Thursday, January 2, 2014

DKT. WILLIAM AUGUSTAO AFARIKI DUNIA (MUSICHEZE NA DUWA ZA WADHULUMIWA MUTAONDOKA MOJA BAADA YA MWENGINE)

Waziri wa Fedha Dkt. William Mgimwa
Waziri wa Fedha na Mbunge wa Kalenga, Dkt. Willliam Augustao Mgimwa amefariki dunia baada ya kuugua maradhi ya presha muda mrefu.
Dkt. Mgimwa amefariki leo katika hospitali ya Mediclinic Kloff nchini Afrika ya Kusini, alipokuwa amelazwa kwa matibabu.
Taratibu za kuurejesha mwili wa marehemu zinafanywa na serikali kupitia ofisi ya ubalozi nchi Afrika ya Kusini.
Watanganyika musiwe wajinga nyinyi hawa wakumbwa wote wakiumwa tu basi hukimbizwa nchi za nje kwa nini..? Nakuna hospitali ya muhimbili na ya amana ilala kwa nini na wao wasipelekwa katika hospitali hizi kama ni nzuri..? kama hakuna jibu ndio mujuwe kuwa sio hospitali ni geresha tu na nyinyi mumo mnapelekwa pelekwa tu mipesa yote wanayo ibaa hawa wanapeleka nchi za nje kwa ajili ya watoto wao na nyinyi mnabaki kuwa mafakiri. bila ya kuwasahau Wazanzibari pesa zao nyingi zimeibiwa na nyinyi Watanganyika haya Mr Willliam Augustao Mgimwa je mapesa uliyo ibaa na kujirundikia utazikwa nayo je majumba na magari ulijinunulia utazikwa nayo..?? je nyinyi wapumbavu wengine viongozi hamusomi tu kuwa hata muibe vipi muwathulumu watu vipi mkefa munaviwacha hapa hapa na huko muendako mtakiyona maana mumethulumu watu sana hapa duniani.Mzee sapetu mumemleta kule Zanzibar kaiba kafanya ukiritibwa wake weee sasa yuko wapi...??

2 comments:

  1. hateful comment will not help hata wewe utakufa

    ReplyDelete
  2. Ushawahi kunisikia nikisema kuwa sitakufa....? ila sitakufa na kuwacha mamillioni ya watu wakiteseka kwa njaa,maradhi N.K. basi tu kwa kuwa mimi najirudikia mamali na wanangu na wake zangu nikiwawacha wengine wakihaha na kila mwaka nawadanganya maendeleo yanakuja kuweni na amani na utulivu huku naendelea kuiba nikijirundikia mimi siko hivyo.wala hakuna cha hateful comment ni ukweli na ukweli siku zote unauma

    ReplyDelete