar kuna msemo wakiswahili unao sema mcheza kwao hutunzwa ndio huu.

No comments:

Post a Comment