Monday, December 9, 2013

NI SIKU YA UHURU WA TANGANYIKA HAKUNA NCHI DUNIANI ILIYOPEWA UHURU NA MGEREZA IKITWA TANZANIA AU TANZANIA BARA HAKUNA


HEBU NIONYESHENI HAPA HIYO TANZANIA IKO WAPI NYINYI WATANGANYIKA NA HII NDIO SIKU YENU MULIO PEWA UHURU NA NYERERE MUNAUONA HAPO IKO WAPI TANZANIA....???????? MNABURUZWA TU KAMA MANYAUWUUU.

ATII LEO  (Tanzania) leo inaadhimisha miaka 52 ya uhuru katika sherehe zitakazofanyika kitaifa katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.Tanzania leo inaadhimisha miaka 52 ya uhuru katika sherehe zitakazofanyika kitaifa katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.
Kwa mujibu wa taarifa ya Ofisi ya Waziri Mkuu, mgeni rasmi atakuwa Rais Jakaya Kikwete ambaye atakagua gharide la askari wa vikosi vya ulinzi na usalama.
Aidha, sherehe hizo zitapambwa na halaiki, sarakasi, vikundi mbalimbali vya burudani zikiwamo ngoma za asili kutoka katika baadhi ya mikoa ya Tanzania bara na Zanzibar na wimbo maalum.
Kauli mbiu ya mwaka huu ni “Vijana ni nguzo ya rasilimali watu; tuwaamini, tuwawezeshe na tuwatumie kwa manufaa ya taifa letu.”
WAHAFIDHINA WA ZANZIBAR MUSIWE WAPUMBAVU HAKUNA SIKU YA UHURU WA TANZANIA BALI NI UHURU WA TANGANYIKA UMEGEUZWA KUWA NDIO UHURU WA TANZANIA ILI KUIMEZA NCHI YETU YA ZANZIBAR.NA NYINYI WATANGANYIKA MTABURUZWA NA VIONGOZI WENU MPAKA LINI AU MTADANGANYWA MPAKA LINI KUAMBIWA KUWA HII NI SIKU YA UHURU WA TANZANIA..? MNGEREZA HAKUWAPA UHURU WATANZANIA BALI ALIWAPA WATANGANYIKA MNAPAKWA MAFUTA NA NYINYI MNAPAKIKA TU KUWENI WAJASIRI NA FAHARI KUWA NA SIKU YENU YA UHURU WA TANGANYIKA SIO JINA LA UBATIZO TANZANIA.
KAFA YEYE KUMBE KAFA NA AKILI ZOTE ZA WATANGANYIKA.

No comments:

Post a Comment