Friday, December 6, 2013

BABU MADIBA AMEFARIKI DUNIA M/MUNGU AMLAZE PEMA PEPONI


BABU MADIBA WAKATI WA UHAI WAKE

JELA YA KINUWA MIGUU YA SAUTH AFRIKA ALIYO FUNGWA BABU MADIBA

CHUMBA CHA JELA YAKE ALIPOFUNGWA NA MAKABURU

ALIPOKUWA JELA BABU MADIBA

BAADA YA KUTOKA JELA

SALUTI KWA WATETEZI WOTE WA UHURU ULIMWENGUNI M/MUNGU AMLAZE PEMA PEPONI FREE ZANZIBAR PEOPLE FROM MKOLONI MWEUSI TUNAWAPA POLE SANA FAMILIA YAKE YOTE KWA UJUMLA NA SAUTH AFRIKA NA AFRIKA KWA UJUMLA KWA KUONDOKEWA NA BABU MADIBA.

KUFUNGWA JELA SIO KUFA WAZANZIBARI TUZIDI KUPIGANIA NCHI YETU YA ZANZIBAR MPAKA MKOLONI MWEUSI TANGANYIKA AITOWE NCHI YETU YA ZANZIBAR.

No comments:

Post a Comment