Sunday, October 20, 2013

WANANCHI ENDELEANI KUFAA NA NJAA NA MARADHI KWANZA TWAJENGA NYUMBA YA SPIKA IMEHARIMU 1.2 BILLIONI NCHINI ZANZIBAR.


NYUMBA MPYA YA KISASA YA KUISHI SPIKA WA BARAZA LA WAWAKILISHI IMEKAMILIKA NA ANATARAJIWA KUHAMIA HIVI KARIBUNI MARA BAADA YA KUKAMILIKA KWA MATENGENEZO MUHIMU YA MIUNDOMBINU YA MAJI SAFI.(( WANCHI JEE HAWAHITAJI MIUNDOMBINU YA MAJI...??))
HAYO YAMEELEZWA NA WAZIRI WA NCHI OFISI YA MAKAMO WA PILI WA RAIS, NDUGU MOHAMED ABOUD MOHD WAKATI AKIJIBU MASWALI YA WAJUMBE WA BARAZA LA WAWAKILISHI KATIKA KIKAO KINACHOENDELEA HUKO MBWENI WILAYA YA MAGHARIBI UNGUJA NCHI ZANZIBAR.
AIDHA WAZIRI ABOUD AMEBAINISHA KUWA NYUMBA HIYO YAKISASA ILIYOPO MIGOMBANI IMEGHARIMU JUMLA YA SHILINGI BILIONI 1.2 AMBAPO ASILIMIA 62 YA FEDHA HIZO ZIMETOLEWA NA SERIKALI YA JAMHURI YA TANGANYIKA NA ASILIMIA 18 NI MCHANGO WA SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR.(( LINI MUTAWAJENGE WANCHI NYUMBA ZA KUISHI KAMA ALIVYO JENGA MZEE KARUME..???))
AIDHA WAZIRI HUYO AMESEMA KUWA NYUMBA HIYO IMEKAMILIKA KWA ASILIMIA KUBWA AMBAPO KASORO ZILIZOPO NI TATIZO LA UKOSEFU WA MAJI AMBAPO MIUNDOMBINU HIYO KWA SASA INAFANYIWA MAREKEBISHO.((RAI WA NCHI HII WAMESUBIRI MIUNDOMBINU YA MAJI KWA MUWA WA NUSU KARNE KUANZIA 1966 MPAKA LEO HII 2013 MAJI BADO RAI HAWANA UHAKIKA LAKINI SPIKA LAZIMA MAJI YAWEPO KABLA HAJAHAMIA KATIKA JUMBA LILLOHARIMU MAMILLIONI WANANCHI WAZANZIBAR TUTAFANYWA WAJINGA MPAKA LINI..???))
AMESEMA KUWA NYUMBA HIYO IMEJENGWA KWA KUZINGATIA VIGEZO VYOTE VYA NYUMBA ZINAZOSTAHIKI KUISHI WAKUU WA NCHI.(( NA MNUKU AMESEMA KUWA NYUMBA HIYO IMEJENGWA KWA KUZINGATIA VIGEZO VYOTE VYA NYUMBA ZINAZOSTAHIKI KUISHI WAKUU WA NCHI. JE WANANCHI WAO HAWASTAHIKI KUJENGEWA NYUMBA ZENYE VIGEZO VYOTE VINAVYO STAHIKI KUISHI KAMA WAANADAMU...???))
HATA HIVYO MWAKILISHI WA JIMBO LA WAWI NDUGU SALEH NASSOR JUMA ALISEMA KUWA ENEO ILIPOJENGWA NYUMBA HIYO SIO ZURI KUTOKANA NAKUWEPO BARABARANI AMBAPO UTULIVU UNAKOSEKANA.(( SALEH NASSOR JUMA WEWE MPUMBAVU KABISA BADALA YA KUSEMA KWANINI NYUMBA HII IMEHARIMU MAPESA YOTE HAYO KWANI NYUMBA ANAYOKA SASA INA NINI AU ANAPEWA MSHAHARA WAKE NAJENGE KWA MSHAHARA WAKE HIZI PESA TUWAJENGE WANANCHI HOSPITALI TULETE MADAWA TUNUNUWE AMBULANSI TUJENGE BARABARA N.K. WEWE WASEMA ILIPOJENGWA NYUMBA HIYO SIO ZURI KUTOKANA NAKUWEPO BARABARA WEWE SIMPEMBA MWAMBIYE SPIKA MUFUNGUWE MADUKA TU ILI MUKISTAFU MUNAMADUKA YA KUUZA MCHELE NA SUKARI MPUMBAVU MKUBWA.
AKIJIBU SWALI LA NYONGEZA LA MWAKILISHI HUYO WAZIRI ABOUD AMEFAFANU KUWEPO NYUMBA HIYO BARABARANI SI TATIZO KUTOKANA NA NYUMBA ANAYOISHI RAIS WA ZANZIBAR DK ALI MOHAMED SHEIN KUWEPO BARABARANI JIRANI NA NYUMBA HIYO KATIKA ENEO LA MIGOMBANI.

No comments:

Post a Comment