Tuesday, October 15, 2013

FREE ZANZIBAR PEOPLE FROM MKOLONI MWEUSI TANGANYIKA INAWATAKIYENI NYOTE EID JEMAA.


MWENYEZI MUNGU AWAPE NYOYO ZA SUBIRA WAO NA SISI NA FAMILIA ZAO


FREE ZANZIBAR PEOPLE FROM MKOLONI MWEUSI TANGANYIKA INAWATAKIYENI NYOTE EID NJEMA ILIYO NA FURAHA NA BARAKA PIA BILA YA KUWASAHAU DUNGU ZETU,KAKA ZETU,BABA ZETU,WALIMU WETU,MASHEIKH WETU,VIONGOZI WETU,WAONDOWAJI THULMA KATIKA NCHI YETU,WAPENDA HAKI,WENYE KUWATETEA WAZANZIBARI NA NCHI YETU KWA UJUMLA UAMSHO M/MUNGU AWAPE EID ILIYO NJEMA HUKO HUKO JELA WALIKO NA SHEIKH AZZAN HUKO HUKO ALIKO HOSPITALI INDIA NA IN SHAA ALLAH M/MUNGU AKAWAPE PEPO UBAVUNI KWA MTUME MUHAMMED S.A.W. SIKU YA KIYAMA.

No comments:

Post a Comment