Wednesday, October 23, 2013

BERNARD MEMBE ASEMA NCHI YA TANGANYIKA INASUBIRI TALAKA KUTOKA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI


NCHI YA TANGANYIKA YAO YAWAENDEA WAZANZIBARI KAENI NA FITNA ZENU NA CHUKI ZENU ZA WARABU NA WAKWEZI NA WAKULIMA MPAKA KIYAMA MAJUHA

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe, amesema nchi za Rwanda, Kenya, Burundi na Uganda hazina haja ya kuanzisha shirikisho lao la siri kwani Tanganyika itakapofikia hatua ya kutaka kujiondoa katika Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), suala hilo litapelekwa Bungeni ili lijadiliwe na wabunge wataliridhia wa nchi ya Tanganyika.
Akihojiwa jana asubuhi na Cloud Radio, Membe alisema kuwa nchi hizo hazina sababu ya kufanya mambo kwa siri kwani kama wameshindwa na ni vema kuieleza Tanganyika. “Kama ni talaka moja watupe tu.(( wasikilize Watanganyika wanavyojuwa kulalama wakitendewa wao miaka 50 wanawatendea Wazanzibar hata huruma hawa ila wao wanabweka tu.))  Sisi tunasubiri kupewa talaka alisema Membe.”
Afafanua msimamo wa nchi ya Tanganyika baada ya nchi hizo kuonekana zikifanya jitihada za kuanzisha shirikisho lao na kuitenga nchi ya Tanganyika, Membe alisema nchi hizo ziwe wazi na wakweli kama zinaona kuna jambo ambalo hawaliridhiki nalo ambalo Tanganyika inalifanya na busara itumike kulizungumza kwenye mikutano badala ya hivi sasa zinapoamua kuanzisha muungano wao wa siri.((Wazanzibari je hawaridhiki na Muungano lenu linaila Zanzibar mbona nyinyi haamutaki kutumia busara munajazia majshi wa kikuria tu.))
“Tutakapo amua ku-suspend relationship (kusimamisha uhusiano) na Afrika Mashariki, tutakapo amua kujiondoa kwenye utaratibu huu wa shirikisho la haraka haraka, tutapeleka suala hili bungeni. Bunge litajadili na nina uhakika wabunge wataangalia busara ya kutokuharakisha wala kudhulumiwa wala kuburuzwa,(( hahahahah naona bora nicheke kwanza jinsi huyu Membe maneno yanavyo mtoka na wao wanawafanyia Wazanzibari kila siku kuwadhulumu a kuwaburuza kwa miaka 50 sasa.)) tutawaacha waendelee kwa raha mustarehe, ila sisi tunachoomba tu wawe wakweli, wawe wawazi si kutengeneza muungano wa siri siri,” alisema.(( hahahahahahaha Membe Membe unachekesha))
Alipoulizwa kama hali hii inachangiwa na nini hasa, kama ni kutokana na msuguano baina ya Rais Jakaya Kikwete wa nchi yao ya Tanganyika  na Rais wa nchi ya Rwanda Paul Kageme, wa hivi karibuni au ni msukumu wa Rais wa Uganda, Yoweri Museveni, kutaka kutimiza azma yake ya kuwa raisi wa kwanza wa Shrikisho hilo, Membe alisema yanawezekana.((kwani Yoweri Museveni ikiwa raisi wa kwanza kuna ubaya gani mbona nyinyi Watanganyika mumekuwa raisi wa Muungano huu feki wa Tanganyika na Zanzibar kwa miaka yote lini Mzanzibari alikuwa raisi wa Muungano huu feki..???))
Hata hivyo, alifafanua kuwa kuna mambo kadhaa yanachangia, moja, ni msimamo wa nchi ya  Tanganyika kukataa suala la ardhi kuingizwa katika mambo ya Jumuiya na kwamba ni jambo ambalo serikali haiwezi kukubali hasa ikizingatia kuwa ardhi ndiyo dhahabu ya nchi.(( alaaa basi na gas na mafuta yetu Zanzibar ndio hatutaki kabisa na mbona bado mumengangania...??))
Alisema jambo la pili linalolalamikiwa na nchi hizo ni hatua ya nchi ya  Tanganyika kuwa mwanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (Sadc) na Katibu Mkuu wa Sadc kuwa ni Mtanganyika. “Hivyo wanaona Tanganyika damu yao ipo Sadc, kitu ambacho ni kweli, lakini hata hivyo, nao wasilalamike kwa sababu wapo IGAD na Comesa.”
Aliongeza kuwa jambo jingine linalolalamikiwa ni hatua ya nchi ya Tanganyika kupeleka majeshi yake Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) na kuwapa kipigo kizuri kikundi cha waasi cha M23 kati ya Agosti 26 na 28 mwaka huu hatua ambayo nchi hizo zinakiona ni kama kudhoofisha Muungano wa Afrika Mashariki.
Kuhusu jinsi gani kitendo cha kuwapiga M23 kinavyodhoofisha muungano alisema: “Kwa sababu wale M23 Tanganyika inakwenda kwa principle (misingi) inayosema tunapoona nchi ya Afrika Mashariki au ya Sadc inakwenda kinyume cha matakwa ya wananchi au haifuati kanuni za uongozi bora, sisi huwa tunaingilia, siyo maana kwamba tunavunja Jumuiya Afrika Mashariki.”
