Friday, October 11, 2013

WAZEE WAKITANGANYIKA WALIO UWAA WAZEE WETU 1964 HAPA ZANZIBAR NA KUJIFANYA WAO NDIO WAZANZIBARI WANZA KUFITINISHA WATU NA KUBWABWAJA BADALA YA KUSTAHAFIRU KWA WALIO YAFANYA


MAITI ZA WAZANZIBARI WALIO ULIWA 1964 KATIKA MAPINDUZI YA KHARAMU,THULMA NA UKATILII USIO KIFANI

Wastaafu wataka Unguja na Pemba zitengane
KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida Waziri wa zamani na wafanyakazi wastaafu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), wametoa wito wakitaka visiwa vya Unguja na Pemba vijitawale. Wastaafu hao ni waliokuwa wanajeshi wastaafu, askari wa vikosi vya SMZ ambao wengi wao ni watu kutoka nchi ya Tanganyika walio tumiliwa na Nyerere kuwauwa Wazanzibari wasio na hatia, wafanyakazi wa wizara na idara za mbalimbali za umma walio letwa hapa Zanzibar na kujifanya Wazanzibari.
Katika kongamano lililofanyika siku chache zilizopita kwenye ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi uliopo eneo la Kikwajuni, walisema ipo haja ya kufanyika tena ‘mapinduzi baada ya yale ya 1964 maana walio fanya ya 1964 hawakumaliza kufanya mapinduzi.
Kongamano lilikuwa chini uenyekiti wa Ali Hassan Khamis, ambapo mbali ya wastaafu, pia lilihudhuriwa pia na wanao jiita atii wakulima na wafanyakazi wa SMZ na cheka kwanza hahahaahahaha.
Miongoni mwa walioshiriki ni aliyewahi kuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Awamu ya Pili Zanzibar), Aboud Talib Aboud. Yeye aliondolewa madarakani pamoja na Rais Aboud Jumbe mwaka 1984 na MKOLONI WAO MWEUSI TANGANYIKA, baada ya hali ya kisiasa atii wanaita kuchafuka kwa siasa nchini Zanzibar  humo hawajuwi kama Wazanzibari wamesha amka kulikuwa hakuna kuchafuka kwa siasa bali Wazanzibari walitaka muungano wa kuheshimiana na kuwa na madaraka na Tanagnyika MKOLONI MWEUSI HAKUTAKA ndio akawatimuwa na kuweka vibaraka wengine watakao fuata amri yao MKOLONI MWEUSI TANGANYIKA.
Aboud alisema watu kutoka Oman walifika Zanzibar kama walowezi na kuigeuza ardhi mali yao hadi yalipofanyika Mapinduzi yaliyorejesha hadhi, utu na ukombozi wa wananchi wanyonge 1964.....mtu mzee kama huyu bado tu anamawazo ya chuki na kuchocheya fitina kama vile hakuna M/Mungu atakae mulizi siku ya kiyama.
“Jueni kwamba Zanzibar haitatawaliwa tena na wageni. Wanaosema ‘Zanzibar kwanza’, nawaeleza kuwa ni ‘wananchi kwanza’ na Mapinduzi ndio yaliyowakomboa Waafrika wanyonge, hatutakubali ng’o kuwa chini ya ukoloni mamboleo,” alisema Aboud. hebu tumulize Aboud kwani nchi ya Zanzibar sasa hivi haiko chini ya MKOLONI MWEUSI TANGANYIKA..?? au kwakuwa unalipwa vijipesa na serekali ya muungano ndio unaona bora nchi Zanzibar ife lakini mifuko yako imeja pesa za kharamu kutoka nchi ya Tanganyika kwa MKOLONI MWEUSI..???AH wewe mwenyewe mtenganyeka ndio maana ukasema hivyo.
Mbunge wa zamani wa Kikwajuni, Parmuk Hogan Sing, aliipoda Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK) Zanzibar akidai haikutokana na ridhaa ya Wazanzibari wengi na kudai wameingizwa viongozi wapinga sera za umoja, Mapinduzi na Muungano, hivyo inakosa uzani wa uhalali na kuaminiwa.
Mshiriki wa kongamano hilo, Ali Machano Khamis, alisema matatizo yanayokikumba kisiwa cha Unguja ni kitendo cha kuchaguliwa wagombea urais ambao si chaguo la Wazanzibari.
