Monday, December 9, 2013

MIPUMBAVU YAJENGA MNARA WA MIAKA 50 YA MAUWAJI YA WAZANZIBARI KWA NINI MUSIJENGE NA SANAMU LA JOHN OKELLO PIA ALIYE WALETEA MUNGU WA WAFRIKA...??


HUU NDIO JOHN OKELLO MGANDA ALIYELETWA KUJA KUWAUWA WAZANZIBARI KAMA NYINYI MNAJIDAI WANA MAPINDUZI NA MNAYAPENDA MAPINDUZI BASI MUSIJENGE MNARA TU JENGENI NA SANAMU LA JOHN OKELLO NA MUANDIKE KUWA ALIKUWA MGANDA SIO KUDANGANYA WATU MAPINDUZI MAPINDUZI WAKATI WALIOFANYA MAPINDUZI HAMUTAKI KUWATAJA WANAFIKI WAKUBWA NYIEEE


SERIKALI  ya wauwaji wa Zanzibar, imeamua kujenga mnara wa kumbukumbu ya miaka 50  ya Mauwaji waliyoyafanya kuwauwa  Wazanzibar 1964, yanayotimiza miaka 50 Januari 12, 2014.
Akizungumza na  waandishi wa habari mjini Dar es Salaam jana, Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa  Pili wa Rais, Dk Khalid Mohamed alisema ujenzi wa mnara huo unaendelea eneo la  Michenzani, mbele ya nyumba namba mbili pembeni ya Maskani ya Kisonge:
“Ili kuweka ukumbusho wa nchi yetu kutimiza  miaka 50 ya Mauwaji ya Wazanzibari tulio wauwa 1964, tumeamua kujenga mnara ambao ni kielelezo cha Zanzibar,”  alisema Dk Khalid.
Kwa  mujibu wa Dk Khalid, wameandaa nembo maalumu inayoashiria miaka hiyo ambayo  itatumika katika machapisho na matangazo mbalimbali yanayohusu sherehe hizo.
Dk Khalid, aliongeza kuwa serikali imeandaa utaratibu utakaowezesha taasisi, sekta binafsi  na makundi mbalimbali ya jamii vikiwemo vyama vya siasa, watu mashuhuri,  vijana, wazee, watoto, wenye ulemavu na wanawake kushiriki kwenye maadhimisho  hayo.
Alisema  siku hiyo njiwa watarushwa, maputo yatagawiwa kwa wananchi waliozaliwa Januari  12, 1964 vyote vitafanyika kwenye Uwanja wa Amaan.
Alibainisha kaulimbiu ya  maadhimisho hayo ni ‘Tudumishe Amani, Umoja na Maendeleo ambayo ni Matunda ya  Mapinduzi yetu – ‘Mapinduzi Daima’.FREE ZANZIBAR PEOPLE FROM MKOLONI MWEUSI TUWAULIZA MAENDELEO YA MIAKA 50 YA KUWAUWA WAZANZIBARI NI KUJENGA MNARA..???
HILI NDIO KUNDI LA GENGA LA WAHUNI WALIO WAUWA WAZANZIBARI 1964 WENGI WAO WALIKUWA NI WAGANDA,WAKENYA,WATANGANYIKA,WAMALAWI NA MSUMBIJI WOTE HAWA WALILETWA KUJA KUWAUWA WAZANZIBARI.

No comments:

Post a Comment