Friday, October 11, 2013

WAZIRI HAJI OMAR KHERI ATEMBELEA MAHABUSU WA KULAWITI WATOTO AWAKIMBIA MASHEIKH WA UAMSHO


Waziri anayehusika na Vikosi vya SMZ, Mstahiki Haji Omar Kheri ametembelea vikosi vya SMZ, KVZ, Zimamoto, VALANTIA, JKU, na Mafunzo/MAGEREZA.
Katika mizunguko yake, ametembelea mahabusu wa ina zote za uhalifu ndani ya jela pale Kilimani, Kiinua Miguu ambayo ndio jela  kubwa kwa hapa Zanzibar ya (mahabusu) . Waziri Haji Omar Kheri amewaona kila mahabusu, muuwaji, muuza unga, aliyelawit watoto wa kiume na wakike na makosa makubwa kama hayo ya jinai na mengine mengi.
Ila lakushangaza ni kuwa, kuna taarifa kuwa alikataa kuwaona mahabusu (waliothulumiwa, ambao ni viongozi wa Jumuiya ya Uamsho) akina Sheikh Farid, Sheikh Msellem na wenzake. Alipofika maeneno walipofungiwa Masheikh  wetu hao, yeye ama alikataa au alijifanya hamnazo na kama vile vile hajui au hakujulishwa au hataki kuwaona.
Hawa ndio muhafindhna tulionao ndani ya nchi yetu ya  Zanzibar. Sisi tunajua kuwa Haji Omar Kheri alikuwa kundi la NO, wakati wa referendum; lakini sasa anakula matunda ya GNU ((maisha yote alibaki kama Muwakilishi wa Jimbo la Tumbatu, uwakilishi wakulazimisha tuu))  leo amekuwa na jeuri kama hii lakini ndio vizuri kuwa ALLAH S.W. anazidikutuonyesha Viongozi wanafiki na wauwaji wa nchi yetu ya Zanzibar.
Jeuri kubwa zaidi ambayo  sasa inawachefua watu wengi moyo ni ile ya kuvaa lile kofia la COW BOY akiwa katika kazi zake za kawaida ndio unatuonyesha nini kuwa wewendio ‘check bob’ sana, au wewe ndio mstaarabu sana aua vipi..???kama hujuwi zile ni kofia za wahuni (kama hajui maana, tunakuambia maana sasa)
Na kama kwli serikali hii inajali sana wananchi, na ina heshima ya kutosha ya utendaji na watendaji wake — basi  Shein awaonye watendaji wake kuvaa mavazi haya ya kihuniau ndio tunasibitisha sasa kuwa hii serekali ni ya wahuni..??
Huu ni UHUNI, unless bwana Haji Omar Kheri akatae kuwa Waziri wa serikali na abaki kuwa katika gengi za wahuni.
Pia kitendo ulichofanya  cha kuwatenda wananchi wa Zanzibar just kwa sababu ni mrengo tofauti na wewe, Masheikh wa Uamsho ni ubaya usio kubalika ni wananchi wa Zanzibar kama waivyo wanachama wa Kisonge na kachorora.
Umedharau Wazanzibari na umetharau Waislamu au wewe unathani uislam ni kusubiri siku za mfungo sita kwenda kucheza maulidi Tumbatu na kula haluwa na visheti tu..???
au hayaa imekuja kwa kujuwa kuwa mume wathulumu Masheikh kwa kuwaweka jela bila ya sababu sasa unaona hayaa hata kuwatizama kwenye uso ndio umewakwepa..???
hhhh… tusibiri uzinduzi wa ujenzi wa mnara wa miaka 50 ya mapinduzi ya Zanzibar na uteletee maulidi ya homu. Au unaweza kwenda Tumbatu na kofia lako la kipumbavu, kofia la kihuni Ndio nini wewe..? ujana dume huo au kitu gani? Unatuonyesha nini?

No comments:

Post a Comment