Sunday, September 1, 2013

VIDEO-WACHENI KUJIDANGANYA NAFSI ZENU NA WATU HAKUNA NCHI DUNIANI ITWAYO TANZANIA BARA

WATANGANYIKA WACHENI KUBURUZWA NA VIONGOZI WENU
NCHI YENU NI TANGANYIKA NA HUU NI USHAHIDI
WA VIDEO SIKU YA UHURU WA TANGANYIKA
NA SIKU HIZO WAZEE WENU WAKIJIONEA
FAHARI KUWA WAO NI
WATANGANYIKA
KWA NINI LEO
NYINYI MUONE
NI
AIBU
KUITWA WATANGANYIKA..???

No comments:

Post a Comment