Membe alisema nchi za Rwanda, Uganda, Kenya na Burundi baada ya kuona nchi ya Tanzgnyika haitaki suala la ardhi kuingiza EAC, na bado ni wanachama wa Sadc na kwamba haitaki kuanzisha Shirikisho la Afrika Mashariki haraka haraka na baadhi ya viongozi wa dunia kufanya ziara Tanganyika, waliamua kuanzisha shirikisho lao la siri.
Viongozi wakuu duniani waliotembelea nchi ya Tanganyika mwaka huu pekee ni Rais wa China, Xi Jinping, na Rais wa Marekani Barack Obama. Alisema nchi hizo zilipaswa kutumia utaratibu kama kuna mambo yanawakera ambayo nchi ya  Tanganyika inayafanya ukiwamo. Hatua hizo ni pamoja na kuiita Tanganyika kuzungumza kwani msimamo wa serikali ni kwamba haiwezi kuburuzwa kuingia katika Shirikisho la Afrika Mashariki.
“Msimamo wetu hatuwezi kugawa ardhi yetu, hatuwezi kuwa waangaliaji, hivyo vingezo vyote wanataka tuvitake,’ alisema na kuongeza: FREE ZANZIBAR PEOPLE FROM MKOLONI MWEUSITANGANYIKA TUNACHEKA SANA Wazanzibari kama hamuja amka wala hamtaa amka tena mpaka kiyama muangalieni huyu MKOLONI MWEUSI TANGANYIKA ANAVYO JIGEUZA KAMA KINYONGA. “Wala wasingepata shida yote hii, tungekutana kwenye kikao tukatoa kibali wakaendelea na utaratibu na sisi tukarudi tukaendelee na utaratibu wetu wa mwendo wa pole.”
Membe alisema katika kufikiwa kwa Shirikisho la Afrika Mashariki kuna hatua kadhaa za kufuata, moja ni soko la pamoja, ushuru wa forodha, sarafu moja na mwisho shirikisho la kisiasa.“Hadi sasa bado tunahangaika na hatua hizi za awali, hatujaweza hata kufikia sarafu moja, sasa wenzetu wanataka shirikisho la kisiasa,” alisema Membe na kuongeza:“Mimi sioni hata hiyo monitory union (sarafu moja) ikifikiwa sasa hivi. Sisi bado tunaikataa.”
Alifafanua kuwa hata Waingereza wakati Umoja wa Ulaya wanajiunga kwenye sarafu ya Euro wao walibaki na sarafu yao, na mpaka sasa wanaendelea nayo. Hivi karibuni nchi ya Tanganyika imeonekana kuwekwa kando na nchi nyingine nne kati ya tano zinazounda EAC. Tayari marais wa nchi hizo, Kagame, Museveni, Uhuru Kenyatta wa Kenya na Pierre Nkurunzinza wa Burundi wamekwisha kufikia makubaliano ya kuanzisha mchakato wa kuandikwa kwa Rasimu ya Katiba ya Shirikisho la Kisiasa la nchi wanachama wa EAC, bila kuishirikisha nchi ya Tanganyika.
Waziri wa Serikali za Mitaa wa nchi ya Rwanda, James Musoni, amekaririwa na vyombo vya habari vya nchi hiyo akieleza kuwa makubaliano ya kuanzishwa kwa mchakato wa kuandikwa kwa Rasimu ya Katiba ya Shirikisho la Afrika Mashariki, yalifikiwa Septemba 12 mwaka huu, mjini Kampala na marais wa Rwanda, Kenya na Uganda na hivi karibuni Rais wa Burundi ambaye alialikwa katika mkutano huo na kushindwa kuhudhuria, naye sasa amethibitisha ushirika wake katika shirikisho hilo jipya.
Tayari nchi za Kenya, Uganda na Rwanda zimeshaanzisha mradi wa ujenzi wa bomba la mafuta kutoka nchi ya Kenya hadi nchi ya Rwanda.Vile vile Bandari ya Mombasa nchini Kenya imeshafanyiwa upanuzi kuruhusu nchi za Uganda na Rwanda kupitisha mizigo yao.
Kufuatia hali hiyo ,Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta, hivi karibuni alisema licha ya hatua zinazochukuliwa na nchi wanachama wa EAC za kuitenga nchi ya Tanganyika katika baadhi ya mambo, itabakia na msimamo wake na haitakubaliana kuingia kwenye Shirikisho la Kisiasa huku masuala ya ushuru wa forodha, soko la pamoja na sarafu moja, hayajatengamaa.
Waziri Sitta pia alieleza kuwa nchi ya Tanganyika imeiandikia barua sekretarieti ya baraza la mawaziri wa nchi wanachama wa EAC, ikilalamikia baadhi ya mambo yanayoendeshwa kwa usiri na baadhi ya nchi wanachama.
Kikao kingine cha viongozi wa nchi hizo kinatarajia kufanyika mwishoni mwa mwezi huu jijini Kigali, nchini Rwanda bila kuishirikisha MKOLONI MWEUSI TANGANYIKA.
WAZANZIBARI BADO TU MUMELALA..???

1 comment:

  1. Acheni ujinga hakuna nchi ya Tanganyika nyinyi

    ReplyDelete