Friday, June 14, 2013

SAFARI YA MAMLAKA KAMILI INAENDELEA MARA HII PEMBA MUSIKOSE WAZANZIBARI NYOTE.

rasimu day
HATUTAKI RASIMU,KATIBA,SEREKALI MOJA,MBILI,TATU WALA NNE TUNATAKA NCHI YETU YA ZANZIBAR BASIIIIIIIIII
Haya haya wazanzibari Kumekucha!!! La mgambo likilia kuna jambo!!! Chama cha wananchi CUF kinawatangazia wanachama, wapenzi na wazanzibari wote wa mikoa miwili ya Pemba, wazalendo na wapenda nchi yao kwa jumla kuhudhuria kwa wingi katika mkutano mkubwa wa hadhara utakaofanyika siku ya Jumamosi tarehe 06/07/2013 huko Masota, wilaya ya Wete, Mkoa wa Kaskazini Pemba. Mgeni rasmi katika Mkutano huo ni Simba wa nyika, tishio la vibaraka wauza nchi yetu,kiboko ya wahafidhina watumwa wa mkoloni mweusi Tanganyika, kipenzi cha wazanzibari, mwenye uzalendo wa hali ya juu na mapenzi makubwa kwa Zanzibar na Wazanzibari, Makamo wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar na Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif Sharif Hamad. Mkutano utaanza saa 4:00 barabara za asubuhi mpaka saa 12:00 jioni.
Agenda kuu katika mkutano ni jee safari ya kuelekea mamlaka kamili imefikia wapi..?? ni jinsi gani wazanzibari wanavyopaswa kujipanga kutoka hatua ya sasa na kusonga mbele na safari baada ya rasimu ya Warioba kutoka? mimi naita gazeti la warioba. Jee hapo ndio mwisho wa safari yetu..???
Maswali yote na hayo yatapatiwa majibu pamoja na mambo kadhaa muhimu. Hatumwi mototo!!!
Shime wazanzibari wote kuhudhuria kwa wingi bila ya kukosa!!
TUNATAKA NCHI YETU SASA TUMECHOKA TAFRANI HII TAFRANI HII TUNATAKA NCHI YETU SASA TUMECHOKA TAFRANI HII  TAFRANI HII TUNATAKA NCHI YETU SASA TUMUCHOKA
HAKI HAKI HAKI HAKI KWA NANI KWA WAZANZIBARI WOTE ASIYETAKA HAKI YA WAZANZIBARI AHAME AKAISHI NA WATANGANYIKA HUKO TANGANYIKA!!!
KWA CHAAA KWEUPEE KWA CHAAA KWEUPEEE KWA CHAAA KWEUPE!!!
WATUACHIYEEE  TUPUMUWEEE WATUACHIYEEE TUPUMUWE WATUWACHIYE TUPUMUWEEE
ZANZIBAR KWANZA SHENGESHA BAADAYEEEE.

No comments:

Post a Comment