Wednesday, December 25, 2013

TUTAENDELEA KUDANGANYWA NA MAENDELEO YA MANENO AMANI NA UTULIVU MPAKA LINI..??

WAZANZIBARI AMKENI AMKENI ZANZIBAR KWANZA ZANZIBAR KWANZA ZANZIBAR TUNAWEZA HATUNAHAJA YA MKOLONI MWEUSI TANGANYIKA WALA WAHAFIDHINA

1 comment:

  1. Hawa Madhalimu wanafikiri kila wanalofanya litaisha hapa hapa duniani..... wanajidanganya hawa kwa mawazo yao machafu. Tumeona madhalimu wote waliotuulia ndugu zetu khatma zao, kila mmoja kafa kifo kibaya au alikuwa na khatma mbaya na huko mbele ya safari Allah Subhanahu Wataala hatowaacha bali wataletwa mbele ya watu wote waliowadhulumu kuhukumiwa.
    Hawapati mafunzo ulwa umewawazonga wabaya hawa na kiburi ndio mbele na siku Allah akiwapiga na chini basi hujificha na kutoonekana hadharani kwa fedheha.
    Naam Namuomba Allah wabaya hawa asiwape kifo kwanza mpaka wapate Idhlaal hapa duniani kwanza.

    ReplyDelete