Alisema wagombea hao wasiofaa ndio chanzo na kiini cha kuanza kulegelega kwa utetezi wa misingi ya Mapinduzi, na kuwataka wazee kuanza kujirekebisha kuhakikisha wanaoteuliwa lazima wawe na uchungu wa nchi, si wasaka maslahi binafsi.
“Ni vipi Pemba iwe ya Wapemba, Unguja iwe ya wote? Viwanja vya Unguja wamepewa Wapemba wakati Pemba hakuna Muunguja anayeishi na kujenga nyumba. Jamani, Waunguja tumechoka! Tunataka mamlaka yetu haraka,” alisema Suleiman.ni lini munguja alikwenda kutaka kuishi pemba akakataliwa..??
Kuibuka kwa madai hayo wakati huu huenda kukaiweka Serikali ya GNU inayo ongozwa na Shein katika taharuki na kuitikisika SUK iliyopatikana baada ya mazungumzo kusaka muafaka, na kubadilishwa kifungu cha Katiba ya Zanzibar ya mwaka 1984, hivyo kufanyika kwa kura za maoni ambapo asilimia 66 ya Wazanzibari waliikubali SUK.cha kushangaza ni Mizee kama haya yashauwa watu sana 1964 na baada ya hapo pia na bado hawaja tafakari kuwa walio fanya ni mabaya wanaona kama amali njema walio fanya na wanataka kufanya tena kama si wazimu basi sijuwi nitie ni nini.
Khamis Mwinyishehe Suleimna alisema Pemba haikushiriki katika harakati za Mapinduzi ya Zanzibar.FREE ZANZIBAR PEOPLE FROM MKOLONI MWEUSI tunakujibu kuwa wapemba na wanguja hawakushiriki Mapinduzi ya Zanzibar walio shiriki wote katika Mapinduzi ya Zanzibar ni wageni kutoka Kenya,Tanganyika,Malawi siku hizo ikitwa nyasa,Uganda,Mozambiqi na N.K. nyinyi nyote asili yenu ni Tabora,Mwanza,Mtwara na N.K. musifikiri hatuwajuwi ila tunawahishimu tu kwa hiyo kuweni na adabu zenu muishi kwa amani na utulivu au mara hii Zanzibar itawawakia moto.
Alisema kati ya waasisi 14 wa Mapinduzi hakuna hata mmoja kutoka Kisiwa cha Pemba, hivyo suala la visiwa hivyo kujitenga halihitaji mapatano wala mazungumzo ya suluhu mezani.FREE ZANZIBAR PEOPLE tunakuambia wewe utarudi kwenu Tanganyika na unguja na pemba mutaiwacha hapa hapa nyerere mfalme wenu pia sialisema kuwa kama anauwezo angelifirusha kisiwa unguja na pemba katika bahari ya hindi ili vizeme kamzama nani nyerere au unguja n pemba..???
Mzee Younus Haji alisema jambo hatari lililofanyika katika uundwaji wa SUK ni kuingizwa viongozi wenye itikadi za vyama vya zamani vya Zanzibar and Pemba Peoples Party (ZPPP) na Zanzibar Nationalist Party (ZNP), na kwamba sasa ni wakati muafaka wa kufanya tathmini kuhusu Serikali hiyo na kutafuta Katiba mpya ya Zanzibar.
Wastaafu wengi waliozungumza walionekana kusikitishwa na kuvunjwa kwa miiko ya Mapinduzi ya Zanzibar wakisema waliomrithi Rais Abeid Amani Karume, walipuuzia wosia ulioachwa na viongozi wa Afro Shiraz Party (ASP) na waasisi wake.
“Kama watu hawa wangependa umoja na maridhiano tangu awali hata Mapinduzi ya mwaka 1964 yasingetokea, kwani kiongozi wa ZPPP, Mohamed Shamte Hamad, angeunganisha viti vyake vitatu na ASP basi,” alisema Mzee Kheir.
Ahmed Khamis Mcheju alisema kitendo chochote cha kuyapuuza Mapinduzi ya Zanzibar hakivumiliki kwa Waafrika waliobaguliwa na kudharauliwa tangu kuondolewa madarakani kwa kiongozi wa Kiafrika, Mwinyimkuu, na Waarabu kutoka Oman mwaka 1804.huyo mwenye mkuu munae jivuni mwenyewe ni Mtanganyika kwa hiyo Wazanzibari hatumtambuwi nyinyi munamtabuwa kwakuwa alikuwa Mtanganyika mwenzenu.

No comments:

Post a Comment