Thursday, June 13, 2013

VIDEO-NAPOLEON FROM 2PAC OUTLAWZ TALKS TUPAC,HIP-HOP AND ISLAM

HAYA SASA MWENYE MACHO HAMBIWI TIZAMA HUYU NI NAPOLEON ALIYEKUWA KATIKA KUNDI LA OUTLAW LINALOJULIKA MARAFU SANA KWANYE RAP GAME HUKO NCHINI MAREKANI NA PIA ALIKUWA NI RAFIKI MKUBWA SANA WA 2PAC NA WAME RAP PAMOJA NA KUTUNGA NYIMBO MBALI MBALI HASWA NYIMBO YA HIT M UP WALIYO MPAKA SANA B.I.G. M/MUNGU KAMUOGOWA NA KAMUONYESHA NJIA YA HAKI NA KUWA MUISLAMU ALHAMDULILAHI ANGALIA VIDEO NA WEWE UELIMIKE.

No comments:

Post a Comment